Views
10 months ago

vipaji_pages1-100

hugggugu

Kipaji cha michezo kwa

Kipaji cha michezo kwa lugha ya Kiingereza ni Kinesthetic Thinking ambacho kimebeba uwezo maalum wa ufundi wa kutumia viungo vya mwili na miondoko; na uwezo kumudu vitu au mambo yanayokuzunguka. Nguvu Za Asili Za Kipaji Cha Michezo Kimauimbile, mtu mwenye kipaji cha michezo, katika mfumo wa ubongo wake anazo seli za neva ufundi wa miondoko, kugeuza maungo ya mwili, na mizunguko hususani kucheza mpira wa miguu, riadha, kubiringika juu ya kiti bila kuumia, kujigeuza mwili pasipo maumivu; Hali kadhalika mwenye kipaji cha michezo ana ufundi wa asili wa kutumia viungo vya mwili na miondoko; na uwezo wa kumudu vitu au mambo yanayokuzunguka; Wenye vipaji vya michezo ni watu walioumbwa kujifunza na kufikia viwango vya ubora wa vipaji kwa njia ya michezo. Viashiria Vya Ufanisi Wa Kipaji Cha Michezo • Uwezo mzuri wa kujikusanya kimwili • Mwepesi kuwahi muda na kufanya kwa wakati • Hukabiliana na matatizo kwa nguvu za mwili • Kupenda kunyoosha viungo vya mwili na mazoezi • Kupenda michezo ya kuigiza • Kupenda kucheza ngoma/muziki • Hufikiri wakati wa miondoko • Hupenda kuchonga vinyago na burudani • Kubuni vitu vipya vya kimichezo Fursa Za Kitaaluma • Mwigizaji • Mwanariadha • Mcheza mziki 26

• Mvumbuzi • Sonara • Mchongaji • Mwanasanaa • Dreva wa mashindano ya magari • Mtaalamu wa tiba maungo 27

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
SACCOS_Traing_Guide
constitution of kenya review commision ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet
“Baridi Fusion”: Asili Joto, Myeyungano Nyuklia, Tesla, Free Nishati = Pseudo-Sayansi ? (muhtasari katika Kiswahili) / Cold Fusion, Tesla, Free Energy = Pseudo Science?
100%
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet
Finding The Pleasure Free Ebook