13.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIABUNGE LA TANZANIAORODHA YA SHUGHULI ZA LEOMKUTANO WA NANEKIKAO CHA AROBAINI NA MBILI7 AGOSTI, 2012

ORODHA YA SHUGHULI ZA LEO________________MKUTANO WA NANEKIKAO CHA AROBAINI NA MBILI – TAREHE 7 AGOSTI, 2012I. HATI ZA KUWASILISHA MEZANI:WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANOWA KIMATAIFA:Taarifa ya Mwaka na Hesabu za Kituo chaKimataifa cha Mikutano cha Arusha kwa Mwaka2010/2011. [The Annual Report and Accounts ofArusha International Conference Centre for theYear 2010/2011].WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI:Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi yaWizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi kwaMwaka wa Fedha, 2012/2013.2

WAZIRI WA KAZI NA AJIRA:Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi yaWizara ya Kazi na Ajira kwa Mwaka wa Fedha,2012/2013.MWENYEKITI WA KAMATI YA MAENDELEO YAJAMII:Taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo yaJamii, kuhusu utekelezaji wa Majukumu ya Wizaraya Kazi na Ajira kwa Mwaka 2011/2012 pamoja naMaoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato naMatumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha,2012/2013.MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI WAWIZARA YA KAZI NA AJIRA:Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani juuya Wizara ya Kazi na Ajira kuhusu Makadirio yaMapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka waFedha, 2012/2013.3

II.MASWALI:OFISI YA WAZIRI MKUU:334.MHESHIMIWA ABDUL JABIR MAROMBWA(KIBITI):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri Mkuu:-Kumekuwa na kilio cha muda mrefu chaWenyeviti wa Serikali za Vijiji kutopata poshozao za kila mwezi wakiwa ndio wasimamiziwakubwa wa Miradi ya Maendeleo katika Vijijivyao:-Je, Serikali ina mpango gani wa kuwapatiaWenyeviti hao posho yao ya kila mwezi.335. MHESHIMIWA DESDERIUS JOHN MIPATA(NKASI KUSINI):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri Mkuu:-Wananchi wa Jimbo la Nkasi Kusini wameitikiawito wa ujenzi wa shule ya Sekondari kwa kilaKata lakini bado shule hizo zinakabiliwa nachangamoto za upungufu wa Walimu, Vitabuvya Sayansi ya Jamii (Arts), Madawati, ukosefuwa Maabara na Madarasa ya Kidato cha V naVI:-4

(a) Je, Serikali ina mpango gani wa kumalizakabisa tatizo la ukosefu wa Walimu naVitabu vya Sayansi ya Jamii (Arts);(b) Je, Serikali itakubaliana na ushauri wakupanua na kuziwezesha Shule zaSekondari za Kale, Chala na Wampenda iliziweze kupokea wanafunzi wa Kidato chaV na VI;(c) Je, ni lini tatizo la ukosefu wa Maabaralitatatuliwa katika Shule za Sekondarinchini.336.MHESHIMIWA SAID AMOUR ARFI(MPANDA MJINI):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri Mkuu:- Kakeseni Kata mpya ambayo ina matatizo mengihususan maji:-Je, Serikali iko tayari kuondoa kero ya ukosefuwa maji katika vijiji vya Mwamkulu, Kakese,Kakese Mbugani, Kawanzige na Kamakuka.5

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII:337.MHESHIMIWA RIZIKI OMAR JUMA(VITI MAALUM);Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Afya naUstawi wa Jamii:- Tatizo la ugonjwa waSaratani limekuwa ni tishio kwa Watanzania naDunia nzima, lakini matibabu yake pamoja nadawa zake hutolewa kwa gharama kubwa:-Je, Serikali ina mpango gani wa kutoa burematibabu na dawa za ugonjwa huo hasaikizingatiwa kuwa idadi kubwa ya Watanzaniabado ni maskini.338.MHESHIMIWA EUGEN ELISHIRINGAMWAIPOSA (UKONGA):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Afya naUstawi wa Jamii:- Iko sera ya kuwapatiahuduma ya matibabu bure Wazee lakinihuduma hiyo imekuwa ikilalamikiwa na Wazeekuwa haitolewi kikamilifu:-Je, Serikali ina mikakati gani ya kuhakikishakuwa, huduma hiyo inatolewa kikamilifu kwawalengwa mahali popote nchini.6

WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEOYA MAKAZI:339.MHESHIMIWA MURTAZA ALLY MANGUNGU(KILWA KASKAZINI):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Ardhi, Nyumbana Maendeleo ya Makazi:-(a) Je, ni lini Serikali itachukua hatua za dhatiili kumaliza tatizo la upimaji wa ardhi nchinzima;(b) Je, ni nini kikwazo cha utekelezaji wa zoezihilo.WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANOWA KIMATAIFA:340.MHESHIMIWA EZEKIA DIBOGO WENJE(NYAMAGANA):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Mambo yaNje na Ushirikiano wa Kimataifa:- Kampuni yaUingereza ya Silaha za Kivita (BAE SYSTEMS)ilishakiri kwamba ilifanya makosa ya kutowekakumbukumbu za fedha na mahesabu katikamchakato wa mauzo ya Rada kwa Serikali ya7

Tanzania; ni dhahiri kwamba, kuna makosayalifanyika ya kimanunuzi kati ya pande zotembili, hali iliyosababisha kuwepo kwa tozo yapauni milioni 29.5 kama fedha zilizochukuliwana Kampuni ya BAE SYSTEMS kutoka kwaSerikali ya Tanzania:-(a) Je, Serikali ya Tanzania ina mpango ganiwa kuchukua hatua dhidi ya Kampuni hiyoambayo ilishakiri kufanya makosa hayo;(b) Je, Serikali imewachukulia hatua ganiwaliohusika na mchakato wa ununuzi huokwa upande wa Serikali ya Tanzania.WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NAWATOTO:341.MHESHIMIWA MOZA ABEDI SAIDY(VITI MAALUM):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Maendeleoya Jamii, Jinsia na Watoto:- Nchi yetu imeridhiaMikataba au Maazimio mbalimbali ya Kikandana Kimataifa juu ya ukombozi, fursa sawa nakumpa haki Mwanamke lakini bado idadi yaWanawake nchini imekuwa ndogo katika ngaziza maamuzi/uongozi:-8

(a) Je, Serikali itakubaliana nami kuwa, kunatatizo la utashi wa kisiasa hasa ikizingatiwakuwa nafasi nyingi kama za MakatibuWakuu, Wakurugenzi, Wakuu wa Wilaya,n.k, ni za uteuzi;(b) Je, ni kweli kwamba Wanawake wengihawapewi nafasi hizo kwa sababuhawakusoma au hawana maono.WIZARA YA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA:342.MHESHIMIWA MARTHA MOSES MLATA(VITI MAALUM):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika:- Wanawake wengi waMkoa wa Singida wameshindwa kutekelezakikamilifu kauli mbiu ya Kilimo Kwanzakutokana na kushindwa kukopa pembejeokama power tiller na matrekta:-Je, Serikali haioni umuhimu wa kuangaliamasharti ya mikopo ya zana za kilimo ilikuwawezesha walio wengi kukidhi vigezo vyamikopo.9

WIZARA YA NISHATI NA MADINI:343.MHESHIMIWA ANNA MARYSTELLA J.MALLAC (VITI MAALUM):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Nishati naMadini:- Licha ya Mji wa Mpanda kupanuka nakutarajiwa kuwa Makao Makuu ya Kataviunatumia jenereta kusambaza umeme ambaomara nyingi hauna uhakika:-Je, ni lini Wilaya hiyo itaunganishwa nampango wa Grid ya Taifa ili kuondokana nausumbufu wa mgao wa umeme.III. HOJA ZA SERIKALI:WAZIRI WA KAZI NA AJIRA:Kwamba, Bunge likubali kupitisha Makadirio yaMapato na Matumizi ya Wizara ya Kazi na Ajira kwaMwaka wa Fedha 2012/2013.DODOMADKT. T.D. KASHILILAH7 AGOSTI, 2012 KATIBU WA BUNGE10

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!