13.07.2015 Views

agitf

agitf

agitf

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

- Machi hadi Mei, mikoa ya Ruvuma, Rukwa,Mbeya, Iringa, Dodoma, Singida, Tabora,Shinyanga, Kigoma, Kagera, Mara na Mwanza.-Agosti hadi Septemba, mikoa ya Arusha,Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Morogoro, Pwani,Mtwara, Lindi Dar es salaam.Fomu za maombi na vielelezo vinavyohitajika pamojana mahitaji ya pembejeo ya wilaya husika zitatumwakwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Pembejeo.Maombi haya huchambuliwa na kuwasilishwa kwenyekikao cha Bodi ya Wadhamini wa Mfuko iliyaidhinishwe. Maamuzi ya Bodi hutumwa kwawaombaji na kwenye Halmashauri za Wilaya huska.B) Masharti ya Mikopo ya Pembejeo za Kilimo naMifugo- Wauza pembejeo binafsi, wakulima na wafugajikupitia kwenye vikundi au wakulima na wafugajibinafsi sharti wawe na dhamana isiyohamishikayenye hati miliki (Title deed) na inayokubalikakisheria. Mwombaji sharti awe ndiye mmiliki wahati itakayodhamini mkopo.- Mwombaji awe amefanya biashara ya pembejeokwa muda usiopungua miaka miwili.- Mifuko ya Pembejeo ya Wilaya isiyo nadhamana zenye hati miliki itadhaminiwa naHalmashauri za Wilaya husika.- Vyama vya kuweka na kukopa (SACCOS),vikundi vya wakulima na wafugaji visivyo nadhamana za hati miliki sharti viwe na akibaambayo ni sawa na theluthi moja ya mkopowanaoomba. Waombaji wa kundi hili watatakiwakuwa wanachama wa asasi ya kifedha itakayotoamkopo kwa niaba ya Mfuko wa pembejeo.- Muda wa mkopo ni miezi kumi na nane kwariba ya asilimia nane (8%).2. MIKOPO YA KUNUNUA TREKTA MPYAWalengwa wa mikopo hii ni wakulima binafsiwanaomiliki mashamba yenye ukubwa usiopunguaekari hamsini.A) Uteuzi wa waombaji wa mikopo ya kununuliamatrekta mapya- Halmashuri za Wilaya zitatoa tangazo kuhusukuwepo kwa mikopo ya ununuzi wa matrektamapya kupitia Mfuko wa Pembejeo.- Mwombaji atatakiwa kujaza fomu ya maombiitakayopitishwa na Afisa Kilimo na Maendeleo yaMifugo pamoja na Mkurugenzi Mtendaji waHalmashauri ya Wilaya, Mji au Manispaa husika- Maombi yote yatatumwa kwa MkurugenziMtendaji wa Mfuko wa Pembejeo.- Mfuko wa Pembejeo utachambua maombi nakuyawasilisha kwenye Bodi ya Wadhamini waMfuko.- Maombi haya huchambuliwa na kuwasilishwakwenye kikao cha Bodi ya Wadhamini wa Mfukoili yaidhinishwe. Maamuzi ya Bodi hutumwa kwawaombaji na kwenye Halmashauri za Wilayahusika.B) Masharti ya Mikopo ya Kununua Trekta- Mwombaji sharti awe na dhamanaisiyohamishika yenye hati miliki (Title deed) nainayokubalika kisheria ambayo mwombaji ndiyemmiliki wake.- Mwombaji sharti awe na shamba lenye ukubwausio chini ya ekari 50 na awe tayari kutoa hudumana kukodisha trekta hilo kwa wakulima wenzake- Mwombaji atatakiwa kulipia gharama zakutathmini dhamana ya mkopo wake pamoja naasilimia moja ya mkopo utakaokuwaumeidhinishwa.- Mwombaji atatakiwa kulifanyia matengenezomadogo na makubwa trekta litakalonunuliwa kwamkopo mara kwa mara kama atakavyoelekezwa namtengenezaji au muuzaji wa trekta hilo. Aidha,trekta hilo litakuwa sehemu ya dhamana yamikopo na kadi ya uandikishaji (Registration card)itakuwa chini ya umiliki wa Mfuko mpaka mkopoutakaporejeshwa.- Mkopo wote na riba utatakiwa urejeshwe katikakipindi cha miaka mitatu- (3) kwa riba ya asilimianane (8%) kwa miaka mitatu.3. MIKOPO YA KUKARABATI TREKTAWalengwa wa mikopo hii ni wamiliki wa matrektaambayo yanaweza kukarabatiwa kwa gharamaisiyozidi shilingi milioni tatu na laki tano.A) Uteuzi wa waombaji wa Mkopo ya KukarabatiTrekta- Halmashauri za Wilaya zitatoa matangazokuhusu kuwepo kwa mikopo ya kukarabatimatrekta kupitia Mfuko wa Pembejeo. Mwombajisharti awe tayari kutoa huduma ya kukodishatrekta hilo kwa wakulima wenzake- Mwombaji atatakiwa kujaza fomu ya maombiitakayopitishwa na Afisa Kilimo na Maendeleo ya

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!