28.02.2013 Views

FRIENDS SCHOOL KAMUSINGA - Peak Success Education

FRIENDS SCHOOL KAMUSINGA - Peak Success Education

FRIENDS SCHOOL KAMUSINGA - Peak Success Education

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

102/2

KISWAHILI LUGHA

KARATASI 2

MUDA: MASAA 2 ½

MAAGIZO KWA MTAHINIWA

� Jibu Maswali Yote. Majbu Yote Yaandikwe Katika Kijitabu Hiki.

1 UFAHAMU

SOMA MAKALA YAFUATAYO KISHA UJIBU MASWALI.

Katika shairi ‘kichekesho’. Said Karama anazungumzia jamaa ambaye mchana huwasha taa na

usiku hufua nguo kwa sababu ya kuchanganyikiwa na dawa za kulevya. Kumekuwa na visa nchini

ambapo watu wamepofuka baada ya kubugia pombe iliyochanganywa na kemikali hatari.

Kisa cha kusikitisha kilikuwa cha yule bwana ambaye alipofuka kwa ghafla wakati akinywa

pombe.kwa sababu kulikuwa usiku alisikika akiuliza ‘mbona mnatuzimia taa ?’kumbe upofu

ulikuwa unaingia !

Ulanguzi wa dawa za kulevya ni swala nyeti katika kizazi chetu.hivi majuzi polisi wa Kenya

walinasa mihadarati ya aina ya ‘ cocaine’ yenye thamani ya mabilioni ya pesa.

Dawa hizi zina madhara makubwa sana hasa ya kiafya. Silabasi mpya inahimiza waandishi na

wachapishaji wazungumzie swala la dawa za kulevyia kinaga ubaga na walipe ufumbuzi. Swala hili

linaweza kusukwa kwa urahisi katika vitabu vya lugha iwe ya Kiswahili au kingereza. Mashairi na

nyimbo za kukejeli ulanguzi wa dawa za kulevya ni nyenzo bora. Pia hadithi fupi, riwaya na

tamthilia zionyeshe wazi madhara ya dawa za kulevya .

Madhara haya ni mengi na ni tofauti kulingana na aina ya dawa inayotumiwa. Kuna dawa

zinazoathiri akili na kusababisha wazimu hasa ule wa kuokota karatasi barabarani. Nyingine

husababisha magonjwa kama kansa, magonjwa ya moyo na mengineyo.

Isitoshe, dawa hizi humfanya mtu awe na uraibu usioachika kwa urahisi. Mtu anapozoea dawa

fulani. Mwili wake hutegemea dawa hiyo kila siku na hawezi kufanya lolote bila bila dawa hiyo.

Utumwa! La kusikitisha ni kuwa dawa hizi hazipatikani bure na ni ghali sana. Mbali na kuzorotesha

wa kiafya, huwazorotesha kiuchumi.

Taasisi ya Elimu ya Kenya (K.I.E) inastahili kupongezwa kwa kusuka swala hili sugu katika

silabasi. Hata wanaposoma Kiswahili, Hesabu au Jiografia, wanafunzi kukumbushwa madhara ya

dawa za kulevya.

Swala lingine linaloibuka , ni maadili mema yanayosisitizwa katika silabasi mpya. Swala hili ni

muhimu sana kwani katika utamaduni wa kiafrika maadili yalisifiwa katika ngano , nyimbo na

methali. Watu waliofanya matendo yasiokubalika katika jamii walitungiwa nyimbo za masimango

wawe mifano kwa wengine.

2

Silbasi mpya inaangazia pia swala la ufisadi katika juhudi za kupatia maadili kipaumbele. Tabia

mbaya ya kutoa na kupokea hongo lazima ikomeshwe kwa njia zote. Waandishi hutumia mifano

mwafaka kudunisha na kukejeli tabia hiyo ili watoto wakue na maadili mema . Hii ni njia mwafaka

ya kupigana na tabia iliyokita mizizi katika jamii yetu ya kuzunguka mbuyu. Wahenga walisema

kwamba kambare mkunje angali mbichi na ni vizuri tubadilishe tabia za watoto wakiwa wadogo

kabla ya kuwa wananchi sugu wa nchi ya kitu kidogo ‘ wanapenda kula mlungula.

Ufisadi ni jinamizi kubwa katika serekali na jamii nzima. Tumesikia kesi za watu wachache

wanaoiba kwa kalamu mabilioni ya pesa waweke mifukoni mwao wakati wakenya wengine

wanakosa hata chakula cha kila siku. Wafisadi wanamithilishwa vizuri na Shaaban Robert katika

kitabu chake ‘Kusadikika’ ambapo anaangazia kiini cha vitu vingine lakini kila dakika alilia. ‘kiu ,

njaa’ Kiini cha ufisadi ni ulafi hata kama mtu yuko na vitu vyote anavyohitaji.

