10.07.2015 Views

Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove - Sazani ...

Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove - Sazani ...

Kitabu cha muongozo cha mafunzo ya Rocket Stove - Sazani ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kitabu cha muongozocha mafunzo yaRocket StoveUfahamu wa ubadilikaji endelevu wa mabadaliko ya tabia za nchi

FaharasaShukrani 4Utambulisho 4Rocket Stove ni nini? 5Sababu ndiyo maana Rocket Stove ni majiko mazuri 6Vijenzi vikuu vya Rocket Stove ni: 7Nadharia ya Rocket Stove 8Kuna faida gani ya Rocket Stove? 9Utengenezaji 10Jinsi ya kutengeneza: 10Kazi ya metali 11Vifaa vinavyohitajiwa kwa utengenezaji wa metali: 11Nyenzo zinzaohitajiwa kwa utengenezaji wa metali: 12Jinsi ya kutengeneza 13Vijenzi vinavyoiimarisha sufuria na viango vinavyoitegemeza 17Kiwiko (Chumba cha mwako na ghala la kuni) 20Kizingio cha nje 23Viango vya upande vinavyotegemeza na msingi 24Mashikio 26Mihimili ya chanja ya kuni 26Chanja ya kuni 27Nyenzo ya udongo inayohamii 28Nyenzo za utengenezaji wa nyenzo ya udongo inayohamii: 29Nyenzo ya udongo inayohamii: 30Kuwasha tanuri 32Matendo ya mwisho kukamilisha Rocket Stove 34Kutumia Rocket Stove 34Kimeandikwa na kimetayarishwa na 35Kitabu kilifasiriwa na 35Katao la haki/dai 353

ShukraniKitabu cha mwongozo hiki kilitayarishwa wakati wa mafunzo ya mafundi na wanafunziwa kazi ya metali yaliyojiri Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni, cha Mamlaka yamafunzo ya Amali Zanzibar, ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mafunzo haya yalitolewa na Jason Morenikeji wa Clean Energy Company, Msumbiji,www.tcei.info na yalifadhiliwa kwa Serekali ya Wales, Uingereza na shirika la ComicRelief kama sehemu ya mradi wa CASA (Climate change Adaption Sustainabilityawareness – yaani, Ufahamu wa ubadilikaji endelevu wa mabadaliko ya tabia za nchi )wa Sazani Associates katika Zanzibar.UtambulishoKitabu cha muonogozo hiki kinaonyesha jinsi ya kutengeneza aina hii ya jiko ambalolinaitwa “Rocket Stove”. Rasimu yake iliboreshwa kwa kufikiria kuhusu utaratibu za kijamii,namna za upishi, na mifumo na mahusiano za kijamii na kiutamaduni katika Zanzibarya kaskazini. Pia, desturi na utekelezaji za watu ambao wanasanya kuni, na desturi nautekelezaji za mafundi wa kazi ya metali na wapishi zilifikiriwa katika uundaji wa rasimuyake.Haya Rocket Stoves yana ufanisi wa 40% zaidi kulinganisha na majiko ya kawaidaambayo yanatumia mawe matatu. Kwa hiyo majiko hayo yanapunguza matumizi ya kunikwa 50/60% kulinganisha na majiko ya kawaida. (chanzo: MEMD – EAP: “ Institutionalrocket stove end-users impact survey”, April 2007).Inadokeza kwamba kiasi cha kuni kinachotumiwa na familia kwa siku moja najiko la mawe, kinaweza kukitumiwa vilevile kwa siku 2-3 kwa kutumia hili RocketStove.Ni rahisi kwa mafundi wa kazi za metali wo wote wenye uwezo kutengenza haya majiko.Kitegauchumi cha kulinunua Rocket Stove kinaweza kurejeshwa baada ya muda mfupikwa kutumia pesa ambazo zinazodundizwa kwa upungufu wa matumizi ya kuni. Ujuzi wakutengeneza aina hii ya jiko unaweza kusaidia watu wenyewe kuanza biashara na piakuuongeza ustadi wa mafundi.4

Sababu ndiyo maana Rocket Stove ni majikomazuriRocket Stoves yanafaa sana kwa nia ya upishi wa nyumbani na biashara na kupashamotomaji katika mahali pengi – siyo katika Zanzibar tu, lakini katika Afrika ya Masharikinzima – mahali ambapo kuni ni ghali au hazipatikani sana. Kuni zinachomwa ndani yahicho chumba cha mwako ambacho kimehamiwa (ona chini). Umbo sahili la “kiwiko”linatumiwa ili kuhakikisha hewa inapita vizuri na kuni zinachomwa kwa jinsi iliyodhibiti ilikusabibisha mwako mzima (pamoja na moshi mkudhuru) na matumizi yenye ufanisi ya jotoinayozalishwa.Kielezo cha umbo la “kiwiko” la Rocket Stove (chanzo: TECI)6

