03.06.2013 Views

Barua%20kwa%20PM%20TumeK4

Barua%20kwa%20PM%20TumeK4

Barua%20kwa%20PM%20TumeK4

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kuwa na upangaji makini, ufuatiliaji na uwajibikaji wa bajeti ya elimu, hasa kupata tija ya

thamani ya fedha (value for money) na kuhakikisha sehemu kubwa ya rasilimali zinafikia

wananchi katika ngazi za chini;

Kuandaa ‘maabara ya kukuza ubunifu’ (innovations laboratory) katika kuboresha

ujifunzaji inayohusisha wadau kutoka vyuo, asasi ya kiraia, taasisi za dini, sekta binafsi

pamoja na Serikali. Pamoja na mambo mengine maabara inaweza kufanya majaribio ya

kutumia teknolojia ya kisasa (kwa mfano tablets) kufundisha wanafunzi;

Kuandaa na kutekeleza mfumo wa kuhabarisha wananchi na kupokea mrejesho kutoka

kwa wananchi, sambamba na kanuni za Ushirikiano na Serikali Wazi (Open Government

Partnership) ili kuwezesha kila mtu kuanzia mzazi hadi Rais kujua nini kinachoendelea

katika kila shule;

Niko tayari kufafanua hoja hizi iwapo itahitajika.

Kwa kutazama mbele, japo sijapata taarifa rasmi, ninafahamu kwamba kipindi cha Tume

kitaongezwa. Ndugu Waziri Mkuu, ninaomba uniruhusu kujitoa kutumikia Tume hii kwa kipindi

kilichoongezwa kutokana na sababu nilizobainisha hapo juu, na pia kutokana na majukumu

mengine ya kikazi yaliyonibana sana. Hata hivyo, ninakuhakikishia kwamba dhamira yangu ya

kuboresha elimu nchini bado ni thabiti, na kwamba niko tayari muda wowote nitakapohitajika.

Pia, asasi yangu Twaweza imeshiriki katika mpango wa “Big Results Now” na inaendelea

kusimamia juhudi kadhaa za kuboresha elimu yetu.

Natanguliza shukrani zangu kwako na kwa Mwenyekiti wa Tume kunipa fursa ya kuchangia

maboresho ya elimu nchini.

Wako,

Rakesh Rajani

Nakala kwa: Ndugu Peniel Lyimo, Katibu Mkuu

Ofisi ya Waziri Mkuu

Prof. Sifuni Mchome, Mwenyekiti

Tume ya Kuchunguza Matokeo ya Kidato cha Nne

Wajumbe

Tume ya Kuchunguza Matokeo ya Kidato cha Nne

5

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!