30.01.2013 Views

MASWALI NA MAJIBU YA MSINGI KUHUSU VVU/UKIMWI - C-Hub

MASWALI NA MAJIBU YA MSINGI KUHUSU VVU/UKIMWI - C-Hub

MASWALI NA MAJIBU YA MSINGI KUHUSU VVU/UKIMWI - C-Hub

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

M A S WA L I N A M A J I B U YA

M S I N G I K U H U S U V V U / U K I M W I

VVU ni nini?

Herufi VVU zinasimama badala ya maneno Virusi Vya Ukimwi. Hivi ni virusi ambavyo

hushambulia mwili wa mwanadamu kwa kuharibu chembechembe za damu zinazofahamika

kitaalamu kama seli za kinga mwilini (CD4), ambazo kazi yake ni kuusaidia mwili kupambana

na magonjwa mbalimbali; bila kuwepo kwa seli hizi ni vigumu kwa mwili kujikinga na

magonjwa hayo.

UKIMWI ni nini ?

U AM I N I F U

UKIMWI ni kifupi cha maneno Upungufu wa Kinga mwilini. Ni hali inayompata mtu baada

ya kuishi na VVU ( kwa kawaida ni katika kipindi kati ya miaka 7 hadi 10)

“Kupata” maana yake ni kwamba ugonjwa unatokea baada ya kuambukizwa ugonjwa

unaosababishwa na virusi (kwa mantiki hii ni VVU) ; na husababisha “upungufu wa kinga

mwilini ” hii ina maanisha kwamba ugonjwa huu unakuwa na tabia ya kudhoofi sha kinga ya

mwili na “dalili”inamaanisha kwamba kuna mkusanyiko wa matukio ambayo yanaashiria

hali ya maradhi.

U AM INIFU

VVU vinasambazwa kwa njia gani ?

U AM I N I F U

VVU vinapatikana kwenye damu, mbegu za kiume, maji maji ya ukeni, maziwa ya

mama, mate, na majimaji mengine ya mwili wa mtu mwenye maambukizi ya VVU. Mtu

aliyeambukizwa anaweza kusambaza virusi kwa watu wengine kwa njia ya kujamiiana au

kutumia vitu vyenye ncha kali kama nyembe au sindano na mama aliyeambukizwa anaweza

kumwambukiza mtoto aliyeko tumboni wakati wa ujauzito, wakati wa kujifungua au wakati

wa kunyonyesha/kulisha.

VVU haviwezi kuambukizwa kwa kukohoa kushikana mikono kupiga chafya, mate, machozi,

kubusu kwenye shavu, kuogelea pamoja au kwa kuchangia vifaa vya kuogelea, kuumwa

nawadudu, kuchangia vyombo vya chakula, kupitia kwenye hewa kulala kitanda kimoja,

kuabudu pamoja kanisani au msikitini au kwa kufanya kazi pamoja.

“ S I K I A K E N G E L E ”

Utafahamu umeathirika kwa njia gani?

Njia pekee ya kufahamu hali yako kuhusu maambukizi ya VVU ni kwa kupima. Huwezi

kutegemea kuangalia dalili ili Mkufahamu W Okama N Gumeambukizwa O Z O au whujaambukizwa. a

Watu

“ S I K I A K E N G E L E ”

M A F U N Z O w a M S H I R I K I

M W O N G O Z O w a

M A F U N Z O w a M S H I R I K I

U AM

“ S I K I A K E N G E L E ”

U

M

wengi ambao wameambukizwa VVU huwa huwa hawaonyeshi dalili zozote kwa takribani

miaka 10 ama zaidi. Kwahiyo ni muhimu kufahamu hali yako ili uweze kufanya maamuzi

sahihi ambayo yatasadia uishi miaka mingi na kuweza kulinda afya ya mwenzi wako.

Kwanini ni wanawake wanaathirka zaidi na VVU/AIDS?

Idadi ya wanawake wanaoishi na VVU ni kubwa kuliko ya wanaume na katika maeneo

mengi wanawake wenye VVU ni mara mbili zaidi ya wanaume.Nchini Tanzania idadi ya

wanawake wenye VVU ni kubwa kuliko ya wanaume (asilimia 7 wanawake na asilimia 5

wanaume ).

U AM I N I F U

Zipo sababu kwenye mafungu matatu zinazosababisha VVU na UKIMWI kuwa tishio kwa

wanawake: sababu za kijamii na kiuchumi, utamaduni na sababu za kidini, na sababu za

kimaumbile.sababu hizi kwa kiasi kikubwa zinahusianishwa na masuala ya ujinsia na nguvu

ya maamuzi katika mahusiano.

Wanawake wanapitia hali ya kudharauliwa na kusababisha kuwa hatarini kwa sababu:

• Kiasi kidogo cha elimu/ufahamu kinachowafanya wasiweze kuwa na taarifa kuhusu

njia za kujikinga

• Kipato kidogo kinachosababisha kubadilishana vitendo vya ngono kwa ajili ya kupata

pesa au vitu vingine

• Matumizi mabaya ya nguvu miongoni mwa wanaume na vitendo vya udhalilishaji

kingono umesababisha wanawake wengi kuwa kwenye uwezekano wa kubakwa au

kuwa katika hali nyingineyo

U AM I N I F U

Sababu ya hali ya maumbile ni pamoja na:

• Uke unatoa nafasi ya kuingiliwa kwa ndani na VVU kuliko ilivyo kwa uume

• Mbegu za kiume hukaa ndani ya uke kwa muda fulani

• Hali ya umajimaji kwenye uke .

Unaweza kujikinga namna gani usipate maambukizi ya VVU?

Tunaweza kujikinga wenyewe kutokana na maambukizi ya VVU kwa njia zifuatazo:

• Kutokufanya ngono kama hatuko kwenye ndoa

• Kupunguza idadi ya wapenzi na marafi ki wa kingono tulio nao

• Kutumia kondomu kila mara tunapofanya mahusiano ya kingono

• Kubakia waaminifu kwa wenzi wetu

“ S I K I A K E N G E L E ”

M W O N G O Z O w a

M A F U N Z O w a M S H I R I K I

U AM

“ S I K I A K E N G E L E ”

U

M

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!