12.07.2015 Views

Qd5INK

Qd5INK

Qd5INK

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Taarifa ya Mkurungenzi Mkuu (Yaendelea)uwezo wake wa kukopesha biashara ndogondogo(SMEs) na soko la ujenzi wa nyumba kwa mikopokupitia usaidizi wa akiba ya fedha za kigeni. Sambambana makubaliano haya, Benki pia itaongeza uwezo wakewa kutoa mikopo nchini Kenya na katika matawi yakekama sehemu ya mkakati wetu wa kukuza biasharandogondogo.Pongezi za ufanisi kutoka jukwaa la Kanda na duniani,zimeiweka Kampuni ya KCB miongoni mwa benki borakatika soko. Mwezi Desemba 2013, The Banker iliiteuaKCB kuwa Benki bora zaidi Afrika na Benki Bora nchiniKenya kwa kushinda mataji mawili makuu ya dunia.Kwa kweli utambuzi huu unadhihirisha imani ya sokokatika Kampuni ya KCB. Tunafurahia kwa pamoja nanyinyi wenye hisa kwa mchango wenu katika ufanisihuu.Usaidizi kwa JamiiKampuni ya KCB itaendelea kusaidia jamii kupitiakwa Wakfu wa KCB. Tukiwa Benki tunakiri kwambatumeweza kukua kama biashara kutokana na nia njemaya jamii tunakohudumu. Tutaendelea kuwekeza katikamiradi ya jamii katika sekta za afya, elimu, mazingira,maendeleo ya biashara na usaidizi wa kibinadamu.Tunaona maendeleo ya kibiashara kama hatua muhimukatika kupunguza umaskini na kuwapa watu wetuuwezo wa kiuchumi ili waweze kutumia huduma zetu.Katika mwaka unaokuja, tutaanzisha miradi muhimukatika sekta hizo. Kupitia usaidizi huu, tunatumaikuwa maisha ya watu yataboreka kupitia ubunifu washughuli za kuzalisha fedha na kuwawezesha vijanakuingia katika biashara badala ya kuendelea kutafutakazi haba za afisini.Safari EndelevuTunaendelea kujichepuza kwenye safari yetu endelevutuliyoanzisha mwaka wa 2007. KCB ni Kampuniinayobadilika na inayoendeleza kanuni endelevu zausimamizi kama msingi wa kufikia malengo ya biasharaya muda mrefu kwa maana ya kijamii, kiuchumi nauendelevu wa mazingira. Kuidhinishwa kwa MfumoEndelevu wa kampuni ya KCB na Halmashaurikumeweka msingi wa kutekelezwa kwa hatua muhimukuifanya benki kuwa biashara endelevu. Uendelevu piaunatoa fursa kwa Kampuni ya KCB kutoa taarifa kwawashikadau wetu na kuwahakikishia kuwa biasharayetu inaendelea na pia kuzungumzia maswalayanayohusiana na shughuli zetu ambazo hazitiliimaanani mazingira na kile tunachofanya kusuluhishahaya. Ili kuendelea na safari hii, Muundo umebainishavigezo vinne ambavyo ni msingi wa utekelezaji wetu.Vigezo hivyo ni Kijamii, Mazingira, Uchumi na Uthabitiwa Kifedha.MwelekeoMasoko yetu ni thabiti na yasiyo tetereka. Tuna mkakatisawia, jina maarufu, utamaduni wa kipekee na watuwaadilifu wa kuafikia malengo ya mwaka ujao.Kampuni ya KCB inakuza ajenda yake katika kujengataasisi kubwa zaidi ya huduma za kifedha. Hivi majuziKCB Capital ilipewa leseni na Halmashauri ya Sokola Hisa kuwa benki ya uwekezaji. KCB Capital ni tawiambalo litaongeza tajiriba ya wateja wetu, kuletamwelekeo mpya kwenye soko ama likiwa linatumiamfuko wa uwekezaji wa biashara ya nyumba, hisazinazoegemea mali au hisa zinazoegemea ujenzi wanyumba za mikopo.Pia tumeimarisha biashara yetu ya bima. Sisi niwatoaji wakubwa wa bima ya biashara kwa watejawetu wakiwa wale wa rejareja, mikopo ya nyumba aumashirika. Maeneo haya yatakuwa kiini kikuu katikakuamua mwelekeo wa biashara katika muongo ujao.Hatimaye, tunabashiri mwaka wa 2014 utakuwa namafanikio na changa moto zake. Hata hivyo KauliMbiu, Ruwaza, Maadili na malengo yetu yako dhahiri.Tutaendelea kulenga kwenye Teknolojia na Ubunifu;Ubora wa Biashara na Ukuaji; Kuimarisha Biasharaya Kimataifa; Uongozi katika hudhuma kwa wateja;Uendelevu na Fursa Mpya za Biashara, huku tukihakikishakuimarika kwa faida kwa ajili ya wanahisa wetu.Joshua OigaraMkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya KCBK C B 2 0 1 3 A n n u a l R e p o r t a n d F i n a n c i a l S t a t e m e n t s29

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!