13.07.2015 Views

Contents - Kenya Power

Contents - Kenya Power

Contents - Kenya Power

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

44Annual Report & FinancialStatements for the YearEnded 30 June 2009Taarifa kuhusu Usimamizi wa Kampuni (unaendelea)Taarifa kuhusu Usimamizi wa Kampuni (unaendelea)45Annual Report & FinancialStatements for the YearEnded 30 June 2009usimamizi katika Kampuni. Hii ni pamoja na ushirikishaji wa muundo wa usimamizi bora katika ukaguzi wa utendaji kazi, utambuzi wa wahudumuwalio na vipawa na ustawishaji na utoaji mafunzo kwa watumishi hao wenye vipawa.Mawasiliano na WenyehisaKampuni inatambua umuhimu wa mawasiliano na wenyehisa wake na huchapisha taarifa zake za kifedha katika magazeti ya humu nchini katikati yamwaka na mwishoni mwa mwaka. Matokeo hayo pia yamo kwenye mtandao wa Kampuni katika www.kplc.co.ke. Ripoti kamili na hesabu hugawanywakwa wenyehisa wote kila mwaka. Wenyehisa wote wana haki ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Kila Mwaka ambao hutangazwa angalau siku 21kabla ya siku yenyewe ya mkutano. Wenyehisa wanapewa fursa ya kuuliza maswali kuhusiana na shughuli za Kampuni.Mgawanyiko wa wenye HisaUgawanaji wa hisa za kawaida kufikia Agosti 31,2009.KIWANGO IDADI YA WANACHAMA HISA

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!