08.06.2013 Views

sheria au roho.vp (Read Only) - Martin Bucer Seminar

sheria au roho.vp (Read Only) - Martin Bucer Seminar

sheria au roho.vp (Read Only) - Martin Bucer Seminar

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

kulinganisha Agano na Ahadi, na kuongea juu ya “agano la ahadi”

mahali popote (Efe. 2:12). Paulo anadhihirisha, mrithi wa kweli ni Kristo

(Kol. 1:12-18), ambaye katika yeye ahadi zote zinatimizwa. “Maana

Mwana wa Mungu, Kristo Yesu… hakuwa Ndiyo na Siyo; bali katika

yeye ni Ndiyo” (2 Kor. 1:19-20). Basi hii inamaanisha kwamba, Paulo

anatafsiri Agano la Kale kwa mpango wa kufuata miaka, jambo lifanyalo

wazo kuwa Kristo ni mpinzani wa moja kwa moja wa ufunuo wa Agano

la Kale kuwa kichekesho. 50

‘Diatheke’ yapaswa kutafsiriwa kama ‘agano’ katika Waebrania

9:16-17 51 “Kwa maana mahali palipo na agano, mtu aliyeliwekea muhuri

agano lile lazima afe. Kwa kuwa agano lina nguvu baada ya kifo, kwa

sababu haliwezi kuwa halali, ikiwa aliyelifanya agano bado yungali

anaishi.”(Tafsiri ya mwandishi). Hii haimaanishi kwamba Kristo

alipaswa kufa, kwa sababu patano lingeweza tu kufanya kazi baada ya

kifo chake, bali kwa sababu, kama agano, lingeweza kufanywa imara

kwa damu tu, kwa kupoteza maisha, yaani kama ilivyokuwa katika

Agano la Kale mnyama alipotolewa dhabihu kuthibitisha agano (Mwa.

15; Law. 1). Kama kilivyo kifo cha mtu hakilifanyi patano kuwa halali tu,

bali pia kinalifanya agano liwe katika vitendo, ili kwamba mrithi aweze

sasa kurithi; ndivyo ilivyo kwa kifo cha Kristo kilithibitisha Agano la

Mungu badala ya kulitangua.

Katika Wagalati 3:6-29, Paulo anadhihirisha kwamba Ahadi kwa

Ibrahimu, ambayo kwayo Wayahudi hurejea daima, ilitangulia utoaji wa

Sheria katika mlima Sinai, na huo ni uthibitisho usiokanushika kwamba

kuhesabiwa haki hutegemea Ahadi na Imani, na sio utunzaji wa Sheria.

Sababu muhimu iliyomfanya Ibrahimu “Baba wa Mataifa mengi”, sio

suala juu ya urithi wa kibaolojia na wala sio uhalali wa kisheria wa utii wa

Sheria, bali ni tumaini lake lisilo mpaka katika ahadi ya Mungu

(Waeb.11:8-9).

Swali, “Akina nani ni watoto wa Ibrahmu?” linajadiliwa sio tu katika

Wagalatia 3, bali pia katika Warumi 4 52 na katika maandiko mengine

mengi. Kwa upande mwingine, Wayahudi wote wanatajwa kama watoto

wa Ibrahamu kwa mujibu wa mababu zao (Mdo. 13:26), lakini Wayahudi

wasioamini wanakosa dai hilo kwa sababu ni imani pekee iwezayo

kumfanya mtu mtoto wa Ibrahimu. Yohana 8:37-40 ni mfano halisi wa

pande hizi mbili, “Najua kuwa ninyi ni uzao wa Ibrahimu…” wakati

mwingine, Yesu anasema kwamba Mungu aweza kumwinulia Ibrahimu

watoto kutoka kwenye mawe ili kuchukua sehemu ya Mafarisayo na

30

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!