Kuna swala lingine la stahamala. Silabasi mpya inahimiza waandishi na wachapishaji wasisitize

stahamala ili watu waishi pamoja hata kama wametofautiiana kama ardhi na mbingu hasa katika

maswala ya kidini. Stahamali ni muhimu nchini Kenya nchi , nchi yenye makabila mbalimbali

zaidi ya arubaini. Lengo moja la kitaifa la elimu katika silabasi ni kuchangia umoja wa kimataifa

kwa kuleta makabila yote pamoja kielimu. Shule ndio mahali pazuri sana pa kumaliza ukabila

kwani wanafunzi kutoka makabila mbalimbali hukutana na kushirikiana.

MASWALI

(a) Ipe taarifa uliyoisoma anwani inayofaa. (alama 1)

(b) Taja vichekesho viwili vilizungumziwa katika makala. (alama 2)

(c) Taasisi ya lilimu ya Kenya imesuka maswala nyeti gani katika silabasi mpya? (alama 4)

(d) Dawa za kulevyia zina madhara gani kwa wanaozitumia? (alama 5)

3

(e) Silabasi mpya inahimizaje swala la stahamala katika nchi yenye makabila mbalimbali zaidi ya

arubaini? (alama 1)

(f) Eleza maana ya (alama 2)

(i) Kuzumguka mbuyu ......................................................................................................................................

(ii) Kambare mkunje angali mbichi ..................................................................................................................

2. MUHTASARI

Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali

Mwana wa Adamu nikiumbe cha ajabu? Ni Kiumbe kilichopewa uwezo wa kuhodhi na kimiliki

kila kitu; kiumbe kilichopewa akili na maarifa fuvu tele ili kuratibu shughuli na mambo; kiumbe

kilichopewa uwezo kufaidi viumbe wengine kwa njia mbalimbali na jumla jamala; hichi ndicho

kiumbe kilichopewa idhini maalumu ya kuzaana na kujaza dunia. Huyu ndiye mwana wa mama

Hawa ambaye sasa amegeuka ndovu kumla mwanawe.

Kwa sababu ya bongo, binadamu ana uwezo wakutumia teknolojia kwa manufaa yake na ithibati

zipo tele. Binadamu ametumia nyambizi kuzuru chini ya bahari: amefika mwezini; amevumbua

mangala: amevumbua uyoka: amevumbua tarakilishi na shughuli zake ni za kutandaridhi.

Mwenyewe yuasema kuwa dunia yake imekuwa kitongoji katika muumano huu.

Chambacho wavyele, akili nyingi huondoa maarifa. Binadamu amekuwa dubwana linalojenga

kushoto na kubomoa kulia na tuna sababu ya kulisoza dubwana hili kidole. Rabana ndiye msanii

asiye mfanowe kwani alisawiri dunia kwa kila lililo jema kwa siku sita mtawalia na kumpa

binadamu mazingara murua. Rabuka akaona yote yalikuwa mema na mazuri, akamwambia

binadamu, “Haya, twende kazi!’

Viwanda vya binadamu vinatiririsha maji-taka ovyo hadi mitoni, maziwani na baharini na matokeo

yamekuwa ni vifo vya viumbe vya majini kama samaki ambavyo ni urithi aliyopewa na Muumba.

Hakuna kiumbe kinachoweza kustahimili maisha bila maji safi. Maji yote sasa yametiwa sumu na

binadamu kwa sababu ya ‘maendeleo’ yake. Joshi kutoka katika viwanda vivyo hivyo nalo linahsiri

ukanda wa ozoni ambao sasa umeruhusu jua kutahasari kwa joto kali mno. Siku hizi inasemekana

kuwa mvua ya asidi inayonyesha katika baadhi ya sehemu za dunia kuleta madhara makubwa.

Labda hata mabahari yamekasirika kwa sababu hivi majuzi katika kila kilichoitwa ‘tsunami’, bahari

lilihamia nchi kavu na kusomba maelfu ya binadamu nakuwaweza wazima wazima. Vimbuga

navyo vimetokea kwa wingi. Wataalamu wanasema kuwa viwango vya miyeyuko vitazidi kwa

sababu ya joto na kiwango cha maji kitazidi pia. Binadamu atatorokea wapi?

4

Idadi ya binadamu imezidi hadi kiasi asichoweza kukishughulikia kwa sababu anaijaza kiholela

kwa sabu anadai kuwa aliruhusiwa wa kuijiaza. Hii ni imani potovu. Anasahau kuwa alipewa

ubongo kwa kuwaza nakuwazua kabla ya kufanya chochote. Dhiki, maradhi na ufukara

zimechamia kwa binadamu na kumtia kiwewe.

