Loan Application Form
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS BOARD

(BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU)

Index#: S0101.0290.2015

Plot No. 8, Block No. 46; Sam Nujoma Road; P.O.Box 76068, Dar es Salaam, Tanzania

Dar es Salaam, Tanzania

Tel: (General) +255 22 2772432/2772433; Fax: +255 22 2700286;

E-mail: info@heslb.go.tz; Website: www.heslb.go.tz

LOCAL UNDERGRADUATE STUDENT LOAN APPLICATION FORM - 2018/19

(Fomu ya Maombi ya Mkopo kwa Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza Ndani ya Nchi)

TAARIFA BINAFSI NA ANUANI ZA MWOMBAJI (APPLICANT'S PERSONAL DETAILS)

Jina Kamili (Full Name) : ROBINSONI R MOSHI

Tarehe ya Kuzaliwa (Date of Birth) : 1998-10-05

Mkoa Ulikozaliwa (Birth Region) : Dar es Salaam

Namba ya Simu ya Mkononi (Mobile Phone) : 0715496439

Jinsia (Sex) : Male

Wilaya Ulikozaliwa (Birth District) : Ilala

Form#: 34672U2018

Barua Pepe (Email) : robinhomarcello@gmail.com

TAARIFA ZA ELIMU YA MWOMBAJI (EDUCATIONAL BACKGROUND)

Elimu ya Shule ya Msingi (Primary School Education History)

Jina la shule (School Name) : SHULE YA MSINGI UBUNGO KIBANGU

Year of Entry : 2005 Year of Graduation : 2011

Region : Dar es Salaam

District : Ubungo

Shule ya Sekondari Kidato cha 4 (O-level Secondary School) :

Namba ya Mtahiniwa (Form Four Index Number):

Shule ya Sekondari Kidato cha 6 (A-level Secondary School) :

Namba ya Mtahiniwa (Form Six Index Number):

AZANIA

S0101.0290.2015

MOSHI

s0134.0683.2018

TAARIFA ZA KIJAMII NA UCHUMI YA MWOMBAJI (APPLICANT'S SOCIO-ECONOMIC DETAILS)

Hali ya wazazi/mlezi na Mwombaji. (Parents Physical/Social Status)

Baba yuko hai

Mama yuko hai

Mwombaji hana ulemavu wowote (Applicant is NOT Disabled)

Wazazi wa mwombaji hawana ulemavu (Applicant Parents are NOT Disabled)

TAARIFA ZA WAZAZI/MLEZI (PARENTS/GUARDIAN DETAILS)

Jina Kamili la Mama (Mother's Full Name) : joyce saliely kombe

Anwani ya Posta : Dar es Salaam

Simu ya Mama (Mother's Mobile Phone) : 0654518870

Jina Kamili la Baba (Father's Full Name) : Reginald saliely kombe

Anwani ya Posta : Dar es Salaam

Simu ya Baba (Father's Mobile Phone) : 0675611336

Jina Kamili la Mlezi (Guardian's Full Name) : Reginald saliely kombe

Anwani ya Posta : Dar es Salaam

Simu ya Mlezi (Guardian's Mobile Phone) : 0675611336

Makazi : Dar es Salaam

Kazi ya Mama : Farmer

Makazi : Dar es Salaam

Kazi ya Baba : Farmer

Makazi : Dar es Salaam

Kazi ya Mlezi : Other Small Business Managers and

Managing Supervisors

Loan Application Form Page #1 out of 6 Generated @ 19/06/2018 22:00:01
UTHIBITISHO WA MWOMBAJI (APPLICANT'S DECLARATION)

Form#: 34672U2018

Mimi ROBINSONI R MOSHI ninatamka kuwa maelezo yaliyotolewa kwenye maombi haya kwa njia ya tovuti, ambayo sehemu yake

yamechapwa hapa, kuwa ni ya kweli kwa kadri ya ufahamu wangu. Ninatamka pia kwamba ninafahamu kuwa hatua za kisheria

zitachukuliwa dhidi yangu endapo itabainika kwamba maelezo niliyoyatoa siyo sahihi ama yanapotosha.

