07.11.2014 Views

17. Uponyaji wa Ulimi Wako - Healingofthespirit.org

17. Uponyaji wa Ulimi Wako - Healingofthespirit.org

17. Uponyaji wa Ulimi Wako - Healingofthespirit.org

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

116

Uponyaji Kutokana na Dhuluma ya Kimapenzi

Inakadiriwa kwamba mwanamke mmoja kati ya wanne amewahi kudhulumiwa kimapenzi

au kubakwa. Isitoshe, idadi hiyo inazidi kuongezeka. Dhuluma ya kimapenzi ni mojawapo

ya matukio yanayoleta uharibifu na kujeruhi hisia. Wahasiriwa hufadhaika sana kihisia

na hubaki wazi kwa athari za giza kwa njia nyingi. Matukio kama hayo huharibu picha waliyo

nayo kuhusu Mungu na husababisha kila aina ya matatizo ya kihisia, kiroho, na kimwili (kwa

mfano, 50% watakuwa na majonzi, 33% watajaribu kujiua, 20% watatumia madawa ya kulevya).

Unapoitia orodha ifuatayo, weka alama katika hali iliyokupata maishani.

Madhara Yanayotokana na Dhuluma ya Kimapenzi

1. Kuanza kuchanganyikiwa na kupoteza sura

2. Woga na wasiwasi mbalimbali kuonekana

3. Utumwa wa nafsi kuonekana

4. Unaanza kujiuliza ni kwa nini Mungu aliruhusu jambo hilo lifanyike

5. Unakuwa na hasira kwa wazazi na/au kwa Mungu, kwa sababu hawakukulinda

6. Kukataliwa hutokea, iwapo mhasiriwa hataaminiwa na wazazi

7. Mhasiriwa huhisi kwamba amesalitiwa iwapo mzazi alijua bali hakufanya jambo lolote

8. Uzinzi, au dhambi zengine za kimapenzi hujitokeza

9. Ugumu wa kuhusiana na kimapenzi na mwenzi wa ndoa huonekana

10. Ndoa zilizokosa kufaulu huonekana

11. Kila mara mhasiriwa hujihisi kwamba yeye ni mchafu na huona haya

12. Mhasiriwa huuchukia mwili wake

13. Mhasiriwa huamini kwamba yeye ndiye alisababisha kitendo hicho au makosa yalikuwa yake

14. Jinamizi hutokea

15. Kukata tamaa na/au majonzi hujitokeza

16. Hasira isiyoweza kudhibitiwa pamoja na ghadhabu hudhihirika

17. Tamaa huanza kujitokeza

18. Mhasiriwa huhisi upweke na/au kuachwa

19. Mhasiriwa hutaka kukimbia, kujitenga, kujificha

20. Mhasiriwa huhisi kwamba amepoteza usafi wake

21. Mhasiriwa huwa na hisia za hatia, kusalitiwa, na kuhukumiwa

22. Mhasiriwa huhisi kuwa ametumiwa vibaya na amekuwa mchafu

23. Mhasiriwa huonyesha hisia kinzani k.m kupenda pamoja na kuchukia wakati mmoja

Mambo Yanayohitajika Ili Kupata Uponyaji Kutokana na Dhuluma ya

Kimapenzi (Fahamu kwamba uponyaji wa ndani unaweza kuhitajika kwanza kabla ya mtu

kuweza kusamehe.)

1. Kumsamehe mdhulumu/wadhulumu

2. Kusamehe mzazi/wazazi kwa kutomlinda

3. Kumsamehe Mungu

4. Kumsamehe mtu yeyote aliyekataa kuamini kwamba jambo hilo lilifanyika

5. Kujisamehe

6. Mwombe Mungu amsamehe mdhulumu na uombe msamaha kwa niaba ya mdhulumu huyo

7. Omba na kuvunja viapo vyovyote vilivyotamkwa na mtu huyo kuhusu kutowaruhusu wanaume

(au watu wa jinsia moja na mdhulumu) kusonga karibu na mhasiriwa huyo

8. Soma Zaburi 139, kumlazimisha mtu huyo kufahamu kwamba tumeumbwa kwa njia ya ajabu

# 17 Uponyaji Kutokana na Dhuluma ya Kimapenzi www.healingofthespirit.org

117

Ombi la Uponyaji wa Ndani kwa ajli ya Dhuluma ya Kimapenzi (fuata hatua

zifuatazo)

1. Omba ukimwambia Yesu alete akilini tukio linalohitaji uponyaji

2. Mwambie Yesu awe katika tukio hilo

3. Weka msalaba wa Yesu katikati ya mdhulumu na mdhulumiwa

4. Ngoja mpaka Yesu amshikilie mhasiriwa

5. Mpe Yesu hisia zote

6. Kwa kutumia upanga wa Roho, iweke huru roho ya mhasiriwa kutoka kwa mtu

aliyemdhulumu, vunja mapatano ya nafsi

7. Omba ili hisia zote zilizojeruhiwa ziweze kuponywa

8. Omba ili ukweli uweze kujulikana badala ya uwongo

9. Omba ili kuwe na uponyaji kutokana na woga, hofu, kuchanganyikiwa, maumivu, kujeruhiwa,

hasira, hatia, aibu, na uchafu.

