08.06.2013 Views

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

MAFUNZO 1

ZOEZI LA AWALI LA WARSHA (DAKIKA 20 )

Hatua ya Kwanza

Wagawie washirki zoezi la awali ili wajaze. Wajulishe kwamba sio muhimu

kama watakuwa hawafahamu majibu yote, wajaze kwa kadri ya ufahamu wao

kama wanavyoweza.

Hatua ya Pili

Waelekeze washiriki kuwa wana dakika 20 za kukamilisha zoezi hili la awali.

Baada ya dakika 20 kumalizika kusanya karatasi za zoezi.

Hatua ya Tatu

Waambie washiriki kwamba zoezi la awali walilofanya nia yake ni kukupatia

mwezeshaji uelewa kuhusu kile wanachokifahamu na itakusaidia kuandaa mada

amabzo watakuwa wakizihitaji kwenye kushiriki kwenye mpango wa JIPENDE.

Waambie washiriki wafahamu kwamba wakati huu wa mafunzo watapata

taarifa sahihi kuhusiana na taarifa za masuala ya afya ya wanawake. Baada ya

mafunzo haya wataweza kuwapatia taarifa na huduma nyingine za ziada kwa

wateja wanaowahudumia kwenye saluni za urembo ili kuleta mabadiliko chanya

kwenye maisha ya wateja wao.

6

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!