(ija) –lushoto kwa mwaka wa masomo 2012/13
(ija) –lushoto kwa mwaka wa masomo 2012/13
(ija) –lushoto kwa mwaka wa masomo 2012/13
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
5. Wote waliochaguliwa ni lazima walete vyeti vyao halisi wakati wa usajili. Yeyote ambaye

atashindwa kuleta vyeti halisi vya kuhitimu elimu ya Sekondari au Chuo hatasajiliwa.

6. Barua pamoja na Fomu za masharti ya kujiunga na Chuo zitatumwa hivi karibuni kwa njia ya

posta kwa wote waliochaguliwa.

7. Wale wote walio omba kujiunga na Chuo kwa udhamini wa Mahakama ya Tanzania

watajulishwa na Mahakama yenyewe.

8. Chuo hakina nafasi ya Malazi yakutosha. Hivyo waliochaguliwa wafanye mipango ya kupata

nafasi za Kulala kwenye hosteli za watu binafsi zinazo tambulika na Chuo mapema

iwezekanavyo. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na malazi wasiliana nasi kupitia namba ya simu

iliyopo hapo chini.

9. Wale wote waliopo kwenye Orodha ya Akiba katika Kozi ya Cheti cha Sheria wanaweza

kuomba kwenda Tawi la Mwanza kwa kuwa bado kuna nafasi. Kwa maelezo zaidi wasiliana

nasi kupitia namba ya simu iliyopo hapa chini.

N/B: Wale wote waliochaguliwa, orodha ya majina inapatikana katika tovuti ya Chuo cha Uongozi wa

Mahakama: www.ija.ac.tz

MKUU WA CHUO

S.L.P. 20

LUSHOTO

SIMU: 027-2660133

FAX: +255-27-2660021

12