12.07.2015 Views

Hadithi ya Carol Utambulisho - Raising Voices

Hadithi ya Carol Utambulisho - Raising Voices

Hadithi ya Carol Utambulisho - Raising Voices

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Fursa 2wewe na watoto wako nyumbani kwa wazazi wako na kuchangia kiasi kidogo kwenye gharama zamaisha. Una hofu juu ya kurudi nyumbani, lakini unajua hawawezi kukufukuza.Dada yako anasema wazo la kurudi kijijini sio wazo zuri, lakini unajua atapata nafuu ya matumizi kwakuondoka kwenu. Baada ya kushambuliwa unaona hilo ndio suluhisho pekee. Kwa sababu unaishiUnajisikia vibaya kuondoka, lakini huwezi kuendelea kuishi mjini.Wazazi wako wanakukaribisha kwa shingo upande lakini wanaendelea kukwambia kwamba wewehufai kwa lolote. Hata unapomlipia mwanao ada ya shule na kuchangia gharama za maisha nyumbani,bado hawaridhiki wala kuona mafanikio yako, wanaendelea kukunung’unika kwa kila kitu.wako Ibby. Unajiona uko salama zaidi kuliko ulivyokuwa unaishi na dada yako mjini.Siku moja ukiwa unaenda kununua mboga, unatumbukia kwenye shimo ambalo limechimbwa hivikaribuni kando ya barabara. Unafanikiwa kutoka mwenyewe lakini umelala hapo ukiwa umeumiavibaya huku gari linakuja na karibu hata likugonge. Unaita kuomba msaada lakini hakuna anayetokea.Unagundua kwamba maisha haya si kweli kwamba ni bora kuliko maisha ya mjini. UnamkumbukaFuraha na jinsi ulivyokuwa unajivunia kazi zako za ufundi stadi. Unatamani uishi salama lakini hakunasehemu yoyote duniani ambayo ni salama kwako.MWISHOHuu ndio mwisho wa hadithi ya Carol. Tumia dakika chache kukaa kimya na utafakari tajiriba yakeCarol. Unapokuwa tayari, muombe mwezeshaji akupe hadithi ya mwanamke mwingine.Hadithi ya Carol B15

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!