10. Fukuza roho zote zinazohusika (kwa mfano, kiwewe, tamaa, woga, hasira, chuki, kukataliwa,

kujikataa, kujichukia, roho ya kumchukia mwanamume au mwanamke, roho

ya kumchukia Mungu, picha za kumpa mtu ashiki, kutokuwa na thamani—na hali

ikiwa mbaya zaidi, ukahaba, kutoa mimba, kifo, kujiua, usenge, usagaji)

11. Omba kwamba dhuluma hiyo itakoma katika ukoo wa kizazi chenu (kwa mfano, watu

wanaodhulumiwa hudhulumu: watu walioumizwa huwaumiza wengine)

Ombi la Kupata Uponyaji Kutokana na Dhuluma ya Kimapenzi (imetolewa ili

kutumiwa kwa wanawake lakini inaweza kugeuzwa iwapo kuna haja ya kufanya hivyo)

Mwombezi anatakiwa kuomba hivi:

Bwana, asante kwa kumpenda _______________ na kwa kutaka sana kumweka huru.

Ulihuzunika aliposumbuliwa kwa njia isiyo ya haki na umeubeba uchungu wake na masikitiko

yake moyoni mwako kwa miaka hii yote.

Bwana, tunakualika hivi sasa ili uingie ndani ya moyo wake ambapo nafsi yake ya msichana

mdogo iliyohisi kwamba ana uoga mwingi, ni mchafu sana, ametumiwa sana, na ameaibishwa.

Mimina upendo wako kamilifu ndani ya moyo wake ili kuondoa woga wote. Nena na

moyo wake ili aweze kujua kwamba unamkubali na unampenda vile alivyo, na kwamba hakuna

anavyoweza kuupoteza upendo huo. Bwana, chukua uchungu wake wote pamoja na aibu, na

uyafunike majeraha yake yote kwa mafuta yako ya uponyaji. Katika jina la Yesu ninaomba.

Amina.

Baada ya maombi ya kuliponya tukio hilo na kufukuza roho wa giza kufanyika, huenda

watu wengi wakaendelea kuhisi kwamba wao ni wachafu; katika hali hiyo mhusika anatakiwa

kusomewa maandiko yafuatayo halafu umwombee ombi la utakaso.

Maandiko ya Utakaso

• “Nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtatakata uchafu wenu wote na sanamu za miungu yenu

yote” (Eze. 36:25).

• “…Usiviite najisi vitu ambavyo Mungu” (Matendo 11:9).

• “… sisi tunatakaswa dhambi [kufanywa watakatifu] zetu kwa ile dhabihu ya mwili wake

aliyotoa mara moja tu, ikatosha” (Ebr. 10:10).

# 17 Uponyaji Kutokana na Dhuluma ya Kimapenzi www.healingofthespirit.org

118

• Ombi ili Mungu amnyunyizie mtu huyo maji safi (wakati mwingine Bwana atakuonyesha

picha—omba kuhusu unachoona katika picha hiyo).

Ombi la Kutakaswa Kutokana na Dhuluma ya Kimapenzi

Mwombezi anatakiwa kuomba kwamba:

Bwana Yesu, tunakuomba sasa uyamimine maji yako ya uzima juu ya ____________

na katika kila chembe ya nafsi yake. Tunaomba maji hayo yamiminike juu ya kila sehemu:

kichwa, mikono, mwili, sehemu za siri, miguu, na nyayo.

Asante Bwana kwa sababu maji yako ya uzima yanamsafisha ili awe “mweupe kama

theluji”—na kwamba kila hali ya unajisi, aibu, na hatia inasafisha na kuondolewa. Asante

kwa kumfanya kuwa safi ndani na nje.

Bwana, sasa unamwona kuwa safi na mweupe kama alivyokuwa siku uliyomuumba

mbinguni. Sasa ana mwili mpya ndani ya Yesu, amefanywa kuwa safi na mwenye kukosa

doa. Katika jina la Yesu ninaomba. Amina.

Vifaa

1. Paula Sandford, Healing Victims of Sexual Abuse (Victory House, 1988). ISBN 0-

932081-21-5.

2. Doris Wagner, Ministering Freedom to the Sexually Broken (Wagner Publications,

2003). ISBN 1-58502-038-9.

3. Jan Frank, Door of Hope (Nelson Books, 1995). ISBN 0785279660.

4. www.gospelcom.net/mlm/index.htm (healing sexual brokenness)

# 17 Uponyaji Kutokana na Dhuluma ya Kimapenzi www.healingofthespirit.org

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!