12.12.2012 Views

Tumia mkakati wa 'Push-Pull' (Sukuma-Vuta)

Tumia mkakati wa 'Push-Pull' (Sukuma-Vuta)

Tumia mkakati wa 'Push-Pull' (Sukuma-Vuta)

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Company au Kenya Seed Company), au

kutoka kwa jirani anaekuza desmodium. Kwa

kila ekari moja, panda kilo moja ya mbegu.

5. Lima na ulisafishe kabisa shamba lako.

6. Ukitumia kijiti, chora mstari katikati ya safu

kutakapo pandwa mahindi.

7. Changanya mbegu ya desmodium na mbolea

ya super phosphate. (Changanya mkono

mmoja wa mbegu kwa mikono miwili ya

mbolea.)

8. Kama hutaimudu mbolea, changanya mbegu

na mchanga laini. Panda katika mstari

uliochora na ufunike na mchanga.

9. Panda desmodium kunaponyesha ili ikuwe

haraka.

10. Panda mahindi yako katika shamba lililo

zungukwa na napia.

11. Kati ya wiki 3 na 6, punguza desmodium ili

isiizonge mimea ya mahindi.

12. Palilia vyema shamba lako ili napia itangulie

mahindi. Vipepeo vya mabuu hupendelea

zaidi napia iliokuwa kuliko mahindi

machanga.

Shamba lililo pandwa vyema huonekana hivi:

mahindi

desmodium

Kwa maelezo zaidi kuhusu mbinu za upanzi

tafadhali soma kijitabu hiki cha ICIPE:

"Panda mahindi na napia: zalisha pesa zaidi"

Manufaa ya kutumia mkakati wa

'Push-Pull' (yaani 'Sukuma-Vuta')

Unapotumia mkakati wa 'Push-Pull' unapata:

• Mazao zaidi ya mahindi

• Chakula cha kutosha kwa mifugo

wako kutokana na napia na

desmodium

• Madini aina ya 'nitrogen' kuzidi

shambani mwako, na kupunguzia

gharama ya mbolea: hii ni kutokana

na mkunde wa desmodium

• Udongo kukingwa dhidi ya

kumomonyoka, kwani desmodium

hufunika udongo

• Udongo kuhifadhi unyevu kwasababu

ya mtandazo wa desmodium

• Pesa kutokana na mauzo ya mbegu ya

desmodium ilio na bei nzuri

• Pesa zaidi kutokana na mauzo ya

maziwa kutoka kwa ng'ombe wako

• Kazi ya kupalilia kupunguka, kwani

hutahitaji tena kung'oa striga

shambani

Mkulima akimlisha ng'ombe wake majani ya

napia pamoja na desmodium alio vuna kutoka

kwa shamba lake la 'Push-Pull'

Ukiwa na maswali yoyote, muandikie Director

General, ICIPE, SLP 30772-00100, Nairobi, Kenya.

Simu: +254 (20) 861680-4, E-mail: icipe@icipe.org

Tumia mkakati wa

'Push-Pull'

(Sukuma-Vuta)

na uzalishe mahindi kwa wingi

zaidi, kwa kudhibiti mabuu ya

mahindi shambani mwako

Panda majani ya Napia mpakani, na

mkunde wa desmodium katikati ya safu

za mahindi, ili kuvutia na kusukuma

mabuu ya mahindi shambani mwako

International Centre of Insect Physiology and

Ecology (ICIPE), with Rothamsted-Research, UK,

KARI and MOA, Kenya

Donor: Gatsby Charitable Foundation, UK

Visit website: www.push-pull.net

Je, umeona uharibifu wa mabuu katika

shamba lako la mahindi?

Kama ulitarajia kuvuna magunia 10 ya mahindi,

mabuu ya mahindi yatasababisha uharibifu wa

magunia 3!

1

Gunia la

mahindi

1

Gunia la

mahindi

1

Gunia la

mahindi

1

Gunia la

mahindi

1

Gunia la

mahindi

1

Gunia la

mahindi

1

Gunia la

mahindi

x x x

Mabuu huingiaje ndani ya zao lako la

mahindi?

Vipepeo hutaga mayai yao juu ya mmea wa

mahindi. Mayai huangua na kutoa mabuu, na

mabuu haya hutafuna majani na kujikita ndani ya

shina la mmea unapokua. Kwa hivyo, mabuu hula

chakula kitakacho kuza mbegu ya mahindi.

Vipepeo vinataga

mayai kwenye

mmea

Kipepeo hudumu

siku 2-3

'Pupa' huangua na

kutoa kipepeo

'Pupa' hudumu

siku 7-14

Larva

Buu hukauka

na kuwa

'pupa'

Safu ya mayai

Mabuu

hudumu siku

15-22

Mabuu hula mmea na kukua

Maisha ya mabuu wa mahindi

mayai huangua

na kutoa

mabuu baada

ya siku 3-5

Mkakati wa 'Push-Pull' (Sukuma-Vuta) ni

nini?

Huu ni mkakati wa upandaji mahindi unao dhibiti

mabuu ya mahindi pamoja na gugu la striga.

Mkulima anatumia majani ya napia na mkunde

wa desmodium ili kudhibiti mabuu na striga.

Desmodium hupandwa katikati ya safu za

mahindi. Desmodium hutoa harufu inayochukiza

vipepeo vya mabuu. Harufu hii huwafukuza

("sukuma") mabuu kutoka kwa zao la mahindi.

Majani ya napia hupandwa kulizingira shamba la

mahindi kama mtego. Napia hupendeza zaidi

kuliko mahindi kwa vipepeo hivi, na hivyo

"huvuta" vipepeo kutaga mayai yao kwenye

napia.

Hata hivyo, napia haita ruhusu mayai ya mabuu

ku kua, mara yanapo angua. mayai yanapo

anguliwa, na mabuu kuingia ndani ya napia,

mmea huu hutoa gundi inayotega mabuu hao,

nayo hufa.

MBINU YA "PUSH-PULL" (SUKUMA-VUTA)

Mmea wa

kuchukiza

(Desmodium)

Gundi wa mmea

Buu lililokufa

Mahindi

Hufukuza mabuu

Mmea wa

mtego

(Napier grass)

Huvuta mabuu

Huvuta

adui wa

mabuu

Mabuu wanao

ponea ni

wachache na

mahindi

yanaokolewa

na mkakati wa

'push-pull'

Kwa hivyo mabuu wanao ponea ni wachache na

mahindi yanaokolewa na mkakati wa 'push-pull'!

Utapandaje shamba la 'Push-Pull' (yaani

Sukuma-Vuta)?

1. Panda majani ya napia (aina ya 'Bana grass' ni

bora zaidi) kulizingira shamba lako.

2. Panda angalau safu tatu kulizunguka shamba

lote.

3. Katika mwaka wa kwanza, panda napia kabla

ya mvua kunyesha ili napia itangulie mahindi.

Vipepeo vitapendelea napia iliyo komaa, hata

kuliko mahindi machanga.

4. Jipatie mbegu ya desmodium kutoka kwa

kampuni zinazouza mbegu (Western Seed

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!