30.01.2013 Views

hotuba ya ufunguzi wa kikao cha wadau wanaotoa huduma mkoani ...

hotuba ya ufunguzi wa kikao cha wadau wanaotoa huduma mkoani ...

hotuba ya ufunguzi wa kikao cha wadau wanaotoa huduma mkoani ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

HOTUBA YA UFUNGUZI WA KIKAO CHA WADAU WANAOTOA

HUDUMA MKOANI DAR ES SALAAM ILIYOTOLEWA NA

KAIMU MKUU WA MKOA TAREHE 29 SEPTEMBA, 2008

KWENYE UKUMBI WA KARIMJEE

Ndugu Katibu Tawala wa Mkoa.

Mkurugenzi wa Jiji.

Wakurugenzi wa Manispaa.

Viongozi wa Mashirika ya Umma na Taasisi za Serikali.

Viongozi wa Madhehebu ya dini.

Wawakilishi wa Mashirika yasiyo ya kiserikali.

Wawakilishi wa Vyombo vya Habari.

Maafisa wa Sekretarieti ya Mkoa na Halmashauri.

Mabibi na mabwana.

Awali ya yote, nashukuru kwa kunipa heshima kuja kuwafungulia

Mkutano huu muhimu kwa maendeleo ya Mkoa. Ninyi ni wadau

muhimu sana katika kutoa huduma mbalimbali kwa wananchi.

Hivyo kukutana pamoja na kuelezana kila mmoja anafanya nini

kutasaidia sana kuboresha ufanisi wa utoaji huduma kwa

wananchi wetu ambao ndiyo matarajio yao.

Kabla ya muundo mpya wa Tawala za Mikoa Tanzania Bara

ulioanza kutekelezwa mwaka 1997, huko nyuma chini ya

madaraka mikoani kulikuwa na kikao rasmi (Forum) kilichokuwa

kikijulikana kama timu ya Menejimenti ya Mkoa (Regional

Management Team – RMT) kikao hicho kilikuwa kikiwakutanisha

wadau kujadili masuala ya maendeleo kabla ya kuwasilishwa

kwenye kamati ya Maendeleo ya Mkoa (RDC). Waliweza

kuchambua na kuelezana mambo mengi ya maendeleo.

1

Siku hizi kikao kama hicho hakipo kwa kuwa madaraka mengi

zimepewa mamlaka za Serikali za Mitaa (Halmashauri) ambazo

ndizo zenye Kamati mbalimbali za kudumu pamoja na Baraza la

Madiwani kupitia wawakilishi wa wananchi.

Kwa upande wa Serikali Kuu ngazi ya Mkoa kuna vikao vya Kamati

ya Ushauri za Wilaya (DCC) na Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC)

ambazo zinajadili taarifa za maendeleo na kutoa ushauri chini ya

Sheria ya Tawala za Mikoa (Regional Administration Act Na. 19 ya

1997). Pamoja na vikao hivyo rasmi kikao hiki cha kitaalamu ni

muhimu kiwe kinafanyika kila inapobidi ili kujadili utoaji huduma

kwa jamii na kubadilishana uzoefu utakaosaidia kuboresha zaidi

huduma zetu.

Ndugu wadau, napenda kunukuu mgawanyo wa majukumu baina

ya Serikali Kuu na Serikali za Mitaa kama yalivyoainishwa kwenye

Waraka wa utumishi Na. 1 wa mwaka 1998.

• Serikali Kuu katika ngazi ya Mkoa na Wilaya ina jukumu la

kusimamia utekelezaji wa Sera za Serikali na kuhakikisha kuwa

watekelezaji mbalimbali wanazingatia maelekezo ya Serikali na

kwamba malengo yaliyowekwa na Taifa yanafikiwa. Pia serikali

ngazi ya Mkoa na wilaya inahusika na usimamizi wa ulinzi,

usalama na utawala.

• Serikali za mtaa chini ya Halmashauri za Miji na Wilaya zina

jukumu la kusimamia shughuli za uzalishaji mali, huduma za

kiuchumi na kijamii, katika maeneo yao. Aidha utekelezaji wa

majukumu ya Halmashauri za Miji na Wilaya utazingatia sheria,

kanuni na miundo yake.

2

Sekretarieti ya Mkoa ina wajibu wa kumshauri na kumsaidia

Mkuu wa Mkoa kutekekeza majukumu yake pamoja na

kuziwezesha Halmashauri za Manispaa na Jiji (support services)

kutekeleza wajibu wao.

Ndugu wadau,

Nimenukuu majukumu hayo ya mgawanyo wa kazi kati ya Serikali

Kuu na mamlaka za Serikali za Mitaa ili mfahamu kazi zao.

Nafahamu katika barua zenu za wito wa kikao mmeelezwa kuwa

mtapata fursa ya kuelezea shughuli zenu, changamoto mnazopata

na kama mnahitaji ushirikiano wowote kutoka ngazi za serikali.

Hivyo mtumie fursa hii kufahamiana na kubadilishana uzoefu.

Aidha katika utoaji wa huduma mnaweza kukutana na

changamoto ambazo zinahitaji kushirikiana kuzitatua kulingana

na mwelekeo wa utendaji katika mamlaka husika.

Mkoa wa Dar es Salaam kama mnavyofahamu tunazo changamoto

nyingi kama vile za msongamano wa magari, upungufu wa

miundombinu ya Afya, Elimu, Maji, Barabara, mifereji ya maji

machafu na maji ya mvua, wafanyabiashara ndogo ndogo kuzagaa

ovyo n.k. Ninyi kama wadau mnao wajibu wa kutafakari kwa

pamoja namna ya kukabiliana na changamoto hizo na kushauri

ufumbuzi wake kupitia malengo ya muda mfupi, muda wa kati na

muda mrefu (short, medium and long terms).

3

Ndugu wadau,

Napenda nimalize kwa kutoa shukrani za kipekee kwa Katibu

Tawala wa Mkoa kwa kubuni njia hii ya kukutana watendaji

pamoja na viongozi wa taasisi za umma na madhehebu ya dini.

Naamini juhudi hizi ndiyo mwanzo mzuri utakaokuwa endelevu

katika kukabiliana na changamoto tulizonazo ili kufanikisha utoaji

huduma bora kwa jamii.

Nawatakia mkutano mwema na wenye mafanikio. Baada ya

kusema hayo sasa natamka kuwa mkutano umefunguliwa rasmi.

Asanteni kwa kunisikiliza.

4

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!