Jina Kamili la Mwombaji: ROBINSONI R MOSHI Tarehe: ______________________ Sahihi : ________________________

UTHIBITISHO WA TAARIFA BINAFSI NA KAMISHNA WA VIAPO (CERTIFICATION BY COMMISSIONER OF OATHS)

Jina Kamili la Kamishna : __________________________________________________________________________Weka Muhuri wa ofisi hapa

Sahihi: ___________________________________________Tarehe : ___________________________

UTHIBITISHO WA SERIKALI YA KIJIJI/MTAA KUHUSU MAELEZO YA MWOMBAJI

MAOMBI HAYA YATAKUWA BATILI ENDAPO HAYATAPITISHWA NA SERIKALI YA KIJIJI/MTAA

ANGALIZO: Kiongozi yeyote wa Serikali ya Kijiji au Mtaa atakayethibitisha maombi haya ya mkopo, ambaye ama kwa kujua au uzembe

akashuhudia taarifa za uongo zilizojazwa na mwombaji na wazazi wake atakuwa na hatia ya jinai na anaweza, chini ya sheria iliyoanzisha

Bodi ya Mikopo kifungu 23(1)(b), kutozwa faini isiyozidi shilingi Milioni moja na laki tano (1,500,000) au kifungo kisichozidi miezi sita au

vyote kwa pamoja. Kughushi ni kosa la jinai na mtu anayeghushi au kushuhudia makosa kama hayo atashitakiwa mahakamani.

Tunathibitisha kuwa tumekagua na kuhakiki maelezo yaliyotolewa katika fomu hii pamoja na yale ya mdhamini na maoni yetu ni kama

ifuatavyo (kata isiyohusika):-

Mwombaji ni/siyo mkazi wa Kijiji/Mtaa wetu.

Taarifa alizotoa mwombaji ni/si sahihi.

Wazazi wa mwombaji ni/si wakazi wa Kijiji/Mtaa wetu.

Taarifa za wazazi ni/si sahihi.

Tunapendekeza/Hatupendekezi maombi haya.

Na. CHEO JINA KAMILI SAHIHI TAREHE

1 MJUMBE ________________________________________ _____________________________ __________________________

2 KATIBU ________________________________________ _____________________________ __________________________

3 MWENYEKITI ________________________________________ _____________________________ __________________________

Muhuri wa Serikali ya Kijiji/Mtaa

Loan Application Form Page #2 out of 6 Generated @ 19/06/2018 22:00:01
HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS BOARD

(BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU)

Plot No. 8, Block No. 46; Sam Nujoma Road; P.O.Box 76068, Dar es Salaam, Tanzania

Dar es Salaam, Tanzania

Tel: (General) +255 22 2772432/2772433; Fax: +255 22 2700286;

E-mail: info@heslb.go.tz; Website: www.heslb.go.tz

MKATABA WA MKOPO KWA MWANAFUNZI - 2018/19

Form#: 34672U2018

1.0 Wahusika wa Mkataba huu

Mkataba huu ni kati ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, yenye anwani hapo juu, ambayo ndani ya mkataba huu

itajulikana kama "Bodi" na ROBINSONI R MOSHI ambaye namba yake ya mtihani wa kidato cha Nne ni S0101.0290.2015 na ambaye

katika mkataba huu atajulikana kama Mwanafunzi au Mkopaji.

2.0 Kanuni na Masharti

1. Mkataba wa mkopo huu utasainiwa mara moja tu kwa kipindi chote cha masomo. Nyongeza au mafungu ya mkopo ambayo

mkopaji atapewa kila mwaka kwa pamoja yatakuwa sehemu ya mkataba huu

2. Kiasi cha fedha atakachokopeshwa mwanafunzi kwa mujibu wa mkataba huu, kitakuwa ni zile fedha zitakazopelekwa moja kwa

moja kwenye akaunti ya Benki ya mwanafunzi na kile kiasi kitakacholipwa taslimu moja kwa moja kwa mwanafunzi kupitia chuo

anachosoma, na fedha ambazo zitalipwa moja kwa moja kwenye akaunti ya chuo anachosoma mwanafunzi na zile ambazo

zitaendelea kulipwa ama kwa mwanafunzi ama kwa chuo zikihusishwa na gharama za masomo ya mwanafunzi.

3. Kwa madhumuni ya mkataba huu, Bodi itaendelea kutoa mkopo kwa muda wa kawaida wa masomo (Normal Course Duration) hadi

mwanafunzi atakapomaliza masomo yake na fedha hizo zitakuwa ni mkopo. Kwa madhumuni na masharti yaliyopo

kwenye kifungu cha 2 cha mkataba huu. Mwanafunzi atakuwa na jukumu la kuijulisha Bodi juu ya kutohitaji fedha za Mkopo pale

ambapo hatahitaji kuendelea kukopa.

4. Mkopo kwa ajili ya ada ya mafunzo na mahitaji maalum ya kitivo zitalipwa moja kwa moja katika chuo anachosoma mwanafunzi

5. Mkopo unaohusu gharama za mwanafunzi za moja kwa moja utapelekwa kwenye akaunti ya benki ya mwanafunzi kwa awamu ama

atapewa mwanafunzi kupitia chuo anachosoma.

6. Akaunti ya mwanafunzi iliyo katika kumbukumbu za Bodi haitabadilishwa isipokuwa kwa maombi ya Mwanafunzi ambayo

yamepitishwa na chuo anachosoma.

