Views
8 months ago

vipaji_pages1-100

hugggugu

Kipaji cha hesabu kwa

Kipaji cha hesabu kwa lugha ya Kiingereza ni Logic/ Mathematical Thinking ambacho kimebeba uwezo maalum wa kuchanganua matatizo ya kinadharia kwa kutumia mahesabu. Nguvu Za Asili Za Kipaji Cha Hesabu Kimauimbile, mtu mwenye kipaji cha hesabu, katika mfumo wa ubongo wake anazo seli za neva zinazojenga uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo kisayansi; uwezo wa kuelewa kanuni na mifumo na michanganuo ya kimahesabu. Viashiria Vya Kipaji Cha Hesabu • Uwezo wa nidhamu ya ndani katika kufikiri • Uwezo wa kuhesabu na kuthibisha majibu ya hesabu • Uwezo wa kufikiria sana mambo • Shauku ya kujua nini kinafuata mbeleni • Kupenda kutafakari mambo kimahesabu • Kupenda kubuni nadharia zinazoonesha jinsi kufanya mambo • Hupenda kuthibitisha usahihi wa kitu kabla ya kukitumia • Kuonesha uwezo wa kutambua na kutatua matatizo Fursa Za Kitaaluma • Mwanasayansi • Daktari wa tiba • Mwanahisabati • Meneja wa mradi • Mhasibu • Mkutubi wa chuo kikuu • Mhandisi • Mtafiti • Mtaalamu wa programu za kompyuta • Mtaalamu wa tiba ya mifuba • Mtaalamu wa benki • Mwanasheria • Mpelelezi • Mwindaji wanyama • Mfanyabiashara/mjasiriamali 24

UCHAMBUZI WA KIPAJI CHA MICHEZO 25

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
SACCOS_Traing_Guide
constitution of kenya review commision ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet
100%
Finding The Pleasure Free Ebook
GOLDINI