Vijenzi vikuu vya Rocket Stove ni:Ghala la kuni: Kuni zinawekwa kimo.Chumba cha mwako: Panapochomwa kuni na hewa inaingia kuidumisha moto.Dohani: Panapotoka joto na mosh zinazobaki.Haya Rocket Stove yanweza kuhamisha kiasi kikubwa cha joto kwenye sufuria kwa sababuyana kola ambayo inaizunguka sufuria kabisa. Kola hiyo iniongoza vizuri joto kutoka kunikwenye sufuria. Kwa kupunguza matumiza ya kuni, hayo majiko yanpunguza gharama yakuni na athari za mazingira.Kielezo cha umbo la “kiwiko”, mlango wa hewa (buluu) na mtiririko wa joto (manjono): (chanzo: TECI)7

Kuna faida gani ya Rocket Stove?• Mbinu nzuri ya biashara: Ni rahisi kuzalisha, kudumisha na kutumia haya RocketStoves. Yanaonyesha vichocheo dhahiri vya fedha kwa mpishi aliye na pato la chini naahangaishaye na gharama ya kuni na makaa. Ukuzaji wa Rocket Stoves kwa kutumiamitandao ya kijamii, una uwezekano kuanzisha biashara ndogo ndogo endelevu kwamafundi wa kazi ya metali na wajasiriamali wa kijamii.• Athari ya mazingira: Rasimu ya Rocket Stove inalisabisha kutumia kadiri ya 50-70% kasoro ya kuni kuliko jiko la mawe. Pia, linaweza kutumia kuni nyembambanyembamba kwa hiyo ina maana kwamba majiko haya yanafaa kamili kutumiwakatika Zanzibar kwa matumizi ya nyumbani na biashara. Majiko hayo yanapunguzamatumizi ya kuni kwa hiyo kwa zamu, yanapunguza kiasi cha uharibifu wa msitu.• Ufanisi bora zaidi: Rasimu ya Rocket Stove inawezesha kadiri ya 80% ya joto yajiko kuingia kwenye sufuria. Na jiko la desturi la mawe, 10% mpaka 40% ya jotolililofunguwa linaingia kwenye sufuria. Kwa kuboresha uhamisho wa joto kutoka kunikwenye sufuria itaokoa kiasi kikubwa cha kuni na hatimaye itayopunguza gharama yajumla ya kuni.• Afya bora zaidi: Chumba cha mwako kimechohamiwa cha Rocket Stove, kinahakikishakwamba kuni zinachomwa kabisa, pamoja na moshi wa kudhuru wake. Mwakomadhubuti huu, unaupunguza utokezaji wa monoksidi ya kaboni (CO) na hii inafanyamazingira safi zaidi kwa wote wawili wanawake na watoto. Rocket Stove halizalishimoshi nyingi. Kiasi kidogo cha moshi kinazalisha unapowashwa moto. (Fahamu: Jikolitazalisha moshi pia kama kuni chepechepe zinatumiwa). Hakuna tena zaidi machoziau ngo zimezokifuwa kwa moshi.9

UtengenezajiUkubwa wa jiko unaamuliwa kwa ukubwa wa sufuria ambayo itatumiwa kupika. Kwahiyo ujazo wa sufuria uwe kitu cha kwanza kutambuwa. Kitabu hiki kinaelezea vipimoyva ukubwa tatu za sufuria ambazo zitaamua ukubwa wa jiko. Kwa sufuria kubwa zaidi,vipimo hivi vinaweza kurekebishwa ili jiko lizifae hizo sufuria.Jinsi ya kutengeneza:Kielezo kimecholipukwa kinachoonyesha mpango wa TCEI-Rocket Stove10

Kazi ya metaliVifaa vinavyohitajiwa kwa utengenezaji wa metali:Kifaa cha karakana:Msumeno wa kukatia chumaKulehemu kwa umemeFito za kulehemuNyundoMashine ya kusaga kwapembe – diski ya kukataMashine ya kusaga kwapembe – diski ya kukataBurashi ya wayaUtepe wa kupimiaJiliwaNyundoPatasiTupaMzingoKipande chenye umbo lapembe mrabaFuawe (au kisawe chake)Kazi:Kukata mabomba na mapao ya metaliKuunga vipande vya metaliKulehemuKutoa kifusi cha metali kinachobaki baada yakulehemuKuvilaianisha viunga vilivyolehemiwaKukata mabamba ya metaliKusafisha uso za metali kabla ya kulehemu.Kufanya vipimo vya mistariKushika nyenzoKukunja mapao na mabamba ya metali.Kukata mabamba ya metali.Kulaianisha kingo za metaliKuchora duara.Kuthibitisha pembe mraba.Jukwaa kwa kugonga11

