MASWALI NA MAJIBU YA MSINGI KUHUSU VVU/UKIMWI - C-Hub
MASWALI NA MAJIBU YA MSINGI KUHUSU VVU/UKIMWI - C-Hub
MASWALI NA MAJIBU YA MSINGI KUHUSU VVU/UKIMWI - C-Hub
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
wengi ambao wameambukizwa VVU huwa huwa hawaonyeshi dalili zozote kwa takribani

miaka 10 ama zaidi. Kwahiyo ni muhimu kufahamu hali yako ili uweze kufanya maamuzi

sahihi ambayo yatasadia uishi miaka mingi na kuweza kulinda afya ya mwenzi wako.

Kwanini ni wanawake wanaathirka zaidi na VVU/AIDS?

Idadi ya wanawake wanaoishi na VVU ni kubwa kuliko ya wanaume na katika maeneo

mengi wanawake wenye VVU ni mara mbili zaidi ya wanaume.Nchini Tanzania idadi ya

wanawake wenye VVU ni kubwa kuliko ya wanaume (asilimia 7 wanawake na asilimia 5

wanaume ).

U AM I N I F U

Zipo sababu kwenye mafungu matatu zinazosababisha VVU na UKIMWI kuwa tishio kwa

wanawake: sababu za kijamii na kiuchumi, utamaduni na sababu za kidini, na sababu za

kimaumbile.sababu hizi kwa kiasi kikubwa zinahusianishwa na masuala ya ujinsia na nguvu

ya maamuzi katika mahusiano.

Wanawake wanapitia hali ya kudharauliwa na kusababisha kuwa hatarini kwa sababu:

• Kiasi kidogo cha elimu/ufahamu kinachowafanya wasiweze kuwa na taarifa kuhusu

njia za kujikinga

• Kipato kidogo kinachosababisha kubadilishana vitendo vya ngono kwa ajili ya kupata

pesa au vitu vingine

• Matumizi mabaya ya nguvu miongoni mwa wanaume na vitendo vya udhalilishaji

kingono umesababisha wanawake wengi kuwa kwenye uwezekano wa kubakwa au

kuwa katika hali nyingineyo

U AM I N I F U

Sababu ya hali ya maumbile ni pamoja na:

• Uke unatoa nafasi ya kuingiliwa kwa ndani na VVU kuliko ilivyo kwa uume

• Mbegu za kiume hukaa ndani ya uke kwa muda fulani

• Hali ya umajimaji kwenye uke .

Unaweza kujikinga namna gani usipate maambukizi ya VVU?

Tunaweza kujikinga wenyewe kutokana na maambukizi ya VVU kwa njia zifuatazo:

• Kutokufanya ngono kama hatuko kwenye ndoa

• Kupunguza idadi ya wapenzi na marafi ki wa kingono tulio nao

• Kutumia kondomu kila mara tunapofanya mahusiano ya kingono

• Kubakia waaminifu kwa wenzi wetu

“ S I K I A K E N G E L E ”

M W O N G O Z O w a

M A F U N Z O w a M S H I R I K I

U AM

“ S I K I A K E N G E L E ”

U

M