12.07.2015 Views

Kilimo bora cha zao

Kilimo bora cha zao

Kilimo bora cha zao

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

3.3 MavunoMavuno ya <strong>zao</strong> la vanilla hutofautina kulingana na umri wa mmea na utunzajiwa shamba. Mavuno ya kwanza huanza kati ya miaka miwili na nusu hadi mitatukwa wastani wa kilo moja sawa na mapodo 50 hadi 60. Mmea unapofikia umriwa miaka minne hadi nane, mavuno huongezeka kufikia kilo tatu hadi tanokwa mmea. Hata hivyo mavuno huweza kupungua mmea unapofikia miaka15 na kuendelea. Hekta moja ya shamba la vanilla lililotunzwa vizuri hutoamavuno tani tatu hadi tano za mapodo mabichi sawa na wastani wa kilo 500hadi 800 za mapodo yaliyokaushwa kwa mwaka.22 <strong>Kilimo</strong> <strong>cha</strong> Zao la Vanilla

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!