Nyenzo zinzaohitajiwa kwa utengenezaji wa metali:Rocket Stove linaweza kutengenezwa kwa kutumia mabamba ya metali, chuma chenyeumbo la pembe na mabomba-sanifu ambazo zinazopatikana sana.Nyenzo ya karakana: Vipimo kamili: Kiasi:Bamba ya chuma cha pua lamilimeta 2.0Pao la chuma chenye umbo lapembe1.5mita x 2.4mita50mm (milimeta)x50mm (milimeta)x3mm (milimeta)Bamba mojaPao moja (mita 6)Pao la duara milimeta 12 12mm (milimeta) Pao moja (mita 6)12

Bamba la msingi (A2) linaweza kutumiwa kama muongozo kwa kola inapolehemiwa katikanafasi yake.Kielezo kinachoonyesha mahali pa kola na bamba la msingi kabla ya kulehemu (chanzo: TCEI)Picha inayoonyesha jinsi ya kuunga kola ili ilikae bamba la msingi15

Picha inayoonyesha jinsi ya kulehemu bamba la msingi pamoja na kolaPicha inayoonyesha jinsi ya kuunga kola na bamba la msingi16

Vijenzi vinavyoiimarisha sufuria na viangovinavyoitegemezaKielezo cha kijenzi kinachoiimarisha/kinachoitegemeza sufuriaUkubwa wa sufuria: 27sm 32sm 39smKijenzi kinachoimarisha:Umbali y (pao la duara la milimeta 12):Kijenzi kinachoimarisha:Umbali x (pao la duara la milimeta 12):2.0sm 2.0sm 2.0sm6.0sm 7.0sm 8.0smKiango kinachotegemeza:Umbali y (pao la duara la milimeta 12):Kiango kinachtegemeza:Umbali x (pao la duara la milimeta 12):3.5sm 3.5sm 3.5sm6.0sm 8.0sm 10.0sm17

Picha zinazoonyesha upindaji wa vijenzi vinavyoimarisha/vinavyotegemeza, kwa kutumia nyundo na jiliwa.Ulehemu kwa wepesi vijenzi vinavyoimarisha vinne na viango vinavyotegemeza vinnekama inayoonyeshwa chini:Picha inayoonyesha mahali pa vijenzi na viango vinavyoimarisha/vinavyotegemeza sufuria18

Baada ya kulehemu kwa wepesi vipande hivi mahali mwao, ujaribu kuona sufuriainakaaje ndani ya kola ya sufuria na kuthibitisha kwamba inaweza kuingizwa nakuondolewa bila taabu19

Kiwiko (Chumba cha mwako na ghala la kuni)Ukate na ulehemu kiwiko cha Rocket Stove kama inavyoonyeshwa chini:Ukubwa wa sufuria: 27sm 32sm 39smUmbali: s 35.0sm 42.0sm 42.0smUmbali: t 14.0sm 14.0sm 14.0smUmbali: u 14.0sm 14.0sm 14.0smUmbali: v 8.0sm 10.0sm 12.0smUmbali: w 22.0sm 24.0sm 26.0sm20

Picha zinazoonyesha jinsi ya kulehemu chumba cha mwako chenye umbo la “kiwiko”Fahamu: Sifa za Rocket Stove zinaweza kubadilikiwa ili zifae mahitaji ya kaziinayoikusudiwa.Viwiko virefu zaidi vinazalisha moshi mdogo zaidi lakini urefu juu wao unaupunguzaufanisi wao – kwa sababu ya umbali mkubwa zaidi baina ya sufuria na moto, inamaana kwamba joto zaidi inapotea kwenye jiko lenyenwe. Viwiko vifupi zaidivinazalisha moshi zaidi lakini vina uhamisho wa joto zaidi kwa sababu sufuria ni karibuna moto.21

Ukate na ulehemu kiwiko cha Rocket Stove kama inavyoonyeshwa chini:Ulehemia “kiwiko” bambani la msingi kama inavyoonyeshwa chini:22

Kizingio cha njeKutumia bamba ya chuma cha pua ya milimeta 2.0, lehemu kizingio cha njekinachozunguka “kiwiko” kama inavyoonyeshwa chini:Ukubwa wa bweta la kizingiocha nje:27sm 32sm 39smUmbali: e 39.0sm 40.0sm 42.0smUmbali: f 21.0sm 24.0sm 26.0smUmbali: g 21.0sm 24.0sm 26.0smKielezo na picha zinazoonyesha jinsi ya kuunga pamoja kizingio cha nje23

