30.08.2015 Views

mkutano wa kumi yatokanayo na kikao cha nne - Parliament of ...

mkutano wa kumi yatokanayo na kikao cha nne - Parliament of ...

mkutano wa kumi yatokanayo na kikao cha nne - Parliament of ...

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

BUNGE LA TANZANIA

MKUTANO WA KUMI

YATOKANAYO NA KIKAO CHA NNE

(DAILY SUMMARY RECORD OF PROCEEDINGS)

OFISI YA BUNGE

S. L. P 941

DODOMA

1 FEBRUARI, 2013

YATOKANAYO NA KIKAO CHA NNE

(DAILY SUMMARY RECORD OF PROCEEDINGS – FOURTH SITTING)

TAREHE 1 FEBRUARI, 2013

I. DUA:

Saa 3.00 Asubuhi Dua ilisomwa na Mhe. Naibu Spika na kikao

kilianza.

MAKATIBU MEZANI - Ndg. Charles Mloka

- Ndg. Lawrence Makigi

- Ndg. Lina Kitosi

II.

MASWALI:

Maswali yafuatayo yaliulizwa na kujibiwa:

(i) OFISI YA WAZIRI MKUU - SWALI NA. 40

(ii) WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI -

SWALI NA. 41

(III)

WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO - SWALI

NA. 42 & 43

(IV) WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI - SWALI NA. 44 & 45

(V) WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA - NA. 46

(VI) WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI - SWALI NA. 47

(VII) WIZARA YA UJENZI - SWALI NA. 48 & 49

(VIII) WIZARA YA UCHUKUZI - SWALI NA. 50

(IX) WIZARA YA NISHATI NA MADINI - 51

(X) WIZARA YA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA - SWALI NA. 52

Mhe. Yussuf Haji Khamis wakati akiuliza Swali Na. 42 Wizara ya

Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo aliliarifu Bunge juu ya ajali ya

Boti ya mbao iliyokuwa imebeba watu 30 ikitokea Nungwi ambapo

watu 21 waliweza kuokolewa na wengine wanaendelea kutafutwa.

Mhe. Naibu Spika alitoa salamu za pole kwa niaba ya Bunge kufuatia

ajali hiyo.

Mhe. William Lukuvi, (Mb) Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,

Uratibu na Bunge alisimama kwa Mujibu wa Kanuni ya 72 (1) na

kumuomba Mhe. Naibu Spika atumie Kanuni ya 72(1) ya

kuwakumbusha Wabunge kutumia maneno stahiki katika michango

yao. Hii ilitokana na mchango alioutoa Mhe. Felix Mkosamali

alipokuwa anauliza swali la nyongeza lililohusu barabara Jimboni

kwake ambapo aliomba kupewa ufafanuzi iwapo Mhe. Rais alikuwa

muongo wakati akitoa ahadi hiyo.

2

Mhe. Naibu Spika alimruhusu Mhe. Tundu Lissu na Mhe. David

Kafulila kutoa ufafanuzi juu ya jambo hili ambapo wote kwa pamoja

walibainisha kuwa alichokisema Mhe. Mkosamali kuwa ni sahihi na

wala hakikulenga kumchafua Mhe. Rais kama Mhe. Lukuvi

alivyodhani. Aidha, Mhe. Naibu Spika alimwomba Mhe. Mkosamali

kujieleza juu ya jambo hili na ndipo Mhe. Naibu Spika alihitimisha kwa

kuwakumbusha Wabunge kuwa makini na kauli zao.

III.

MATANGAZO:

(a)

Wageni:

Wageni mbalimbali walitambulishwa Bungeni.

(b)

Kazi:

Mhe. Edward Lowassa, (Mb) aliwatangazia Wajumbe wa

Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kuwa watakuwa

na kikao saa 7.00 mchana.

IV.

HOJA BINAFSI ZA WABUNGE:

Hoja ya Mhe. James F. Mbatia (Mb) kuusu udhaifu uliopo katika Sekta

ya Elimu nchini.

1. Mhe. Shukuru Kawambwa (Mb) – Waziri wa Elimu na Mafunzo ya

Ufundi alichangia hoja hiyo kwa kutoa ufafanuzi wa michango ya

Wabunge juu ya hoja husika.

2. Mhe. James Mbatia (Mb) aliombwa kuhitimisha hoja yake ila awali

alisita kwa kuweka sharti kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya

Ufundi kuweka kwanza nakala za Mitaala ya Elimu Mezani ndipo

yeye ahitimishe hoja yake kwa kuzingatia ufinyu wa muda na

kwamba kuna hoja nyingine mpya inatakiwa kuwasilishwa. Kwa

kuwa Mhe. Mtoa hoja alisisitiza juu ya kupewa nakala ya Mitaala

ndipo ahitimishe hoja yake, na pamoja na kwamba Mhe. Naibu

Spika alimsihi ahitimishe kwa kuwa Serikali itatekeleza ombi lake.

