Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E) - KCSE Online
Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E) - KCSE Online
Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E) - KCSE Online
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Jina: ……………………………………………………………………

Nambari: ………...………

Shule: ………………………………………………………………. Sahihi ....................................

Tarehe: …………….....................................................................……

102/3

KISWAHILI

FASIHI YA KISWAHILI

KARATASI YA 3

JULAI/AGOSTI 2011

MUDA: SAA 2 ½

Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E)

Kiswahili

Fasihi

MAAGIZO

• Jibu maswali manne pekee katika kijitabu cha majibu ulichopewa

• Swali la kwanza ni lazima

• Maswali hayo mengine matatu yachaguliwe kutoka sehemu nne zilizobaki yaani: Riwaya, Hadithi

fupi, Fasihi simulizi na ushairi.

• Usijibu maswali mawili kutoka sehemu moja.

Karatasi hii ina kurasa 4 zilizopigwa chapa. Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na

Download 2011 kcse mock past papers @ www.kcse-oline.info

1
kuwa maswali yote yamo.

SEHEMU YA A: THAMTHILIA

KIFO KISIMANI: Kithaka wa Mberia

LAZIMA

1. “Bahati nasibu inapomteremkia mtu mara nyingi uhalisi huonekana……”

(a) Eleza muktadha wa dondoo hili.

(b) Onyesha bahati inayorejelewa.

(c) Kwa kutoa mifano mwafaka, jadili dhana ya usaliti tamthiliani.

(al.4)

(al.4)

(al.12)

SEHEMU YA B: RIWAYA

S.A Mohamed : UTENGANO

Jibu swali la 2 au la 3

2. “Pesa iweke mbele. Pesa mwanzo. Sisi tuna msemo wetu. Watose. Ndio, watose maana sisi

tumeshatoswa.”

(a) Liweke dondoo hili katika muktadha wake.

(al.4)

(b) Eleza mawaidha mawili ambayo msemaji alimpa msemewa katika muktadha huu. (al.4)

(c) Eleza maana ya “sisi tumeshatoswa” kwa kurejelea riwaya ya utengano.

(al.12)

3. Thibitisha ufaafu wa methali “Majuto ni mjukuu” ukirejelea riwaya ya utengano. (al. 20)

SEHEMU YA C : HADITHI FUPI

MAYAI WAZIRI WA MARADHI NA HADITHI NYINGINE.

Jibu swali la 4 au la 5

4. ‘Mnavyojua vizuri na yote hayo si kweli. Hata wengine wenu mmekuwa sungura. Kwani wewe Abdala

ulikuwa humfuatifuati, si hata ulimposa? Nyoo! Basi haifai hata kama hamtampa kura si vizuri

kumtukana.’

(a) Eleza muktadha wa dondoo hili.

(al.4)

(b) Eleza ukweli kuhusu mrejelewa katika dondoo.

(al.2)

(c) Taja na utoe mfano wa mbinu yoyote ya lugha ambayo imejitokeza katika dondoo.

(al.2)

(d) Jamii inayorejelewa katika hadithi husika ilisheheni maovu makubwa. Fafanua kauli hii. (al.12)

5. Kwa kurejelea diwani ya Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine, fafanua athari za uongozi

barani afrika.

(al.20)

Download 2011 kcse mock past papers @ www.kcse-oline.info

2
SEHEMU YA D: USHAIRI.

Jibu swali la 6 au la 7

6. SHAIRI

Alipokwenda kwao, mamaye alimwambia

Nipa fedha au nguo, nataka kwenda tumia!

Nikosapo hivi leo, nipa kisu tajitia !

Huzunguka akilia kwa maana ya uketo.

Ndipo mamaye kawaza, pamwe na kuzingatia,

Fedha zako umesoza, na leo zimekwisha,

Kisu sikukukataza, twaa upate jitia!

Mbele zangu n’ondokea! Wende na ukiwa wako!

Ulipogeuka nondo, nguo ukazingilia,

Kakaka kwa vishindo, usisaze hata moya,

Leo wanuka uvundo, wambeja wakukimbia!

Mbele zangu n’ondokea! Wende na ukiwa wako.

Ukijigeuza nyama, kama Simba ukilia,

Watumwa ukawaegema, ukawala wote pia,

Pasi kuona huruma, kutoa wahurumia,

Mbona hukuzingatia? Wende na ukiwa wako!

Si mimi naliokupa, ukata huo sikia !

Kwamba utakuja hapa, nipate kuondolea,

Naapa thama, naapa, sina la kukutendea!

Mbele zangu n’ondokea ! Wende na ukiwa wako !

Tamati nalikomile, ni hayo nalokwambia,

Hapahitaji kelele na kujirisha mabaya

Na kwamba yakutukie, sema yapate n’elea !

Zidi radhi kuniwea ! wende na ukiwa wako !

Download 2011 kcse mock past papers @ www.kcse-oline.info

3
Maswali

(a) Lipe shairi hili anwani mwafaka.

(b) Ni maudui gani yanayojitokeza katika shairi hili.

(c) Taja na ueleze tabia za mnenewa katika shairi hili.

(d) Mshairi ametumia uhuru wa utunzi. Taja sehemu mbili alikotumia uhuru huo.

(e) Eleza umbo la shairi hili.

(f) Eleza maana ya maneno yafuatayo kama yalivyotumiwa katika shairi :-

(i) Uketo

(ii) Ukata

(al.2)

(al.4)

(al.4)

(al.4)

(al.4)

(al.2)

FASIHI SIMULIZI

7. (a) Fafanua dhana hizi za fasihi simulizi.

(i) Nyiso

(ii) Mbolezi

(iii) Bembelezi

(b) Eleza tofauti kati ya methali na vitendawili.

(c) (i) Eleza sifa mbili za methali

(ii) Eleza sifa mbili za vitendawili

(d) Ni nini umuhimu wa methali?

(al.6)

(al.4)

(al.4)

(al.4)

(al.2)

Download 2011 kcse mock past papers @ www.kcse-oline.info

4