Chapter 77

shujaazcomics

Sponsor ni nini ama nani

2

Samuel Pizzicato Ukona mdomo kuwa mpaka unaongeanga na

capital letter// Andrew Azim Odhiambo Dj B wewe ni mchoyo


mpaka Unajifichanga ndio umeze mate// Kwenu kuna

insecurity hadi police station hufungwa saa kumi.

3


4


5


6


kuna Garvin kiti kwa Sanchozil mathree//Muthuri Mingusa Vincent Dj we unaogopa Ujinga ni kijibaba wasee kupata wa 7

gari K’ogalo imecrash hadi alafu wakiitisha kinawauliza #stoney kwani unatoroka imeanguka?//James mbio. Cashies //


8


9


10

Ni nini ulipenda zaidi kwa h story ? Tuma maoni yako kwa

20308 ukianza na word “LYE” na unza get ksh. 1000!


SPONSA!

11


aAdaye...

here I come!

nita-rock hii

audition, lazima

niget hiyo gig!

mama mia!

cheki huyu msupa!

lazima nim-vibe!

next!

sasa

mresh!

simama

pale.

mimi ni

producer jemo.

wewe already

unakaA super

star!

utaAngalia kwa

ile camera halafu

uji-introduce...

12

haiya! show us

your stufF!


live kutoka mitaA

imeshona swag!

kotoka kwa waseE

wa mafisi sacCo, na

mayut wanajijua...

tonawaletea tv

show fresh kutoka

jongo!

mimi ni host

wako, Patricia!

kaA rada!

hiyo

ilikuwa

dopest!

aki?

wewe

ndio talent

nilikuwa

natafuta!

so

nimeget

hiyo

role?

kabisa!

kitu moja tu...

moha, ebu

tu-excuse

kidogo...

sawa

bosS.

cheki msupa...

ni hivi... si niku

buy-ie cofFeE

leo jioni?

hii chance ya

ku-present show

sio rahisi ku-get.

usitupe mbao...

ati?!

sorRy, I don’t

do cofFeE!

ayayai!

bosS, you

don’t know

me!

13


mimi nina choOse

mwenye ninataka kudate!

unadhani utaniget juU ya

haka kajob?

kaA nayo!

ebu kunja

hiyo mikono yako

uache kushika

shika watu!

tabia mbaya!!

helLo...

bae, pliz come

uni-pick...

hatufanyi

auditions

tena!

Ishieni!

ati?

huwezi do hivo

after tumengoja

hapa masaA

yote!

oh my ngosh!

like... is this dude

for real?

fat boy,

mimi ni

bosS hapa!

naeza do

anything

nataka!

naitwa chuxX,

nasiongeleshwi

hivo!

ukitaka hii

camera yako

kujia!

agh! sasa

ona! nilitaka

ku-vibe huyo

mresh! huyu

producer

fala sana!

14


aAdaye...

wow!

eh! maria

kim... siku hizi

unatembelewa

na ligi soO

eh?

ah-ah...

hata mimi sijui

ni nani!

patricia!

hehe! vipi

leo?

na unakaA

smart!

awWw! ligi

soO siku hizi,

eh?

nini

mbaya?

unakaA

m-sad.

nimetoka

audition

mbaya!

huyo

producer

alitaka nidoze

naye ndio anipe

job!

15


16

Gadafi Nyaeri Djb ati first tyme yako kwenda church uliulzwa kama

unajua yesu ukadai eti”mm bado nmgeni hapa bado sjui watu wote


17


18

Mashindano Ya Punda


sasa

kasaman?

Kazuri...

Unapendeza

tena sana! Kesho

utakuja

kuni-supPort

kwa shindano la

Punda?

nataka

kukuja

lakini lazima

niulize

mamangu.

Sasa vipi

ile stori

yetu?

ah ah... sitaki

kushika mimba... wewe

huwa hutaki kutumia

cd!

acha wasiwasi.

mwanaume hafai

kutumia cd.

zinatufanya tupoteze

nguvu za kiume!

Wacha nifanye

utafiti wangu kwanza

alafu nitakufahamisha.

sawa...

kazuri,

mbona umechoka

hivyo asubuhi?

maliza halafu

uoshe vyombo!

nishaziosha.

karibu

namaliza kazi

zote.

mum,

nisaidie simu

yako nipigie

malkia...

sawa,

lakini utumie

dakika mbili

pekeE! sina

airtime!

19


Malkia,

niko na dakika

mbili pekeE!

Si tukutane

kwenye tamasha

la kitamaduni?

Kasamani

anashiriki

shindalo la

punda!

DoOo....

do?! acha

kwanza

nimweleze

mamangu!

20

Mafuniko Ruwa Ujinga n kufua nguo kwa maji ya moto ili ikauke haraka.//

Obadiah Ropkip “Ati ww n mrefu hadi unapewa ugali na manati”


ndio yule

kasaman!

Ona vile

unaskia aibu!

Hehe...

Mtoto

kapendwa

kapendeka!

mashindano ya

fuda! on your mark!

get ready! set!

go!

Rabex Cynthia kwenyu mko wengi adi ikfka tym ya fudi mnakol

regsta kwanza . macho zako n red adi zinaivisha nyama!

21


Lakini huyu

Kasaman yuko

serious nawe ama

anakuchezea tu huku

akikudanganya danya

na wasichana

wengine?

How would

I know?

Acha

nikupe siri ya

boyfriend

yuko

serious...

One, yeye

huongea juU yako

akiwa na marafiki

zake. Two, huwa

anakuskiza na

kukujulia hali kila

mara.

ThreE,

anakueshimu. Hapa

namaAnisha atafanya

chochote ili asikuambukize

ugonjwa ama kukupachika

mimba...

kasaman

wako

ameupita

huo mtihani?

Lakini

sitaki apoteze

nguvu zake za

kiume. Pengine

nitahitaji

watoto wake

baAdaye.

ebu,

ngoja... ati

umesema?

cd

zitafanya

apoteze

nguvu za

kiume. ndivio

aliniambia!!

huyo

fala!

kwani

si kweli?

hapana!

nimeshinda

22


nimeshinda

congratulations!

eEeEek!

Unadhani wewe ni

ShujaA?! Wewe ni fala!

Ni ufala gani uliambia

Kazuri? Hiyo ufala

ndio inahatarisha

maisha ya watu!

Wewe ni

mshamba hadi huwa

una-confus kisogo

yako na kona ya

njugu!

kazuri

achana na huyo

shenzi. Unastahili

mpenzi anatosha

unga!

Cheki hawa

wana densi!

tupige

selfie nao!

Tizama yule

amevalia manjano!

Nitaiweka kwenye

faceboOk page ya

DJ B pia ajue vile

kuko huku!

Hapo sasa.

sasa ni

nafasi yako

ya kutoa

maoni.

ni vitu gani

uliwahi fikiria

kuwa zilikuwa za

kweli kuhusu cds

kisha ukagundua

kuwa ni porojo

tu?

Tuma SMS

kwa 20308 ukianza na

neno 'PorojoTings' na

unaeza shinda Ksh. 1000.

Kutext ni freE. 23

23

More magazines by this user
Similar magazines