18.01.2015 Views

chama cha wanasheria watetezi wa mazingira (leat) na ... - TrustAfrica

chama cha wanasheria watetezi wa mazingira (leat) na ... - TrustAfrica

chama cha wanasheria watetezi wa mazingira (leat) na ... - TrustAfrica

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

CHAMA CHA WANASHERIA WATETEZI

WA MAZINGIRA (LEAT)

NA

UTEKELEZAJI WA KAMPENI YA

MAENDELEO YA SEKTA YA KILIMO

TANZANIA

Kimeandaliwa na,

Chama Cha Wanasheria Watetezi wa

Mazingira

Jengo la Mazingira, Mtaa wa Mazingira,

Eneo la Mikocheni ‘B’

S.L.P. 12605,

Dar es Salaam.

Simu/Nukushi: 255-2780859/2781098

Barua pepe: info@leattz.org

Tovuti: www.leat.or.tz

Na kufadhiliwa na Trust Africa.

“Ongezeko la Bajeti ya Kilimo, Maendeleo ya

Kilimo, Ustawi wa wakulima”

KUHUSU LEAT

Neno LEAT ni kifupisho cha maneno ya

Kiingereza ‘Lawyers’ Environmental Action Team’

ambayo kwa Kiswahili ni ‘Chama cha Wanasheria

Watetezi wa Mazingira’. LEAT ni Taasisi ya Kiraia

iliyoanzishwa mnamo mwaka 1994 na kusajiliwa

rasmi mwaka 1995 kama Taasisi isiyokuwa ya

Kiserikali yaani ‘Non Governmental Organization’

(NGO). Novemba 2001 LEAT ilisajiliwa tena kama

Kampuni isiyokuwa na Mtaji wa Hisa chini ya

Sheria ya Makampuni ya mwaka 2002.

Dhamira ya LEAT

Dhamira ya Kuanzishwa kwa LEAT ilikuja baada

ya Wanasheria waanzilishi kugundua kuwa Sheria

ni chombo muhimu cha kulinda Mazingira na

usimamizi mzuri wa Maliasili za Taifa. LEAT ni

Taasisi ya kwanza yenye kusimamia Sheria za

Mazingira kwa maslahi ya Umma Kuanzishwa

nchini Tanzania. LEAT inafanya tafiti za kisera na

Kisheria, Ushawishi kwa masuala mbalimbali

yenye maslahi ya Umma, na kufungua na

kusimamia kesi zenye masilahi ya Umma kwa

niaba ya Wananchi au Mazingira.

Dira ya LEAT

“Afrika yenye Mazingira na Maliasili endelevu

zinazosimamiwa vizuri kwa vizazi vilivyopo na

vijavyo”

Dhima ya LEAT

Kuchangia katika utawala bora wa Matumizi na

usimamizi endelevu wa Mazingira na maliasili

kwa njia ya kufungua na kusimamia kesi zenye

masilahi ya Umma, kufanya ushawishi, kufanya

tafiti za kimkakati, kuwajengea uwezo wananchi

na kufanya kazi kwa mitandao.

Maadili Muhimu

LEAT itaendelea kujihusisha kikamilifu katika

kusimamia maadili yafuatayo:-

● Uaminifu

● Nidhamu ya kweli

● Kufanya kazi kwa pamoja na kujitolea

● Kutetea usalama wa Mazingira

● Mwitikio wa wakati na Ufahamu

● Kuheshimu Haki za binadamu

● Uwazi na Uwajibikaji

LEAT NA UTEKELEZAJI WA MRADI WA

USHAWISHI KWA MAENDELEO YA SEKTA

YA KILIMO

Chama cha Wanasheria Watetezi wa Mazingira

(LEAT), kwa ufadhili wa Trust Africa kinatekeleza

mradi wa ushawishi kwa serikali wenye lengo

la kuleta maendeleo katika sekta ya Kilimo

kupitia Bajeti ya Serikali. Kampeni hii ina lengo

la kuhakikisha Serikali ya Jamhuri wa Muungano

wa Tanzania inatimiza maazimio iliyoingia kitaifa

na kimataifa yenye lengo la kuendeleza sekta

ya kilimo. Maeneo ya ushawishi kwa Kampeni

hii yametolewa katika maazimio na matamko

yafuatayo ya Programu Kabambe ya Kuendeleza

Kilimo Afrika (CAADP) na Tamko la Maputo la

mwaka 2003. Mambo makuu matatu ambayo

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

imeridhia kuyatimiza ni:-

i. Kuongeza Bajeti ya sekta ya kilimo mpaka

kufikia angalau asilimia 10 ya Bajeti ya Serikali

hadi kufikia mwaka 2010.

ii. Kuhakikisha sehemu kubwa ya Bajeti

iliyotengwa inaelekezwa katika Maendeleo

(Angalau 50/50 Maendeleo na Uendeshaji) na

kulenga kuwaendeleza wakulima wadogo.

iii. Kuhakikisha ukuaji wa sekta ya kilimo

unaongezeka hadi kufikia asimilia 6.

Endapo Tanzania itafikia Maazimio haya itakuwa

imepiga hatua nzuri kwa katika vitendo kufikia

Malengo ya Millennia, Dira ya Maendeleo ya Taifa

2025 na Mpango wa Kukuza Uchumu na Kuondoa

Umasikini Tanzania (MKUKUTA I & II).

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!