Tanzania Shujaaz toleo la 9
Jarida kuhusu haso za vijana na mishe zao za kila siku. Pesa, Mapenzi, mkwanja na mengineyo. Maujanja juu ya maujanja, kila jumamosi ya mwisho wa mwezi. Pia unaweza kusikiliza ShujaazRadioShow kupitia East Africa Radio on.fb.me/1kO0qHV

Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Nancy alikunywa

mchanganyiko wa madawa ili

atoe mimba. ana hali mbaya sana

lakini tunajaribu kumsaidia,

tuombe Mungu.

Yote haya

wewe na simo ndio

esababisha.

Kusema kweli, mimi nilikua

nafuata maelekezo ya Simo. Yeye

ndio alimfukuza. bdae nilimtafuta

nimsaidie japo hela kidogo lakini

sikumpata... nielewe pendo, mimi sina

roho mbaya kiasi hicho. kuna vitu

nafanya kulinda kibarua tu.

sijui

kanielewa

huyu?

pendo, acha

nngie kit one time

nikashughulikie kitu.

nakuja...

29