Mhe. Mbatia alitumia Kanuni ya 69(1) na kuomba hoja yake

iahirishwe. Ndipo Mhe. Naibu Spika alitumia Kanuni ya 69(2) na

kuamua kadri alivyoona inafaa kuwa hoja hiyo imehitimishwa

rasmi. Hivyo aliwahoji Wabunge kama wanaafiki mapendekezo

yaliyotolewa kikao cha jana, waliojibu NDIO walishinda na hoja

ikahitimishwa rasmi.

3

V. HOJA BINAFSI ZA WABUNGE:

Hoja ya Mhe. Dkt. Hamis Andrea Kigwangala (Mb) kuhusu Azimio la

kuitaka Serikali ianzishe Mpango Maalum wa Kukuza Ajira kwa Vijana

kwa kuanzisha Mfuko wa Mikopo ya Vijana wanaowekeza kwenye

Kilimo na Viwanda vyenye uhusiano wa moja kwa moja na kilimo.

Mhe. Gaudensia Kabaka (Mb) - Waziri wa Kazi na Ajira alichangia hoja

ya Mhe. Kigwangala pamoja na kuwasilisha mapendekezo juu ya

mabadiliko katika hoja iliyotolewa.

Waheshimiwa waliochangia hoja hii ni:

1. Mhe. Christopher Ole-Sendeka, Mb – Simanjiro

2. Mhe. Ester Bulaya, Mb – Viti Maalum.

VI.

KUAHIRISHA BUNGE:

Mhe. Naibu Spika aliahirisha Bunge saa 7.00 mchana hadi hapo saa

11.00 jioni.

Aidha, Mhe. Naibu Spika alitolea uamuzi suala la Mhe. Mbatia kwa

kuiagiza Serikali kuleta nakala za Mitaala ya Elimu kama alivyokwisha

omba.

VII.

BUNGE KUREJEA:

Bunge lilirejea saa 11.00 jioni na Mhe. Job Ndugai, (Mb) - Naibu Spika

aliongoza Kikao.

VIII.

HOJA BINAFSI ZA WABUNGE:

Majadiliano yaliendelea na Wabunge wafuatao walichangia hoja hiyo:-

3. Mhe. Ester Bulaya (Mb) – Viti Maalum:

Aliwasilisha jedwali la marekebisho ili kurekebisha hoja

zilizowasilishwa na Mhe. Gaudensia Kabaka, (Mb), Waziri wa Kazi

na Ajira.

4

4. Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangala, (Mb) – Nzega:

Alichangia tena hoja yake kwa kuafiki mapendekezo ya hoja yake

yaliyowasilishwa na Mhe. Ester Bulaya.

5. Mhe. Naibu Spika alilihoji Bunge kama linaafiki mapendekezo hayo

na Bunge liliyapitisha mapendekezo hayo.

6. Mhe. Peter Msigwa, (Mb) – Iringa Mjini.

7. Mhe. James Mbatia (Mb) – Kuteuliwa aliomba Mwongozo kwa

mujibu wa Kanuni ya 63(1) na 55(3) (f) kuhusu hoja aliyoiwasilisha

ambapo alidai kupatiwa nakala ya mitaala ya elimu.

8. Mhe. Riziki Lulida (Mb) – Viti Maalum

9. Mhe. Mariam Msabaha (Mb) – Viti Maalum

10. Mhe. Mendrad Kigola (Mb) – Nufindi Kusini

11. Mhe. John Mnyika (Mb) – Ubungo

12. Mhe. David Kafulila (Mb) – Kigoma Kusini

13. Mhe. Anne K. Malechela – Same Mashariki

14. Mhe. Rukia Ahmed (Mb) – Viti Maalum

15. Mhe. Tundu Lissu (Mb) – Singida Mashariki

16. Mhe. Jenista Mhagama (Mb) – Peramiho.

- Mhe. Naibu Spika alimpa nafasi Mhe. Kilufi kuliarifu Bunge juu ya

ajali iliyotokea huko Mbarali ambayo ilihusisha lori lililokuwa

limebeba vijana ambao ni vibarua karibu mia moja (100).

- Mhe. Naibu Spika aliendelea kuwakumbusha Wabunge kutumia

lugha stahiki katika michango yao na pia Wabunge wavumiliane.

- Kuhusu Mwongozo uliotolewa na Mhe. Mbatia, Mhe. Naibu Spika

aliliarifu Bunge kuwa Mitaala italetwa Bungeni kabla ya Mkutano

huu wa Kumi kwisha.

VII.

KUAHIRISHA BUNGE:

Mhe. Naibu Spika aliahirisha Bunge saa 1.45 jioni hadi Jumatatu saa

3.00 asubuhi.

DODOMA

DKT. T. D. KASHILILAH

31 JANUARI, 2013 KATIBU WA BUNGE

5

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!