Nitapata wapi udongo wa kupandia Uyoga ? - Uyoga Tanzanian ...
Nitapata wapi udongo wa kupandia Uyoga ? - Uyoga Tanzanian ...
Nitapata wapi udongo wa kupandia Uyoga ? - Uyoga Tanzanian ...
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Nitapata wapi udongo wa kupandia Uyoga ?

Contact: +255-715-329736, +255-784-329736, +255773-329736

Mkapa road, 28R, Bagamoyo

http://www.mushroomuyoga.com

Udongo wa kupandia Uyoga unatokana na vimeng’enywa mbalimbali, kama vile maranda,

majani ya mpunga na ya migomba yaliyokauka, mapumba ya mahindi na ya mpunga, majivu

ya miti na mavi ya kuku. Mkulima mpya wa Uyoga hana sababu ya kuhangaika kutafuta

michanganyiko hiyo, vyote hivyo vimeshatengenezwa tayari kazi yako iliyobaki ni kupanda

mbegu tu.

Vimeng’enywa vimejazwa kwenye mifuko ya plastic mfano wa pipi. Ipo mifuko ambayo

haijachemshwa (yenye bacteria) na iliyo chemshwa (isiyo na bacteria). Ukinunua ambao

haujachemshwa itabidi uchemshe kwanza kisha ndio upande, wakati ule uliokwisha

chemshwa kinachofuata ni kupanda tu.

Ukishapanda mbegu hesabu siku hadi ya 21 unaanza kuvuta shilling zako. Hebu jaribu basi

uone utamu wa biashara hii. Kwa mkulima ambaye atanunua pipi toka UYOGA Company

atapewa ofa ya jinsi ya kupanda, au kuchemsha mifuko yake bure.

Bei kwa Mfuko wa (1.0 Kg) Bila usafiri.

Type of Mifuko ambayo haijachemshwa Mifuko iliyochemshwa

Specie (NON-PASTEURIZED)

(PASTEURIZED)

A Tshs 500 1,000

B Tshs 900 1,800

Nunua mifuko, bofia

sales@mushroomuyoga.com

Key A: Pleurotus (Oysters), Straw (Volvariella), and Common (Agaricus)

Key B: Ganoderma Lucidum (Reishi), Shiitake (Lentinus), Maitake (Grifola frondasa),

Winter (Flammulina), Pom pom (Hericium), Ear (Auricularis), Nameko (Pholiata), and

Shaggy Mane (Coprinus).

Vitabu rejea.

Kanuni Muhimu za Kilimo bora cha Uyoga.-Judith S.Muro, Wizara ya Kilimo,

+255-22-286640 au+255-754264305

Uzalishaji bora wa Uyoga, Taasisi ya Utafiti Uyole, Mbeya

Mwongozo wa Kilimo cha Uyoga Chaza (Oyster Mushrooms) , 2008.- Dkt. Mshandete,etl

+255755054614.

Uujue Uyoga na Namna ya Kulima aina Mbalimbali kwa Kutumia Tekinojia Rahisi, 2009

Chuo Kikuu cha Dar es salaam - Amelia Kajumulo Kivaisi
Maranda ya Mbao

Mavi ya kuku wa kienyeji

Majani makavu ya Mgomba

Majani ya Mpunga

Pumba za Mpunga

Pumba ya Mahindi

Order Now: sales@mushroomuyoga.com

Contact: +255-715-329736, +255-784-329736, +255773-329736

Mkapa road, 28R Ukuni, Bagamoyo, TANZANIA

Get more details

http://www.mushroomuyoga.com

Mashine ya kuponda na kukata

majani: Buy: info@intermech.biz

Pipi zipo tayari kusafirishwa

Jivu la mkaa wa miti