Viango vya upande vinavyotegemeza na msingiIli kuhakikisha Rocket Stove liwe thabiti, msingi mzito na mpana unatumiwa. Kutumiapao la chuma chenye umbo la pembe la sentimeta 50 x sentimeta 50, kata vipandevinne vya “umbali q” na vipande viwili vya “umbali p”. Lehemia Viango vya upandevinavyotegemeza (C1)viwili mwilini wa Rocket Stove. Lehemu vipande vinne vinavyobakikutengeneza Msingini wa mraba (C2) kama inavyoonyeshwa chini:Picha inayoonyesha jinsi ya kutengeneza Msingi kabla ya kuungamanishaMsingi na viango: 27sm 32sm 39smUmbali: p 40.0sm 45.0sm 50.0smUmbali: q 40.0sm 45.0sm 50.0sm24

Lehemia msingi na viango mwilini wa Rocket Stove (kama inavyoonyeshwa chini):25

MashikioUtumie pao la duara milimeta 12 kutengeneza mashikio mawili. Mashikio yanawezakukunjwa ili yafae upendeleo. Kila shikio linatengenezwa kwa kutumia takriban sentimeta60 za pao la duara.Kupima mashikio kabla ya kulehemuMihimili ya chanja ya kuniKata vipande viwili vya pao la duara milimeta 12 (C4) na lehemu kama inavyoonyeshwachini:26Kielezo kinachoonyesha mashikio na mihimili ya chanja ya kuni

Chanja ya kuniKuhakikisha kuni zinachomwa kwa ufanisi ndani ya Rocket Stove, chanja ya kuni inatumiwa.Chanja hii hailehemiwi kwenye Rocket Stove. Hii ni kwa sababu inaweza kutolewa ilichumba cha mwako kiweze kusafishwa kwa urahisi.Rasimu inaonyeshwa chini:Picha inayoonyesha chanja ya kuni mwakeChanja ya kuni: 27sm 32sm 39smUmbali: j 30.0sm 30.0sm 30.0smUmbali: k 40.0sm 45.0sm 50.0smKielezo kinachoionyesha chanja ya kuni (Chanzo: TCEI)27

Nyenzo ya udongo inayohamiiNyenzo inayoizunguka na inayoihamii moto (chumba cha mwako) inaisaidia moto kuchomakwa joto juu zaidi na hii inasaidia kupunguza moshi na gesi za kudhuru nyingine. Nyenzohii inayohamii iwe nyepesi na ijazwe kwa tundu za hewa, kama tofali la udongo wenyeuzito mwepesi, vigae au nyenzo za kujaza.Fahamu: Mifano ya nyenzo za asili zinazohamii ni “vermiculite” (nyenzo rahisi yenyeuzito mwepesi ambayo haishiki moto. Inazalishwa kutoka mashapo ya asili ya madinikatika sehemu nyingi za dunia) na “perlite”.Nyenzo inayohamii inaweza kutengenezwa kwa kutumia udongo kutoka chini ya mtoambao umechanganyikiwa na vumbi la mbao na/au mkaa amabo unaoweza kuunguzwawakati mwingine tanurini sahili au moto wa ubao. Udongo umeounguzwa (umeokaushwatanurini) hautatia ufa halijoto kali. Utaratibu huu unaacha tundu za hewa ndani ya udongoambazo zinashika joto vizuri na kwa hiyo zinauboresha ufanisi wa jiko.Fahamu: Usitumie nyenzo nzito kama mchanga, saruji na udongo wa kawaida (kwasababu zinatoa joto kutoka moto).28

Kifaa cha karakana:Shuka ya plastikiNdooPaurojembeKuniKazi:Kuchanganya/ kuhifadhi sehemu ya kaziKubeba na kupima (udongo, vumbi la mbao na maji).KuchimbaKuchanganya viambato, kuchimba shimo la tanuriKuwasha tanuriNyenzo za utengenezaji wa nyenzo ya udongo inayohamii:Chini pana hiari 3 kwa nyenzo ya udongo inayohamii:Hiari:abcWingi/uwiano wa mchanganyiko:ndoo 1 ya udongo kutoka chini ya mto ndoo 6 za vumbi nyembamba ya mbaondoo 1 ya udongo kutoka chini ya mto ndoo 6 za mkaa umeosagwandoo 1 ya udongo kutoka chini ya mto ndoo 3 za mkaa na ndoo 3 za vumbiya mbao29