7. Mwanafunzi ana wajibu wa kuijulisha Bodi kuhusu mabadiliko yoyote yale yanayoweza kuathiri utoaji au urejeshwaji wa mkopo

kwa namna yoyote ile. Mwanafunzi pia ana wajibu wa kuipatia Bodi taarifa nyingine zozote zile zinazohusiana na mkopo wake pale

atakapotakiwa kufanya hivyo na Bodi.

8. Kutokana na mkopo atakaokopeshwa na Bodi, Mwanafunzi anawajibika wakati wote wa kipindi cha masomo yake kuheshimu na

kutii sheria ndogo za chuo, kanuni na maelekezo yatolewayo mara kwa mara na chuo anachosoma. Kwa madhumuni ya Mkataba

huu sheria ndogo ndogo, kanuni na maelekezo mbalimbali yanayotolewa na chuo anachosoma mwanafunzi yamejumuishwa katika

mkataba huu kwa marejeo (by reference)

9.

Bodi inaweza kusitisha mkopo kwa mwanafunzi :

a) Kama mwanafunzi atafukuzwa au kushindwa kuendelea na masomo kwa kutofaulu katika chuo husika

b) Kwa maombi ya mwanafunzi

c) Kama atapuuzia masomo katika chuo anachosoma

d) Kama mwanafunzi atashindwa kuzingatia makubaliano yaliyopo katika kifungu cha 2.8 hapo juu

e) Kama mwanafunzi atakataa kusaini marejesho (returns) za fedha alizolipwa au alizolipiwa kupitia chuoni

f) Kama mwanafunzi atafariki dunia

g) Kwa sababu nyingine yoyote itakayoonekana na Bodi inafaa

10. Endapo itabainika kwamba mwanafunzi ametoa taarifa za udanganyifu kwa kudhamiria au vinginevyo na taarifa hizo

zikawezesha mwanafunzi kupewa mkopo na Bodi; Bodi itasitisha kumpatia mwanafunzi sehemu ya mkopo uliobakia, na kiasi

chochote cha mkopo kitakachokuwa kimetolewa atatakiwa kukirejesha chote kwa mara moja. Pamoja na kurejesha kiasi chote cha

mkopo alichokopeshwa mwanafunzi kwa mkupuo, Bodi pia itamchukulia hatua za kisheria mwanafunzi kadri ya sheria inayounda

Bodi ama sheria nyingine yoyote ya nchi inayohusika.

11. Endapo mwanafunzi ataacha au kuachishwa masomo kwa sababu yoyote ile au kuthibitika kutoa taarifa za uongo ,Bodi

haitakamilisha utoaji wa fedha zilizobakia na mkopo uliokwisha tolewa utatakiwa kuanza kulipwa mara moja. Kwa madhumuni ya

Mkataba huu masharti yaliyopo kwenye sheria iliyoanzisha Bodi na kanuni zilizotungwa chini ya sheria hiyo vitakuwa sehemu ya

mkataba huu kwa marejeo (by reference).

12. Mkopo utaanza kurejeshwa miaka miwili baada ya kuhitimu, lakini mwanafunzi yuko huru kuanza kulipa muda wowote baada ya

kuhitimu.

13. Kutokana na masharti ya sheria iliyoanzisha Bodi na masharti madogo katika kanuni za mikopo, mkopo utarejeshwa kwa mafungu

kila mwezi au wote kwa pamoja au kwa njia nyingine yoyote ya malipo inayofaa kama itakavyoelekezwa na Bodi.

14. Bodi itatoa taarifa kuhusu kiasi cha mkopo alichokopeshwa mwanafunzi kwa kila mwaka wa masomo, na jumla ya kiasi

kilichoonyeshwa katika taarifa hiyo itakuwa ndicho kiasi anachodaiwa mwanafunzi mpaka mwaka husika. Taarifa hiyo

itachukuliwa kuwa sahihi mpaka pale itakapothibitika vinginevyo.

15. Bodi itakuwa huru kunikopesha kiasi chochote itakachoona kinafaa kulingana na kozi nitakayosoma na matokeo ya uhitaji wangu

kama itakavyothibitishwa na Bodi.

Loan Application Form Page #3 out of 6 Generated @ 19/06/2018 22:00:01
16. Mkopo huu utatozwa asilimia sita (6%) au asilimia nyingine itakayopangwa na Bodi kwa mwaka kama gharama ya kuhifadhi

thamani ya fedha (value retention fee) zitakazokopeshwa na asilimia moja ambayo ni gharama ya usimamizi wa mkopo

(administration fee) ambazo zitalipwa pamoja na marejesho ya mkopo.