Binadamu amefyeka misitu kwa kutaka makao, mashamba, mbao, makala, ujenzi wa nyumba na

barabara na mahitaji mengine mengi. Wanyama wamefurushwa na wengi kuangamia kwa sababu

ya ukosefu wa chakula na wengine kushindwa kuhimili mabadiliko katika mazingira. Chemichemi

za maji zimekauka nalo jangwa limeanza kutuzuru kwa kasi inayotisha. Kazi ya binadamu

imekuwa ya kukusia kamba motoni. Itambidi aanze kujenga kwa matofali ya barafu!

Maswali

a. Bila kupoteza maana iliyokusudiwa na mwandishi wa taarifa, fupisha aya ya kwanza

(maneno 40 –50) (alama 5)

Nakala chafu

Jibu

b. Kwa kuzingatia aya nne za mwisho, eleza mambo muhimu yanayoshughulikiwa na

mwandishi (maneno 95-105) (alama 10)

Nakala chafu

5

Jibu

3. MATUMIZI YA LUGHA (ALAMA 40)

A. Changanua sentensi ifuatayo ukitumia kielezo cha matawi

(a) Mwajuma anasoma na Maimuna anacheka. (alama 5)

B Onyesha matumizi mawili ya nusu koloni/nukta mkato (;) (alama 4)

(i) ........................................................................................................................................................................

6

(ii) .......................................................................................................................................................................

C. Vibadilishe vitenzi vifuatavyo viwe katika kauli ya kutendama na uvitungie sentensi. (alama 3)

(i) tunga .............................................................................................................................................................

(ii) Tanda ...........................................................................................................................................................

D. Unda kitenzi kimoja kutoka kila nomino. (alama 2)

(i) Toba..............................................................................................................................................................

(ii) Ridhaa..........................................................................................................................................................

E. Viambishi vilivyopigana mstari vinawakilisha nini? (alama 4)

(i) Ninalima ...........................................................................................................................................

(ii) Nimelima..........................................................................................................................................

(iii) Aliyelima..........................................................................................................................................

(iv) Nilimpiga..........................................................................................................................................

F. Eleza maana ya nahau hizi (alama 2)

(i) Nguo imerudi................................................................................................................................................

(ii) Taka radhi.....................................................................................................................................................

G. Andika wingi wa sentensi hizi. (alama 2)

(i) Uwanja wa kuchezea mpira ulijaa maji.

(ii) Uji wa mto haupozwi kwa ncha ya ulimi (alama 1)

H. Kanusha

(i) Mti mkuu ukianguka wana wa ndege huyumba. (alama 1)

(ii) Mgelizingatiwa ushauri wa mwalimu mngelipata sahihi majibu yote. (alama 1)

7

I. Tumia viunganishi vifuatavyo katika sentensi. (alama 4)

(i) Sembuse........................................................................................................................................................

(ii) Minghairi ....................................................................................................................................................

J. Bainisha matumiz ya –po- (alama 2)

(i) Alalapo hukoroma

(ii) Mtu hujikuna ajipatapo

K. Andika sentensi ifuatayo kwa msemo wa taarifa (alama 2)

Lo! Ninataka kujua ni nani aliyekula chakula changu.’ Asha alisema

L. Eleza maana mbalimbali zinazojitokeza katika matumizi ya maneno yaliyopigiwa mstari.

(i) Nilipopanda mtini, nilijificha kwenye panda. Nikamwinda ndege kwa panda.

(alama 3)

M. Kamilisha Tashbihi zifuatazo.

(i) Kunata kama

(ii) Tumbo kama

N. Maelezo yafuatayo yanalenga methali gani. (alama 2)

Jambo usilo haja nalo wakataza wengine ambao wanaweza kufaidi kwalo.

8

ISIMU JAMII

Taja mambo matatu ambayo hutawala matumiz ya lugha. (alama 3)

Soma mazungumzo yafuatayo halafu ujibu maswali

Linda: Sasa Masa?

Mama: Poa

Linda: Leo ni how, si uniwahi ngiri tu?

Mama: Unataka kudo nini na hizo chapa?

(i) Thibitisha kuwa adabu za lugha hazizingatiwi miongoni mwa wanajamii wa siku hizi.(alama

3)

(ii) Tathmini lugha ya mtoto na mama kisha utoe maoni yako. (alama 2)

(b) Tambua mazingira ambayo kiswahili hiki husemwa na wanaokisema. (alama 2)

(i) Kila mtu apewe mbili mbili yote ni juu yangu

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!