Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E) - KCSE Online
Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E) - KCSE Online
Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E) - KCSE Online
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Jina: ……………………………………………………………………

Nambari: ………...………

Shule: ………………………………………………………………. Sahihi ....................................

Tarehe: …………….....................................................................……

102/3

KISWAHILI

FASIHI

KARATASI YA 3

JULAI/AGOSTI 2011

MUDA:SAA 2 ½

Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E)

Kiswahili

Fasihi

MAAGIZO

• Jibu maswali manne pekee

• Swali la kwanza ni la lazima

• Maswali hayo mengine matatu chagua kutoka sehemu nne zilizobaki yaani, Riwaya , Tathilia,

Hadithi fupi na Fasihi Simulizi

• Usijibu maswali mawili kutoka sehemu moja.

Free 2011 kcse mock past papers @ www.kcse-online.info

1
Karatasi hii ina kurasa 4 zilizopigwa chapa. Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na

kuwa maswali yote yamo.

SEHEMU YA A : USHAIRI

LAZIMA

Soma shairi ulilopewa kwa makini kisha ujibu maswali (ala. 20)

1. Binadamu hatosheki, ni kiumbe chenye zani ,kweli mja hapendeki,

Kwa kweli haaminiki,hila ameficha ndani,la wazi ni unafiki,

Ukweliwe haafiki, njama zake zi moyoni,usimwone ni rafiki,

Mtu kuwa na tamaa, akitaka kiso chake,ni hatari kama nyoka.

Maswali

Wengine watakuua,wakiona una pesa,hata zikiwa kidogo,

Hizo kwao ni maua,hupupiwa zikatesa,wakizifuata nyago,

Hadi kwenye wako ua, pasipo hata kupesa, wala kukupa kisogo,

Mtu kuwa na tamaa, akitaka kiso chake, ni hatari kama nyoka.

Pindi kinunua kitu, hafurahi shaitani, bali tajawa chukizo,

Mtu akiwa mtukutu, tanuna mtimani,kwalo lako tekelezo,

Tamko lake “Subutu”, kuondoa tumaini, na kukuulia wazo

Mtu kuwa na tamaa, akitaka kiso chake, ni hatari kama nyoka.

Aliye na talaghani, taabu kuishi naye,kazi yake kujidai,

Takusema faraghani, asosema kiwa naye, kupendeza maadui,

Hana faida nyumbani, ni mtu akuchimbaye, mradi asitamai.

Mtu kuwa na tamaa, akitaka kiso chake, ni hatari kama nyoka.

Kwa hakika ni balaa, kumkirimu mchawi, aliyejaa uchoyo,

Bahati ina hadaa, kukupa alo sodawi,aibatili rohoni,

Mipangoyo kwake jaa, na nia ya ustawi, huwiza kuvunja kaniyo,

Mtu kuwa tamaa, akitaka kiso chake,ni hatari kama nyoka.

Ninacho changu kilio, ninalia sana sana, kinyesi nimetupiwa,

Ningetoa azimio, lakini uwezo sina, kwa mazito kuambiwa,

Ama nitumue mbio, fuadini ninanena, akilini nazuiwa,

Mtu kuwa tamaa, akitaka kiso chake, ni hatari kama nyoka.

(a) Toa kichwa cha shairi hili. (ala. 1)

(b) Eleza sababu za mtunzi kulalamika katika shairi hili. ( ala. 3)

(c) Eleza muundo wa shairi hili.

(d) Andika ubeti wa tatu kwa lugha ya nathari

Free 2011 kcse mock past papers @ www.kcse-online.info

2

(ala.4)

( ala.4

(e) Taja na utoe mifano ya aina mbili za tamathali za usemi zilizotumiwa katika shairi hili. (ala.4)

(f) Toa mifano miwili tofauti ya uhuru wa kishairi katika shairi hili. (ala 2)

(g) Eleza maana ya msamiati ufuatao kama ulivyotumiwa katika shairi.

(i) Zani

(ala.2)
(ii) Taraghani

SEHEMU YA B: THAMTHILIA

KIFO KISIMANI: Kithaka wa Mberia

Jibu swali la 2 au la 3

2 “Mara nyingi vijana hujishughulisha na mambo ya kibinafsi…. Hufuata mkondo wa anasa”

a) Eleza muktadha wa maneno haya. (ala.4)

b) Thibitisha ukweli wa dondoo hili ukirejelea matukio katika tamthilia nzima (al. 6)

c) Fafanua mchango wa vijana katika kupigania umma . (ala 10)

3. Huku ukitoa mifano mwafaka onyesha jinsi mbinu hizi zilivyotumiwa katika tamthili ya

‘kifo kisimani’

(i) Kejeli (ala. 10)

(ii) Taharuki.

(ala.10)

SEHEMU YA C : RIWAYA

UTENGANO : S.A Mohamed

Jibu swali la 4 au la 5

4. Jumuia ya utengano ni taswira mwafaka ya utovu wa maadili katika jamii. Jadili. (ala 20)

5. “ Mabadiliko ni maumbile… ni sheria na kanuni inayoendesha ulimwengu huu. Na papo

mwanadamu huyaonea mabadiliko ajabu”

a) Eleza muktadha wa maneno haya. (ala 4).

b) Ni tamathali gani iliyotumika katika dondoo hili Tamathali hii ina umuhimu gani (ala. 4)

c) Eleza sifa za mrejelewa katika dondoo hili (ala 4)

d) Huku ukirejelea matukio katika riwaya nzima thibitisha kuwa mabadiliko ni sheria

na kanuni inayoendeesha ulimwengu huu (al. 8)

SEHEMU YA D:

6. Mkimbizi J. Habwe

“Wakati huu baba alikuwa ametoroka. Mama alitufahamisha kuwa alikuwa amwekwenda

kupigana. Kumbe wakati wote huo baba alikuwa mwanamgambo na ni mama tu aliyejua”

(a) Eleza muktadha wa maneno haya.

(ala.4)

Free 2011 kcse mock past papers @ www.kcse-online.info

3
(b) Eleza tamathali moja iliyotumika katika dondoo hili.

(c) Huku ukirejelea hadithi nzima fafanua madhara ya vita.

(ala.2)

(ala.14)

FASIHI SIMULIZI.

7. a) Ni nini maana ua utafiti wa nyanjani (ala. 2)

b) Wanafunzi wa shule yenu wanapanga kwenda Lodwar kukusanya hadithi ya jamii ya

waturkana.

(i) Taja hatua mtakazofuata katika utafiti wenu. (ala. 8)

(ii) Eleza mbinu zozote mbili mtakazotumia kukusanya data. (ala 4)

(iii) Ni matatizo gani mnayoweza kukumbana nayo (ala. 6)

Free 2011 kcse mock past papers @ www.kcse-online.info

4