17. Bodi itatoza asilimia 10% ya mkopo kwa mwaka kama adhabu ya kuchelewa kurejesha mkopo katika muda uliowekwa na Bodi.

18. Bodi itakuwa na mamlaka ya kuthibitisha taarifa zinazonihusu nilizoweka katika maombi haya kutoka katika mamlaka yoyote.

19. Bodi itakuwa na mamlaka ya kuomba na kupokea matokeo yangu ya mitihani moja kwa moja kutoka chuo nitakachopangiwa au

ninachosoma ili kuwezesha upangaji wa mikopo kwa miaka ya masomo inayofuata.

Loan Application Form Page #4 out of 6 Generated @ 19/06/2018 22:00:01
3.0 Matamko

Form#: 34672U2018

Sehemu hii itashuhudiwa na Wakili au Hakimu

3.1 Tamko la Mwanafunzi

Jina Kamili : ROBINSONI R MOSHI

Anwani ya Posta : p.o box 9074 dar es salaam

Kijiji/Mtaa : ubungo kisiwani

Kata/Shehia : Makuburi

Wilaya : Ubungo

Mkoa : Dar es Salaam

Barua pepe : robinhomarcello@gmail.com Namba ya Simu ya Mkononi : 0715496439

Mimi ROBINSONI R MOSHI ambaye ni mwanafunzi mkopaji, bila shinikizo lolote, na nikiwa na akili timamu nimesoma na kuelewa na

kukubali kanuni na masharti ya mkataba huu nikishuhudiwa na aliyesaini hapa chini

Sahihi (ya mwanafunzi): ___________________________________ Tarehe : _______________________________________

3.2 Tamko la Mdhamini (lazima awe mzazi au mlezi wa mwombaji)

Jina Kamili : joyce saliely kombe Anwani ya Posta : 9074

Kijiji/Mtaa : Ubungo

Wilaya : Ubungo

Kata/Shehia : Ubungo

Mkoa : Dar es Salaam

Barua pepe : robinhomarcello@gmail.com Namba ya Simu ya Mkononi : 0654518870

Namba ya kitambulisho : T-1004-6890-271-5

Aina ya kitambulisho : Voters Id

Mimi JOYCE SALIELY KOMBE nikiwa na akili timamu bila kulazimishwa, kurubuniwa, ama kushurutishwa na mtu yeyote yule,

nathibitisha kwamba nimesoma, kuelewa na kukubali kanuni na mashariti ya mkataba huu. Pia ninatambua nina jukumu la kuhakikisha

mkopo huu unarejeshwa kama taratibu zinavyoelekeza na kuwa muda wote nitakuwa na taarifa za mahali mkopeshwaji alipo.

Sahihi: _________________________________________________ Tarehe : _______________________________________________

3.3 Ushuhuda wa Wakili/Hakimu

Imetiwa sahihi na __________________________________________(jina la mkopaji) ambaye ninamfahamu AU

ametambulishwa kwangu na ___________________________________ambaye ninamfahamu

Muhuri wa ofisi hapa

Jina Kamili la Wakili/Hakimu: __________________________________Sahihi : ____________________

Tarehe : _____________________

3.4 Kwa Matumizi ya Ofisi ya Bodi ya Mikopo TU

Jina Kamili la Ofisa wa Bodi : _____________________________________________________

Cheo : _________________________________________

Weka Muhuri wa ofisi hapa

Tarehe : ________________________________________ Sahihi : _______________________________

Loan Application Form Page #5 out of 6 Generated @ 19/06/2018 22:00:01
Orodha ya Viambatanisho (List of Attachments)

Form#: 34672U2018

Tafadhali ambatanisha nakala za vivuli vilivyothibitishwa (certified) za nyaraka zifuatazo ili kuthibitisha maelezo yako:-

1. Uthibitisho wa uraia: "Birth Certificate" Number : 1003107165

2. Nakala ya kitambulisho cha mdhamini:Voters Id : T-1004-6890-271-5

3. Nakala ya vivuli vya vyeti au barua zote ulizopakia kwenye mfumo

Maelekezo Mengine

1.Tuma fomu halisi iliyosainiwa na viambatanisho vyake kwa njia ya "EMS" kisha tunza risiti kama uthibitisho.

2.Tuma Kwa Mkurugenzi Mtendajii, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, S.L.P 76068 Dar Es Salaam.

3.Fomu iliyokamilika ni fomu iliyosainiwa na Mwombaji sehemu mbili, iliyosainiwa na mdhamini, Mahakama, Serikali za mitaa, pamoja

na nakala za vivuli vya vyeti zilizothibitishwa.

4.Tunza nakala (copy) ya fomu iliyosainiwa pamoja na viambatisho vyote kwa kumbukumbu yako ya baadaye.

5.Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni 15-07-2018.

Loan Application Form Page #6 out of 6 Generated @ 19/06/2018 22:00:01