25.11.2014 Views

Hati ya kuhitimu kisomo cha sekondari Kenya (K.C.S.E) - KCSE Online

Hati ya kuhitimu kisomo cha sekondari Kenya (K.C.S.E) - KCSE Online

Hati ya kuhitimu kisomo cha sekondari Kenya (K.C.S.E) - KCSE Online

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Jina: ……………………………………………………………………

Nambari: ………...………

Shule: ………………………………………………………………. Sahihi ....................................

Tarehe: …………….....................................................................……

102/2

KISWAHILI

LUGHA

KARATASI YA 2

JULAI/ AGOSTI 2011

MUDA: SAA 2 ½

Hati ya kuhitimu kisomo cha sekondari Kenya (K.C.S.E)

Kiswahili

Lugha

MAAGIZO

• Andika jina lako na namba yako katika nafasi ulizoachiwa hapo juu.

• Weka sahihi yako na tarehe ya mtihnai katika nafasi ulizoachiwa

• Jibu maswali yote.

• Majibu yaandikwe katika nafasi zilizoachwa wazi katika kijitabu hiki cha maswali.

Kwa Matumizi ya Mtahini Pekee.

SWALI UPEO ALAMA

1 15

2 15

3 40

4 10

JUMLA 80

Karatasi hii ina kurasa 8 zilizopigwa chapa. Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na

kuwa maswali yote yamo.

Download 2011 kcse mock past papers @ www.kcse-oline.info

1

1. UFAHAMU

Soma habari ifuatayo kisha ujibu maswali yatakayofuata

Uchumi ni mfumo wa mapato, na matumizi ya watu katika nchi fulani. uchumi huu huhusisha

sekta mbalimbali kama vile utalii, kilimo, sanaa miongoni mwa sekta nyingine muhimu. Ukuaji wa

kiuchumi hutegemea mambo kadhaa ili kuzaa matunda. Katika nji zote ulimwenguni, sera za kisiasa

huamua jinsi uchumi utakavyokua na kunawiri. Kama siasa hazitilii maanani sera za ukuaji wa

kiuchumi, basi mapato ya nchi hiyo hugubikwa katika wingu kubwa la uchochole

Nchini Kenya, kwa mfano, kuna ulinganifu mkubwa kati ya siasa na ukuaji wa kuichumi.

Ukuaji wa kiuchumi hutegemea uteuzi wa maafisa wanaosimamia asasi muhimu sana. katika

usimamizi wa uchumi. Asasi hizi ni kama vile wizara ya fedha, Wizara ya Mipango ya kitaifa na

Ruwaza ya 2030, Mamlaka ya Ukusanyaji wa ushuru ( KRA), Benki kuu ya Kenya (CBK), na tume

ya kupambana na ufisadi (KACC). Usimamizi wa asasi hizi huwa muhimu sana katika kuamua

hatima ya uchumi wa nchi hii

Katika mwezi wa Juni kila mwaka, Waziri wa fedha husoma bajeti kwa Wabunge. Katika

maelezo yake yaitwayo. nakisi ya bajeti hujitokeza. Kabla ya bajeti kuandaliwa, Wizara ya Mipango

huandaa hati iitwayo Usoroveya wa kiuchumi. Baada ya kusomwa kwa bajeti ni jukumu la Wabunge

kupitisha mswada wa kifedha unaohusisha wizara zote au kuutupilia mbali. Jukumu hili linafaa

kutekelezwa kufikia tarehe 31 Oktoba ya kila mwaka kulingana na sheria

Wakati huo huo, afisa anayejulikana kama Mhasibu Mkuu wa serikali huwa na jukumu la

kuchunguza na kutathmini matumizi ya fedha ya Wizara mbalimbali na kutoa ripoti yake kwa kamati

ya Uhasibu wa Umma bungeni (PAC). Kamati hii hutoa mapendekezo yake kwa mkuu wa sheria na

pia kwa Tume ya kupambana na ufisadi ili haki iweze kutekelezwa mahakamani iwapo dosari za

kifedha zimefanyika.

Benki kuu ya Kenya kupitia kwa Gavana wake huwa na jukumu la kutoa ushauri kwa serikali

kuhusu usimamizi wa kifedha kuchunguza nguvu za shillingi ya Kenya dhini ya sarafa za kigeni,

kutoa sarafu za Kenya kwa umma na usimamizi wa benki zote nchini miongoni mwa majukumu

mengine.

Kwa upande mwingine, mamlaka ya Ukusanyaji ushuru Nchini huwa na jukumu la

kuhakikisha kuwa malengo ya ushuru yamefikiwa na pia kuhakikisha kuwa hakuna mtu binafsi au

kampuni yoyote inayokwepa kulipa ushuru

Iwapo kuna udanganyifu wowote, basi swala hili linafaa kuangaliwa na mahakama zetu na

haki kutekelezwa

Kwa ujumla , sisi kama wananchi tunafaa kusaidia asasi hizi zote kufikia malengo. yake ili

tupate ukuaji wa kiuchumi utakaofaidi watu wote. Jambo hili litahakikisha kuwa pengo lililo kati ya

walalahai na walahoi liniezibwa. Sisi kama wananchi, tunafaa kuonyesha uzalendo wetu kwa nchi

Download 2011 kcse mock past papers @ www.kcse-oline.info

2

yetu kwa kulipa ushuru unavyetakikana , tukifuata mwito kuwa KULIPA USHURU NI

KUJIITEGEMEA. Mwisho, tusaidie viongonzi wetu katika kuendeleza sera mwafaka za kiuchumi ili

nchi yetu ipige hatua kubwa katika ukuaji wa kiuchumi. Iwapo afisa yeyote atatuhumiwa kushiriki

katika, kashfa yoyote ya kuhujumu nidhamu ya kifedhaa,basi anafaa kukabiliwa vilivyo, kisheria bila

kujali hadhi yake ya kijaimi au kisiasa.

Maswali

a) Ipe habari hii kichwa awafaka (al.1)

b) Uchumi ni nini ? (al.1)

c) Ukuaji wa kiuchumi nchini Kenya hutegemea nini ? (al.1)

d) Benki kuu ya Kenya ina majukumu yepi ? (al.2)

e) Mhasibu Mkuu ana dhima serikalini ? (al. 2)

f) Pendekeza hatua mbili za kufufua, uchumi. (al. 2)

g) Ufisadi umehujumu vipi ukuaji wa kiuchumi ? (al. 2)

h) Ni vipi wakenya wanaweza kuonyesha uzalendo ? (al. 1)

i) Eleza maneno yafuatayo kama yalivyotumika katika ufahamu. (a1.3)

i) Hatima

Download 2011 kcse mock past papers @ www.kcse-oline.info

3

ii) Walalahai

iii) Walalahoi

2. MUHTASARI

Suala la demokrasia na haki ni mambo ambayo yamekuwa yakisisitizwa, nchini kenya tu,

bali katika ulimwengu mzima . Tangu miaka 90 ,nchi imekuwa ikipata sura mpya kila uchao. mfumo

mpya wa vyama vingi vya kisiasa uliwatia wananchi hamu ya kudai haki zao na kupinga udhalimu

wa kila aina. Hata hivyo, baadhi ya wananchi huvuka mipaka ya kudai haki hii na kuwakosea

heshima viongozi , jambo ambalo ni tisho kwa demokrasia yenyewe.

Katiba ya Kenya imeeleza vyema suala la haki za kibinadamu katika mswada wa haki -

Mswada huu umeorodhesha haki za hiari ambazo mwana nchi anapaswa kuwa nazo. Kwa mujibu wa

katiba ya Kenya ,binadamu ana haki ya kuishi hivi ni kusema kwamba, hakuna mtu yeyote

anayepasa kuukatisha uhai wa mtu mwingine , ama kwa kumuua au kwa kusababisba kifo hicho,

kwa njia isiyo, moja kwa moja.

Aidha, kila Mkenya ana haki ya kupata elimu. Elimu humsaidia Mja kuwa mwananchi bora

na kuweza kuyakidhi mahitaji yake na ya familia yake.Ingawa elimu ni muhimu, tunapata kuwa

nchini humu kuna baadhi ya jamii ambazo huwaonjesha tu wana wao elimu. Utapata kwamba katika

jamaa nyingi watoto, na hasa wa kike hupewa elimu ya kimsingi tu , yaani kufikia darasa la nane.

Jambo hili lazima likomeshwe kwa vyovyote vile.

Mkenya yeyote yule ana haki ya kumiliki mali ama kwa kununua au hata kurithi kutoka kwa

wazazi. Hata hivyo , utapata kwamba katika jamii nyingine watoto wengi , hasa wa kike , hunyimwa

haki hii . Si ajabu kusikia mgogoro kupitia kwa vyombo vya habari baina ya ndugu

wa kiume na wa kike ; wakiume wakidai kuwa wa kike hapaswi kurithi mali ya wazazi. Hata baadhi

ya wazazi wanapoena kuwa jua lao linakaibia kuchwa , huuza mali yao bila kujali watoto.

Mwananchi yeyote ambaye amefikisha umri wa miaka kumi na minane ana haki ya kupiga

kura kuchagua, viongozi awatakao.Haifai kwa mtu yeyote kumshurutisha mwingine kumpigia kura

mtu asiyetaka. Hili ni jukumu muhimu mno kwa kila mwananchi.Watu wote wanapoona kuwa

viongozi waliochukuliwa na wengine hawatekelezi wala kutimiza ahadi zao za kabla ya uchaguzi.

Download 2011 kcse mock past papers @ www.kcse-oline.info

4

Mkenya yeyote yu huru pia kushiriki katika dhehebu analotaka kuabudia. Ana uhuru wa

kuchagua ni marafiki gani atakaoandamana nao mradi tu asiwe anavunja sheria. Hata hivyo , kwa

miaka mingi, watu wamekuwa wakikiuka haki za kibinadamu kwa njia mbalimbali . Kwa mfano ,

utapata kwamba baadhi ya polisi huwashika washukiwa na kuwatesa bila sababu.

Mshukiwa hapaswi kuteswa na kuchukuliwa kuwa. mhalifu hata

kabla ya kuhukumiwa . Haupiti muda kabla ya kusikia kamsa mitaani ya mama aliyeibiwa. Badala

ya wananchi kumshika mshukiwa huyo na kumpeleka kwa polisi, wao hujichukulia sheria mikononi

mwao na kumpiga kitutu Wengine huvishwa magurudumu na kuchomwa kwayo bila huruma

Baadhi ya washukiwa hata wanapopelekwa kwenye hifadhi ya polisi hupigwa vibaya iii

kukiri makosa yao. Wengi wa polisi hudhani kuwa jukumu lao kubwa ni kuadhibu hata pale

ambapo hapana haja ya kuadhibu.

Watoto wengi wamekuwa wakiteseka kwa sababu wazazi wao wamekosa kuwapa

malezi.Wazazi wengine , baada ya kutofautiana kidogo, hutalikiana na kuwaacha watoto chini ya

ulezi wa mmoja wao. Mara nyingine mzazi anayeachiwa watoto huwa hajimudu na huteseka sana

kuwalea watoto hawa peke yake.Jambo hili huwakosesha raha watoto hawa na baadhi yao huishi

kukimbilia mitaani

Binadamu ana haki ya kuishi vyema bila ubaguzi wala dhuluma za aina yoyote. Nijukumu la

kila mwananchi kuhakikisha kwamba haki imedumishwa katika eneo lake.

Maswali

a) kwa kurejelea taarifa hii, eleza mambo yanayochukuliwa kuwa haki ya kila mtu .

