Views
9 months ago

vipaji_pages1-100

hugggugu

Kipaji cha picha kwa

Kipaji cha picha kwa lugha ya Kiingereza ni Visual/Spatial Thinking ambacho kimebeba uwezo maalum kupokea kutoka ulimwengu wa picha/maumbo na kuyachora, hadi kutoa kitu halisi kwa mfano wa picha kutoka akilini. Nguvu Za Asili Za Kipaji Cha Picha Kimauimbile, mtu mwenye kipaji cha picha katika mfumo wa ubongo wake anazo seli za neva za kutazama rangi, mwanga, umbo na vina vya vitu; ikiwa ni pamoja na kufumba macho na kutafakari, kuona mambo ambayo hayaonekani kwa macho ya asili; uwezo wa kukitoa kitu kwenye nafsi ya ndani (non-conscious) hadi kwenye akili (consciousness). Viashiria Vya Ufanisi Wa Kipaji Cha Picha • Hufikiri katika mfumo wa picha na kutafsiri michoro/picha kwa urahisi • Uwezo wa kupokea mawazo kwa njia ya maumbo na kuyachora mawazo hayo katika mfumo wa picha • Uwezo wa kukumbuka sura lakini husahau majina • Huweza kuvusha mawazo huku akiendelea kusikiliza Fursa Za Kitaaluma • Mchongaji • Mwanamazingira • Kiongozi • Mtendaji mkuu • Mbunifu wa michoro • Mhandisi • Mwandishi wa Sheria • Nahodha • Mtaalamu wa video • Mpiga picha 32

• Mpaka rangi • Mwendeshaji • Mtaalamu wa mikakati ya vita • Msanifu wa majengo • Rubani 33

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
SACCOS_Traing_Guide
constitution of kenya review commision ckrc ... - ConstitutionNet
100%
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet
Finding The Pleasure Free Ebook
GOLDINI
constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet