12.07.2015 Views

kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari ii - Garden Organic

kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari ii - Garden Organic

kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari ii - Garden Organic

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

KUTAYARISHA MBOLEA YAMBOJI KATIKA NCHI ZAHARI IIHDRA – Kwa huduma za Kilimo - haiComposting in the tropics II

Kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IIJe kuna umuhimu wowote kutengeneza mboji?Mboji haigharimu kiasi kikubwa cha pesa na huimarisha rutuba ya udongo. Viungo vya kilaaina kama vile matawi, matunda na mboga, halikadhalika samadi hutumiwa katikakutayarisha mboji.Kitabu hiki kinatoa maelezo kuhusu kutayarisha mboji katika nchi za hari. Aina ya mrundikowa takataka ni maarufu katika kutayarisha mboji. Makala haya yanatoa maelezo kuhusuaina mbalimbali ya mifumo inayoweza kutumiwa. Aidha, kuna maelezo ya kutayarishamboji katika sehemu zisizotumika kwa kikamilifu au zile za ukame.Yafuatayo ni maelezo kuhusu jinsi ya kutayarisha mboji ukizingatia mitindo ya kila aina.Kwa wakulima wasio na ujuzi kuhusu mboji, ni bora kukitazama kitabu cha kwanza kishakufuatisha hiki.• Mboji huhitaji mchanganyiko wa viungo vilivyo na uwezo wa kuoza kwa haraka(matunda, mboga na majani ya miti) kwa pamoja na viungo vinavyochukua mudamrefu kuoza (Mabaki ya mimea na maganda). Hili ni hakikisho la muundo imarawa mboji.• Vijidudu na vimelea ndio husababisha mboji kuoza. Viumbe hawa huhitajimazingira muafaka ili kutekeleza jukumu hili. Kwa mfano hewa na unyevunyevu.Iwapo ni wakati wa kiangazi basi mboji yapaswa kunyunyiziwa maji.• Sehemu za mboji hupata joto. Viwango vya joto na unyevu vyapaswa kuangaliwa,waweza kutumia kijiti katika kukadiria viwango hivi. Chovya kijiti kwenye mboji nakuwacha kwa muda fulani kisha kugusa kwa mkono. Kijiti hicho kitakuwa baridi auna joto. Iwapo hakuna dalili ya ubaridi au joto basi mboji halitafanyizwa, hivyo basiutahitajika kunyunyiza maji au kupindua.Ukurasa 1

Kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IIMfumo wa IndoreMfumo huu hujumuisha tabaka zilizo na aina mbalimbali ya viungo vya kutengeneza mboji.Tayarisha sehemu ya chini yenye upana wa mita moja na urefu wa mita tatu, tumia vijitivisivyooza kwa urahisi. Mfumo huu huwezesha hewa kusambaa kwa urahisi na kuvutiavijidudu wanaosaidia katika kuoza. tabaka zitaandaliwa kama ifuatavyo:1. Sentimita10 ya viungo visivyooza kwa urahisi kama mabaki ya mahindi. Kishanyunyiza maji.2. Sentimita 10 ya viungo vinavyoweza kuoza kwa urahisi kwa mfano matunda namabaki ya mboga.3. Sentimita mbili ya samadi (iwapo itapatikana).4. Kiasi kidogo cha udongo wa juu ili kutoa vijidudu na vimelea watakaosaidia katikakuoza.5. Rudia utaratibu huu hadi kufikia kimo cha urefu wa mita moja hadi moja na nusu juu.6. Funika kwa nyasi au majani (kama yale ya migomba) ili kuzuia kupotea kwa unyevu.Tekeleza kazi hii kwa muda usiozidi wiki moja. Baada ya wiki 2 hadi 3 utahitajika kupinduatabaka hizo na kutayarisha upya. Hii ni kwa sababu viungo huoza kwa wakati tofauti. Vileviungo vilivyo juu ambavyo havijaoza, vyapaswa kuwekwa kwenye tabaka la katikatina vilevile kunyunyiziwa maji. Funika sasa kwa viungo vilivyosalia. Tabaka za awalihazitaonekana. Rudia utaratibu huu baada ya wiki tatu au kulingana na muda unaochukuaviungo kuoza. Mboji yaweza kuwa tayari baada ya miezi 3.Ukurasa 3

Kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IIMkojo (fifisha kwa sehemu 4 za maji) waweza kunyunyiziwa ili kuharakisha kuoza. Mkojopia huongeza viungo maalum kwenye mboji. Kiasi kidogo cha majivu laweza piakunyunyiziwa.Mkojo au majivu kupita kiasi hudhuru vimelea na vijidudu kwenye mboji.Mfumo wa Indore: Kunyunyiza mkojo uliofifishwa kabla ya kufunika bojiFaida: Mfumo wa Indore huchukua muda mfupi kufanyiza mboji na ni rahisi kutunza.Mbegu za kwekwe na magonjwa huangamizwa.Upungufu: Mfumo wa Indore huhitaji maji mengi na kazi nyingi. Mfumo huu hufaa iwapouna viungo vinavyohitajika kwa wingi.Ukurasa 4

Kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IIMfumo wa BangaloreMfumo wa Bangalore ni maarufu sana katika kutayarisha mboji. Baada ya kuweka viungovifaavyo pamoja, mkusanyiko huu hufunikwa kwa matope na nyasi ili kuzuia hewa. Hiihusababisha vijidudu visivyohitaji hewa (anaerobic) kusaidia mboji kuoza. Mboji hii yawezakuwa na kimo cha mita moja m hadi 1.5 juu, upana wa mita moja na urefu wa mita 3. Mbojihii yaweza kuandaliwa kama ifuatavyo:1. Tabakaya sentimita10 (mabaki ya mazao kama vile mahindi). Nyunyizia maji.2. Sentimita 10ya viungo vinavyooza kwa urahisi (matunda na majani)3. Sentimita mbili ya tabaka la samadi(Iwapo utapata)4. Tabaka nyembamba ya udongo wajuu ili kutoa vijidudu na vimelea.5. Rudia utaratibu wa safu hizi hadikufikia mita moja hadi mita1.5 juu.6. Funika kwa matope udongotepetepeau nyasi zilizolowekwa.Kufunika mboji kwa matope ili kuzuia hewaFaida: Mfumo wa Bangalore huhitaji kiwango kidogo cha maji na hauna kazi nyingi kamakupindua mara kwa mara.Upungufu: Mbegu za kwekwe na magonjwa yaweza kuhimili kiasi cha joto kwenye mboji hii.Sio rahisi kufahamu muda utakaochukua kwa mboji kuoza. Mfumo huu huhitaji maarifakatika shughuli ya utayarishaji.Ukurasa 6

Kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IIMfumo wa Hamaki/ AyariMfumo huu ni sawa na aina nyingine ya kutayarisha mboji ukizingatia matabaka. Hatahivyo matabaka ya mfumo huu hufata mpangilio fulani na huweza kutayarisha kiwangokikubwa cha mboji.Joto hutolewa kila mara unapoweka ayari. Kila mara ayari hutengenezwa na kupangiliwa.Kila ayari lapaswa kutengenezwa kwa upana wa mita mojahadi mita 1.5 kwa mita moja(usizidishe mita 3 kwa mita 3) na kimo cha urefu wa mita moja.Siku ya kwanza ayari au faruma hutengenezwa kwa kukusanya viungo vya kutayarishamboji. Baada ya siku mbili, hewa hulazimishwa kutoka kwa ayari kwa kukanyaga. Mfumohuu ni sawa na ule wa Bangalore, kwani mboji hukosa hewa na huwezesha vijiduduwasiohitaji hewa kutayarisha mboji.Kati ya siku ya pili na tatu, ayari mpya hutengenezwa karibu na ile ya kwanza. Siku ya nne,ayari nyingine hutengenezwa juu ya ile ya kwanza, na kuzuia hewa kuifikia.Utaratibu huu utaendelezwa hadi pale kila ayari kati ya hizo tatu ina ayari nyingine juu yake.Siku ya saba, ayari nyingine huandaliwa karibu na ile ya kwanza, na kurudia utaratibu huu.Picha inayofuata itakuelekeza katika kufahamu.Faida: Mfumo huu hufaa katika kutayarisha mboji kwa kiwango kikubwa. Aidha mbojihuendelezwa kwa muda mrefu.Upungufu: Mfumo wa ayari hufaa tuu viwango vikubwa. Mfumo huu huhitaji kazi nyingi naviungo vingi. Mbegu za kwekwe na hata magonjwa hudumishwa kwa sababu ya kiwangokidogo cha joto. Ni vigumu kutazama jinsi mboji linavyooza. Mfumo huu huhitaji ujuzi namaarifa.Ukurasa 7

Kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IISiku ya 1: Tayarisha ayari ya 1Siku ya 2: Tayarisha ayari ya 2Siku ya 3: Tayarisha ayari ya 3 na kufinya ile ya 1Siku ya 4: Tengenza ayari ya 4 juu ya ile ya 1 nakufinya ile ya 2Siku ya 5: Tengeneza ayari ya 5 juu ya ile ya pili nakufinya ile ya 3Siku ya 6: Tengeneza ayari ya 6 juu ya ile ya 3Siku ya 7: Tayarisha ayari ya 7 karibu na ile ya 1, na kurudiautaratibu huuMfumo wa hamaki/ ayariUkurasa 8

Kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IIMfumo wa joto jingi kutoka ChinaMfumo huu umezingatiwa kwa miaka mingi kule China. Mfumo huu waweza kutumia ainanyingi ya viungo. Mfumo huu hufaa hata iwapo matumizi ni ya kinyesi cha binadamu, kiasicha joto kwenye mfumo huu hufikia nyuzi joto 70 Celcius, hivyo basi kuua viini vyamagonjwa. Ujuzi au utaalamu wahitajika kwasababu ya hatari ya magonjwausipotunza vyema.Mboji hii ini upana wa mita 2 hadi 3 na urefu wa mita 6 hadi 7na kimo cha mita 1 hadi1.5kuelekea juu. Matayarisho ni kama yafuatayo:1. Tengeneza tabaka la sentimita15 hadi 30la mabaki ya mimea.2. Weka fito za mianzi zenye ukubwa wa kadiri ya sentimita 8 hadi 10 kipenyo mita mbilikila upande wa tabakala kwanza. Fito nyingine za mianzi zitapangwa ili kupitishahewa.3. Ongeza viungo vingine kwenye tabaka, kwa mfano majani, matawi, samadi nakinyesi, kufikia kimo cha mita 1.5.4. Funika kwa udongo au tope lililo na majivu, mnanaa au machujo ya mpunga aungano. Pande zapaswa kuegemea ili kushikilia udongo5. Baada ya masaa 24 mkusanyiko hupata joto. Fito za mwanzi hutolewa ili kupishahewa.6. Mboji inapofikia kiasi cha nyuzi joto 60 hadi 70 celcius baada ya siku 4 au 5mashimo huzibwa. Hii huzuia joto kupotea au unyevu kupita wakati wa msimu wakiangazi au msimu wa masika.7. Pindua mchanganyiko huu baada ya siku 14. Iwapo mchanganyiko umekauka,utahitajika kuongeza maji. Tayarisha na kufunika kwa udongo au tope jingine. Mbojilitakuwa tayari baada ya wiki 8.Ukurasa 9

Kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari II1. Tayarisha safu na fito zamwanzi2. Jenga kando ya fito3. Funika kwa udongo au tope 4. Toa zile fito za mwanziMfumo wa ChinaFaida: Kinyesi cha binadamu hutumiwa kwa njia isiyo na madhara.Upungufu: Mfumo huu huhitaji viungo vingi. Ni bora kufahamu mtindo huu bora zaidi kablaya kuutekeleza.Ukurasa 10

Kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IIMboji ya shimoMfumo huu hutumia mashimo yaliyochimbwa chini ya ardhi. Kina cha shimo hutegemeaaina ya udongo na eneo la maji. Shimo la kawaida ni upana wa mita 1.5 hadi 2, na kinacha kuanzia sentimita 50 mpaka kina chochote. Waweza kutengeneza kuta za shimo kwatope ili kuzuia maji kupotea. Kwa kawaida vijitaro au mashimo huchimbwa karibu karibu ilikurahisisha kazi ya kupindua. Tahadhari ili usichimbe karibu sana kiasi cha kuta kushikana.Viungo vya kutengeneza mboji vitawekwa kwenye tabaka kama ilivyoelezwa hapa chini.Iwapo shimo ni kubwa kama upana wa mita 2, urefu wa mita moja, basi tumia lita 1 hadi 1.5za maji kabla ya kufunika shimo kwa udongo.Tabaka zichukue utaratibu ufuatao:1. sentimita 10 ya viungo visivyooza kwa urahisi (mabaki ya mimea kama mahindi)2. Sentimita 10 ya viungo vinavyooza kwa urahisi (matunda na mboga)3. sentimita 2 ya samadi (iwapo utapata)4. Kiasi kidogo cha udongo wa juu ili kupata vijidudu na vimelea kusaidia katika kaziya kuoza.5. Rudia utaratibu huu hadi mboji kufikia kimo cha mita 1 hadi 1.5 juu.6. Funika kwa nyasi au matawi (kama yale ya migomba) ili kupunguza kupotea kwamaji.Baada ya wiki 2 hadi 3, mchanganyiko katika shimo hili upinduliwe na kutiwa kwenye shimola pili, kisha pia baada ya wiki zingine 2 hadi tatu kubadilishwa kwenye shimo la 3.Unapotoa viungo kwenye shimo la kwanza, tayarisha viungo vingine na kujaza shimo hiloupya. Endeleza utaratibu huo kufanya mzunguko wa kutayarisha mboji.Ukurasa 11

Kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IIGeuza baadaya siku 15Geuza baadayak sikuzingine 15Siku 15zaidiKutengenezabojiBoji la shimoMbolea tayaribaada ya siku4 hadi 5Faida: Mfumo huu ni mwepesi na hutengeneza mboji kwa haraka. Aidha mfumo huuhautahitaji fedha wala gharama nyinginezo. Mfumo huu hauhitaji maji mengi hivyo basihufaa hata sehemu kame.Upungufu: Ni vigumu kufuatiliza utaratibu wa kasi ya kuoza ukilinganisha na mifumo yahapo awali. Ni kazi nyingi kuchimba mashimo.Ukurasa 12

Kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IIMboji ya mtaroMfumo wa mboji ya mtaro ni kama ule wa shimo, ila tu mimea hupandwa kwenye mitaro bilakupindua na kugeuza mboji. Tayarisha mtaro kabla ya kupanda. Kiasi cha mtarohutegemea aina ya viungo vilivyoko na aina ya mimea unayotarajia kupanda. Upanawaweza kuwa sentimita 50 hadi kiwango chochote kile, kina chaweza kuwa mita 1 au chiniya mita moja. Funika mtaro ukizingatia maelezo yafuatayo:1. sentimita10 ya viungo visivyooza kwa urahisi (mabaki ya mimea kama mahindi)2. Sentimita 10 ya viungo vinavyooza kwa urahisi (matunda na mboga)3. Sentimita mbili ya samadi (iwapo utapata)4. Kiasi kidogo cha udongo wa juu ili kupata vijidudu na vimelea kusaidia katika kazi yakuoza.5. Rudia utaratibu huu hadi mboji kufikia sentimita 50 juu.6. Funika kwa nyasi au matawi (kama yale ya migomba) ili kupunguza kupotea kwa majina kuacha kwa muda wa mwezi mmoja kabla ya kupanda.Hautahitajika kulima sana iwapo utazingatia mfumo huu jinsi ulivyo kwenye picha. Lazimakuacha sehemu hiyo kwa mwezi mmoja ili viungo vioze. Iwapo sehemu ya mitaro ni pana,basi waweza kupanda mimea mingi kwenye eneo hilo.Faida: Mfumo huu hufaa sana hasa katika sehemu zilizo na mchwa.Ukurasa 13

Kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IISamadiMchangaMabaki ya matundana mbogaUbua/ vijitiVijitaro vilivyojazwa viungo vy kutengeneza bojiUkurasa 14

Kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IIMboji ya KikapuIwapo hauna viungo vingi vya kutengeneza mboji, basi waweza kutumia mfumo huu.Mfumo huu hufaa bustani ya nyumbani mahali pa kukuza mboga. Mtindo huu ni kamaufuatao:1. Chimba shimo la duara lenye kipenyo cha sentimita 60 na kina sentimita 602. Jaza chini viungo visivyooza kwa urahisi (vijiti na mabua)3. Ongeza tabaka la samadi kina sentimita 84. Ongeza tabaka la sentimita 15 la majani (matawi yaliyo mabichi)5. Ongeza majivu sentimita 0.56. Rudia utaratibu wa 3 hadi 5 mpaka kujaza shimo7. Funika kwa nyasi au matawi ili kuzuia unyevu kupotea8. Kwa kutumia fito nyembamba zungusha ili kutengeneza kapu la hadi sentimita 10juuya ardhiWaweza kupanda mbegu au miche kwenye kapu hilo. Mimea itatumia rutuba itokanayo namboji hii.Miche kwenye ‘kapu'Ni bora kutengeneza vikapu kwenye sehemu mbali mbali katika bustani ili kuimarisharutuba.Faida: Mboji ya kikapu hutumia masalio ya jikoni na ni rahisi tengeneza.Ukurasa 15

Kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IIMboji ya BomaMfumo huu hufaa katika kilimo kinachohusisha mifugo (Ng'ombe, kondoo, mbuzi, sungurana kuku), Kinyesi cha mifugo ndicho kiungo maalum pamoja na mabaki ya vyakula.Kinyesi na mkojo huchangia sana katika kuimarisha rutuba. Ni bora pia kubadilishamatandiko ya mifugo kila baada ya wiki moja. Iwapo utatumia matandiko kama mabaki yamimea, machujo ya mbao, matawi na kwekwe, basi viungo huongezeka kila mara.Ni bora kuepusha mvua au maji dhidi ya kusomba viungo hivi.Zizi lililoezekwa na kutiwa matandikoViungo hivi vyaweza kukusanywa kila siku au hata kabla ya wiki moja. Iwapo ni kila sikuviungo vyapaswa kufunikiwa mahali ili visikauke na kupoteza nguvu.Ukurasa 16

Kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IIFuata utaratibu ufuatao:1. Chimba mitaro 3, kina cha sentimita 30, karibu na boma au zizi la mifugo ilikurahisisha usafirishaji.2. Weka majani makavu chini ya vijitaro hivyo.3. Ongeza sentimita 10 ya samadi pamoja na matandiko kutoka kwa boma.4. Ongeza sentimita 5 ya udongo wa juu ili kupata vijidudu na vimelea kutekeleza kaziya kuoza.5. Ongeza sentimita10 ya samadi au matandiko kutoka kwa boma hilo.6. Endeleza utaratibu huu hadi kufikia mita 1 mpaka 1.5 juu. Wakati wa kiangazitengeneza hadi mita 1.5. Wakati wa mvua fikisha mita 1 ili kuzuia maji kusombamboji.7. Funika kwa nyasi, mabaki ya mimea au matawi ya migomba kuzuia ukavu au majikupita kiasi.Badilisha na kupindua viungo vilivyo kwenye mtaro wa kwanza na kuhamishia ule wa pilibaada ya wiki 2 au 3, kisha kutoka ule wa pili hadi wa tatu baada ya wiki 2 hadi 3. Funikamboji iwapo hautatumia moja kwa moja. Funika kwa matawi ya migombai nyasi, au hataudongo.Boji lamatandikoBoji na safu zamchangaGeuzabaada yasiku 20Geuzabaada yasiku 20Mbolea iliyo taarikwamatumishiGeuza viungo na kuhamisha ha kwenye vijitaro ili kutengeneza bojiUkurasa 17

Kutayarisha mboji kwa kutumia aina mbali mbali ya viungoMatumizi ya viungo mbalimbali kutayarisha mboji hutoa mboji ya hali ya juu. Kwa wakatifulani waweza kuwa na aina moja ya viungo kupita kiasi. Waweza kukosa viungo vinginevya kuongeza, lakini waweza kutoa mboji la hali ya juu.Matumizi ya mabaki ya nyumbaniMabaki ya nyumbani hujumuisha mabaki kutoka jikoni, uchafu wa kufagiliwa, makaratasi aumajivu. Usitumie plastiki au chupa na mikebe. Halikadhalika usitumie mabaki kutokamachinjioni au nyama kwani utavutia wadudu wanaosababisha magonjwa na harufu mbaya.Aidha pia usitumie kinyesi cha binadamu, mbwa au paka. Ni bora pia kuwa na uangalifu nakuzuia kutumia aina moja ya kiungo.Baadhi ya mabaki haya hutolewa kwa viwango vidogo mara kwa mara. Ni muhimukukusanya kiasi kingi kisha kumwaga kwenye mboji kufikia safu ya sentimita 30. Mabakihaya huhitaji hewa nyingi ili kutengeneza mboji.Matumizi ya gugu-majiKutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IIGugu-maji hujumuisha madini mengi yaliyo na umuhimu katika kuimarisha rutuba. Kwawale wakulima walio karibu na ziwa au bahari waweza kupata viungo hivi. Iwapo gugu-majilina kiasi kingi cha chumvi, ni bora kuivunja chumvi hii. Gugu-maji lililo kaushwa hupotezakiasi cha chumvi. Tumia kwa pamoja na viungo vingine. Ni rahisi sana kutayarisha mbojikutoka kwa gugu-maji. Njia nyingine ni kukausha na kuponda kisha kunyunyiza viungo hivikando ya mimea.Ukurasa 18

Kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IIMachujo ya kahawaKatika sehemu za viwanda au kinu cha kahawa machujo hupatikana kwa wingi. Sehemuhizi hutoa harufu mbaya na kuzalisha wadudu.Machujo ya kahawa yanayo madini mengi yanayofaa katika kutengeneza mboji kwa mfano,nitrogen na potassium. Ni bora kutayarisha viungo hivi wala sio kumwaga kwenye shamba.Viungo hivi huhitaji hewa, ni bora kuweka kwenye visanduku vilivyoinuliwa au sehemuiliyoinuliwa hadi kufikia mita1. Sehemu hii yapaswa kuezekwa ili maji ya mvua yasifagieviungo hivi. Muinuko huu waweza kutengenezwa na mianzi iliyoinuliwa kwa tofali au mawe.Kabla ya kutayarisha mboji, toa majimaji kwenye machujo hayo. Waweza pia kuongezaviungo vingine kama mabaki ya mboga kisha kuongeza udongo kidogo.Geuza mboji kila baada ya wiki 4 au 6, mboji litakuwa tayari baada ya miezi 4 hadi 6.PaaMachujo ya kahawaFito za mwanziMatofalSehemu iliyo nuliwa kwa kutengeneza a boji kutoka kwa machujo ya kahawaUkurasa 19

Kutayarisha mboji ukitumia mimea ya majiMimea inayopatikana kwenye maji (kama gugu) husababisha shida kwa shughuli ya uvuviau usafiri wa maji. Kuangamiza gugu kwa matumizi ya kemikali ni hatari kwa mazingira.Halikadhalika ni ghali na hupoteza wakati! Gugu na mimea mingine yaweza kuwa na faidaiwapo utatayarisha na kutumia kama ifuatavyo:1. Ng'oa gugu na mimea mingine kutoka kwenye maji kisha kukausha.2. Mboji yaweza kutengenezwa ukijumuisha viungo hivi pamoja na jivu, udongo, samadina mabaki kutoka jikoni. Zingatia mfumo wa Indore katika kutengeneza matabaka.Mboji iliyotengenezwa kwa kutumia gugu-maji bila kuongeza viungo vingine halitafaasana, hivyo basi tumia kwa kiwango kidogo.Kutayarisha mboji ukitumia kinyesi au taka-majiKutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IIKuna hatari nyingi katika kutumia taka-maji au kinyesi cha binadamu kwa kutayarisha mboji.Magonjwa yaweza kusambazwa kwa urahisi kupitia kwa viungo hivi. Lazima kutahadhari,ni bora pia kuwa na maarifa au ujuzi wa kutumia viungo hivi. Mfumo wa China ndiohufaa katika kutayarisha mboji kwa kutumia viungo hivi. Mfumo huu huangamiza waduduna viini vya magonjwa. Lazima kiwango cha joto kiwe cha juu kuua viungo hivi. Hata hivyo,maelezo haya sio kikwazo katika matumizi ya kinyesi cha binadamu na taka-majikutengeneza mbolea, bali wapaswa kuwa na uangalifu.Ukurasa 20

Kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IIMarejeleo‘The Preparation and Use of Compost; Agrodok 8’ (1990) by Inckel, M.et al AGROMISA,PMB 41, 6700 AA, Wageningen, The Netherlands‘Field Notes on Organic Farming’ (1992) Njoroge, J. Kenya Institute of Organic Farming,PO Box 34972 Nairobi, KenyaUkurasa 20

Kutayarisha mbolea ya mboji katika nchi za hari IIMajulishoUkurasa 12

Maelezo ya ziada kuhusu; Viunga vya miche, Mboji ya Kijani, Kuzuia kwekwe, Miti yenyemanufaa kama vile Mwarobaini na Mzunze, Kilimo Hai, na jinsi ya kukabili Magonjwa nawadudu yanaweza kupatikana kutoka HDRA:The Organic Advisory ServiceHDRA – International Development ProgrammeRyton Organic GardensCoventry CV8 3LGUKSimu: +44 (0)24 7630 3517Kipepesi: +44 (0)24 76623 9229Barua-pepe: ove-enquiry@hdra.org.ukMtandao: www.gardenorganic.org.uk/international_programme/Madhumuni ya shirika la HDRA ni kufanya utafiti, kutoa na kueneza habari kuhusu KilimoHai, Ukulima na chakula katika Uingereza (UK) na Dunia nzima. Mwongo mmoja uliopita,shirika hili limekuwa likisaidia katika kubuni njia za kuboresha na kutafiti aina ya ukulimahasa Kilimo Hai katika nchi za hari (Tropics). Vilevile kutoa maelezo na majarida kuhusuKilimo Hai na pia kutoa mbegu na maelezo ya upanzi.Maelezo haya yanaweza kunakiliwa bure kwa njia yoyote pasipo malipo.Tafsiri na:Patrick Bunyali Kamoyani, P.O Box 1, 50321-Magada via Maragoli, Kenya.pbkamoyani@excite.comKimehaririwa na Leonard Mtama©2006 HDRA Publishing

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!