(maneno 70-80) ( ala 9,mtiririko 2)

Nakala chafu

Nakala safi

Download 2011 kcse mock past papers @ www.kcse-oline.info

5

b) Ni vipi haki za kibinadamu zimekiukwa nchini (maneno 50) ( ala 6,mtiririko 2)

Nakala chafu

Nakala safi

3. MATUMIZI YA LUGHA (ALAMA 40)

(a) Taja konsonanti mbili ambazo hujulikana kama nusu irabu. (al. 2)

(b) Tunga sentensi ukitumia neno “kijana” kama ; (al. 2)

(i) Nomino

(ii) Kivumishi

Download 2011 kcse mock past papers @ www.kcse-oline.info

6

(c) Tunga sentensi ukitumia viwakilishi vifuatavyo:

(i) Kiwakilishi nafsi huru

Download 2011 kcse mock past papers @ www.kcse-oline.info

7

(al.2)

(ii) Kiwakilishi nafsi kiambata

(d) Andika sentensi yakinishi kutokana na hii. (al. 1)

Chakula hakipikiki vizuri

(e) Tumia vitenzi vifuatavyo vya silabi moja kutunga sentensi katika kauli ya kutendewa.

(i)-ja-

(al.2)

(ii)-la-

(f) Andika sentensi mbili ambazo zaweza kuwa sahihisho la sentensi ifuatayo. (al 2)

Juma ameingia katika chumbani mwake.

(g) Andika ukubwa wa sentensi hii. (al. 2)

Mwizi aliiba kikapu na ng’ombe.

(h) Tunga sentensi sahihi kubainisha matumizi ya “KI” kama: (al. 3)

(i) kielezi namna

(ii) hali ya kuendelea

(iii) masharti

(i) Andika kwa msemo wa taarifa (al. 3)

“Mimi nitawakaribisha wageni leo jioni kisha nitaondoka kwenda kwangu kesho” Fatuma

alimwambia Juma.

(j) Akifisha sentensi hii iletee maana mbili tofauti. (al. 2)

Baba Maria anakuja.

(k) Changanua sentensi ifuatayo kwa jedwali. (a. 4)

Mtoto mjeuri aliadhibiwa leo asubuhi.

(l) Andika sentensi zifuatazo upya kulingana na maagizo. (al. 2)

(i) Ng’ombe walipopotea mchungaji alikuwa na wasiwasi.

(Anza na: Kupotea)

(ii) Darasa lao halikuwa na milango mikubwa ya kupitia.(Anza: Milango mikubwa)

(m) “NI” ina matumizi gani katika sentensi hizi;

(al.3)

(i) Eliza ni mpenzi wa Otieno.

(ii) Nitaenda Nairobi kesho.

(iii) Ameingia chumbani.

(n) Unda nomino kutokana na viarifa vifuatavyo.

(al.2)

(i) Andika

(ii) Fa

(o) Tambulisha nyakati au hali za sentensi zifuatazo.

(al.2)

(i) Naja

(ii) Nilikuwa nimeketi alipotembelea

(p) Ainisha mofimu katika neno “LILILONG’OLEKA”

(al.3)

(q) Tunga sentensi ukitumia maneno yafuatayo ili kutofautisha maana

.(al.2)

Download 2011 kcse mock past papers @ www.kcse-oline.info

8

(i) sisi

(ii) zizi

(r ) Andika visawe viwili vya neno tabibu. (al.1)

4. ISIMU JAMII (ALAMA 10)

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yanayofuata

Kwa mujibu wa sheria kifungu nambari 3 sehemu ya A ya sheria za nchi, umepatikana na

hatia ya kutatiza utulivu wa raia wapenda amani kwa kuwatusi na kutisha kuwapiga. Kiongozi wa

mashtaka amethibitisha haya kwa kawaleta mashahidi ambao wametoa ushahidi usiotetereka kuhusu

vitendo vyao katika tukio hilo. Korti hii imeonelea una hatia na imeamua ufungwe jela kwa muda wa

miaka miwili bila faini ili iwe funzo kwako na kwa wenzako wenye tabia kama zako. Una majuma

mawili kukata rufani.

(a) Lugha katika kifungu hiki hutumika katika muktadha upi?

(al.1)

(b) Toa ushahidi wa jibu lako.

(al.3)

(c) Zaidi ya sifa zilizo katika kifungu hiki, eleza sifa zingine nne za matumizi ya lugha katika

muktadha huu.

(al.4)

(d) Eleza maana ya sajili. (al. 2)

Download 2011 kcse mock past papers @ www.kcse-oline.info

9

Download 2011 kcse mock past papers @ www.kcse-oline.info

10

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!