Nyenzo ya udongo inayohamii:Picha inayoonyesha udongo na mkaa kabla ya kuchanganyaPicha inayoonyesha jinsi ya kuchanganya pamoja udongo na vumbi ya mbao kwa mikono30

Picha inayoonyesha jinsi ya kuchanganya pamoja udongo, mkaa na vumbi ya mbao kwa miguuPicha inayoonyesha jinsi ya kujaza pengo linalozunguka “kiwiko”31

Kuwasha tanuriKuchoma udongo ili kuunguza mkaa na vumbi ya mbao, chimba shimo lenye kina kifupi.Ukubwa wake uwe kutosha kuweka Rocket Stove na kuni. Uweke matofali ndani ya shimokufanya kuta zake ili kuzuia joto zaidi (kama inavyooneyshwa chini). Baada ya kujazaRocket Stove na udongo, lazima jiko liwekwe kukausha juani kwa siku 5-7 kabla yakukausha tanurini.Picha inayoonyesha tanuri na kuta za matofali zake(upana wa meta 1 x urefu wa meta 1 na kina cha meta 0.7)32

Picha inayoonesha jinsi ya kuwasha tanuriPicha inayoonyesha Rocket Stove la TCEI baada ya kuwasha moto33

Matendo ya mwisho kukamilisha Rocket Stove• Saga kingo zote zenye ncha kali za mwili wa metali wa jiko kuilainisha.• Tumia burashi ya waya kusafisha mwili wa metali wa jiko kutoa uchafu na kutu.• Paka rangi jikoni kuzuia kutuKutumia Rocket StoveKuwasha Rocket Stove. Fanya hakika kwamba chanja ya kuni ikae mwake – inafanya kaziya chanja chini ya moto.Usiweke kuni ghorofani ya chumba cha mwako kwa sababu upepo unahitaji kupitia chiniya kuni zinazochoma na juu kwenye moto.Ni bora kuweka kuni karibu karibu na zikae sawasawa chanjani, na pia ziwe na pengo lahewa baina ya kila fimbo. Siyo lazima kujaza kabisa kipenyo cha ghala la kuni na kuni.Ni rahisi kutia moto kuni kutoka chini (nyumani ya pengo la hewa) kwa kutumia vijiti vyakuwashia moto.Baada ya moto umeshawashwa usitie kuni kwenye pengo la hewa.Vinapochoma vikomo vya kuni, kuni ambazo zinabaki zinaweza kusukumwa kwenye ghalala kuni ili kudumisha moto wenye ufanisi. Utaratibu huu unahakikisha kuna utaratibu safi nafanisi wa mwako.34

Kimeandikwa na kimetayarishwa naSazani Associates pamoja na Jason Morenikeji, The Clean Energy Initiative (TCEI) (Mpangowa Nguvu Safi)CASA CASA (Climate ChangeAdaptation, Sustainability Awareness )(yaani Ufahamu wa ubadilikaji endelevuwa mabadaliko ya tabia za nchi nimpango wa Sazani Associates)The Clean Energy Initiative (TCEI)(Mpango wa Nguvu Safi)TCEI ni mpango wa maendeleo wa:www.tcei.infowww.sazaniassociates.org.ukTarehe ya saba, mwezi wa sita 2012Cathryn BellKitabu kilifasiriwa naKatao la daiLikilinganishwa na jiko la desturi la mawe, Rocket Stove hili linaaminiwa kumtolea mtumiajifaida nyingi – kwa mfano akiba za kuni, upungufu wa muda wa kupika na uchafu wahewa ndani ya nyumba. Kitabu cha muongozo wa uundaji hiki kinaaminiwa kuwa alainayofaa kwa mafunzo ya utaratibu wa uundaji wa Rocket Stove TCEI. Sazani Associatesna The Clean Energy Company hawachukui dhima ya ukamilifu au utumizi wa maelezoyanayoandikwa katika kitabu hicho.Sazani Associates na The Clean Engery Company hawatachukua wajibu kulingana namadai yo yote yanayowezekana kutokana na madhara au/na hasara zinazowezekanakutokea wakati wa utengenezaji, matumizi, matengenezo ya rasimu ya Rocket Stove TECIau utaratibu unaoelezewa katika kitabu hicho.35

Sazani Associates33 Quay StreetCarmarthenCarmarthenshireWales, UKSA31 3JLNamba ya Simu: (01267) 243176Barua pepe: info@sazaniassociates.org.ukMahali pa intaneti: www.sazaniassociates.org.ukC A S AI n i t i a t i v eCopyright© 2012 All Rights Reserved

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!