Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
ACT NOW TO SAVE NEWBORNS!

CHUKUA HATUA KUOKOA

WATOTO WACHANGA!
Act now to save Tanzania’s

newborns!

Do you know that newborn mortality is a widespread

problem in Tanzania?

Tanzania now ranks 11 th in the world for number

of newborn deaths. 1

Each year there are 39,000 newborn deaths and

22,000 stillbirths during delivery. 1,2

Newborn deaths now account for 40% of all deaths

to children under 5 years old. 1

More than 80% of all newborn deaths result from

preventable and treatable conditions.

• Complications due to prematurity;

• Complications during delivery including asphyxia;

• Newborn infections.

These lives could be saved with available drugs and

simple interventions. 3

2
Chukua hatua sasa kuokoa maisha

ya watoto wachanga wa Tanzania!

Je wajua ya kwamba vifo vya watoto wachanga ni tatizo

kubwa sana hapa nchini Tanzania? Tanzania inashika

nafasi ya 11 duniani kwa idadi ya vifo vya watoto

wachanga. 1

Kila mwaka watoto wachanga 39,000 hufariki dunia,

na watoto wengine 22,000 huzaliwa wafu. 1,2

Vifo vya watoto wachanga vinachangia asilimia 40%

ya vifo vyote vya watoto walio chini ya miaka 5. 1

Zaidi ya asilimia 80% ya vifo vyote vya watoto wachanga

hutokana na sababu zinazozuilika au kutibika.

• Matatizo kutokana na kuzaliwa kabla ya muda;

• Matatizo wakati wa kuzaliwa, pamoja na

kushindwa kupumua;

• Maambukizi kwa watoto wachanga.

Maisha ya watoto hawa yangeweza kuokolewa kwa

kuwepo dawa na huduma nyingine rahisi. 3

3
Act now to save Tanzania’s

newborns!

Prioritise these evidence-based, cost-effective,

and feasible solutions across all health facilities in Tanzania

that provide pregnancy and delivery services!

• Newborn resuscitation;

• Hygienic cord care;

• Antibiotics;

• Mother to newborn skin-to-skin contact;

• Breastfeeding;

• Trained health workers;

• With a focus on the 48 hours surrounding birth. 3,5

4
Chukua hatua sasa kuokoa maisha

ya watoto wachanga wa Tanzania!

Toa kipaumbele kwa hatua hizi muhimu na zenye gharama nafuu

zinazopaswa kutolewa kwenye vituo vyote vya huduma za afya Tanzania

ambapo huduma kwa wajawazito zinapatikana kabla, wakati na baada

ya kujifungua!

• Huduma za kuokoa maisha ya mtoto mchanga ikiwemo

kumsaidia kupumua

• Utunzaji wa kitovu

• Vijiuasumu (antibiotiki)

• Mbinu ya ngozi kwa ngozi kwa mama na mtoto mchanga

• Unyonyeshaji maziwa ya mama

• Wahudumu wa afya waliosomea fani hiyo

• Msisitizo ukiwekwa katika masaa 48 baada ya kujifungua. 3,5

5
We have made commitments!

In 2014 Tanzania committed to the Every Newborn

Action Plan 3 and the Sharpened One Plan. 4 These

strategies set out the priority solutions, and call for

a united effort to dramatically reduce preventable

stillbirths and newborn deaths, by:

• Strengthening family planning for safer planned

pregnancies, especially for adolescents;

• Investing in the quality of care around delivery

and postnatal care and special care for small

and sick babies;

• Reducing inequities in those accessing quality care

to ensure all mothers and babies receive essential

services and close the rural-urban divide;

• Harnessing the power of communities to ensure

all deliveries and newborns receive essential care;

• Counting every newborn for better measurement

and accountability. 3,4

Crucially, if these solutions are scaled up we could save

9,400 newborn lives and avert 2,500 stillbirths by the

end of 2015. 4

6
Tumeahidi!

Mwaka 2014 Tanzania imeahidi na kuweka dhamira

ya kutekeleza Mpango Kazi wa Kila Mtoto Mchanga 3

na Mpango Mkakati Ulioboreshwa wa Kupunguza

Vifo vya Mama na Watoto. 4 Mikakati hii inaonyesha

vipaumbele, na kutoa rai ya kuunganisha nguvu ili

kuweza kupunguza kwa kiasi kikubwa vifo vinavyozuilika

vya watoto wachanga wanaozaliwa wafu na wale

wanaokufa baada ya kuzaliwa, kwa:

• Kuboresha uzazi wa mpango, hususani kwa vijana;

• Kuwekeza katika kutoa huduma bora wakati na

baada ya kujifungua, na huduma maalum kwa

watoto njiti na wagonjwa;

• Kupunguza pengo la usawa katika upatikanaji

wa huduma bora;

• Unganisha nguvu ya jamii ili kuhakikisha kila uzazi

na watoto wachanga wanapata huduma muhimu;

• Kuhakikisha kila mtoto anayezaliwa anasajiliwa

ili kuboresha tathmini na uwajibikaji. 3,4

Muhimu zaidi ni kwamba mambo haya yakitiliwa mkazo

tunaweza kuokoa maisha ya watoto wachanga 9,400

pamoja na kuepusha watoto wengine 2,500 kuzaliwa

wafu ifikapo mwishoni mwa mwaka 2015. 4

7
Decision Makers Act Now!

More than 80% of all newborn deaths result from

preventable and treatable conditions. These lives

could be saved with available medicines and simple

interventions. We’re calling on Decision-makers to take

action now to save thousands of lives by:

1. Generate and sustain political will and momentum

to achieve great progress for newborn survival;

2. Ensure increased resources are budgeted, timely

disbursed and used for effective newborn

interventions, starting with the 2015/16 budget;

3. Ensure all council development plans in 2015/16

prioritise newborn interventions, particularly

investing in quality of care around delivery and

postnatal care, and special care for small and sick

babies;

4. Ensure that these plans and the implementation

of newborn interventions address the inequities

of accessing quality healthcare across underserved

populations;

5. Demand strong stewardship of resources and

accountability for investment in quality of care

for our newborns;

8
6. Ensure an effective supply chain of essential

medicines and supplies for newborn

interventions;

7. Strengthen and invest in human resources

for health, ensuring healthcare providers are

skilled in essential newborn care and equitably

distributed across health facilities;

8. Generate a cross-sectoral awareness and

commitment to creating enabling environment

for newborn survival including improved e.g.

water and sanitation; electricity; infrastructure etc.

9. Ensure that every newborn birth and death,

including stillbirths, are officially notified and

registered, so as to enable more effective

monitoring and response to newborn survival;

10. Determine to raise awareness across our

communities including appropriate care-seeking

and shifting social norms to take action for

newborn survival;

11. Ensure newborn survival remains prominent

in the national plans and strategies currently

being developed including One Plan II, HSSP IV

and NSGRP/MKUKUTA III.

9
Watoa Maamuzi, Chukua Hatua Sasa!

Zaidi ya asilimia 80 ya vifo vya watoto wachanga hutokana

na sababu zinazozuilika. Maisha ya watoto hawa yangeweza

kuokolewa kwa kutumia njia rahisi na uwepo wa dawa.

Tunawataka watoa maamuzi kuchukua hatua sasa ili kuokoa

uhai wa maelfu ya watoto wetu kwa kufanya haya:

1. Kuweka na kuendeleza msukumo wa kisiasa na

kuhakikisha kasi yake inafanikisha kwa maelfu ya

watoto wachanga wanaishi;

2. Kuhakikisha kuwa rasilimali za kutosha zinapangiwa

bajeti, fedha kutolewa kwa wakati na kutumika

kikamilifu kwenye njia mbali mbali zinazohitajika

kuokoa watoto wachanga, kwa kuanzia na bajeti ya

mwaka 2015/16;

3. Kuhakikisha kuwa mipango yote ya maendeleo ya

halmashauri nchini, inaweka kipaumbele mbinu mbali

mbali za kuokoa watoto wachanga na hasa huduma

bora wakati wa kuzaliwa na baada ya kuzaliwa,

umuhimu mkubwa ukiwekwa kwa huduma na uangalizi

kwa watoto wenye uzito mdogo na wagonjwa;

4. Kuhakikisha mipango hiyo na utekelezaji wake katika

kuokoa watoto wachanga inazingatia upatikanaji sawa

wa huduma za afya kwa makundi yote katika jamii

mkazo ukitiliwa kwa makundi yaliyo pembezoni;

5. Kudai matumizi na ufuatiliaji makini wa rasilimali na

uwajibikaji katika uwekezaji wake kuleta ubora wa

huduma za afya kwa watoto wachanga;

10
6. Kuhakikisha mfululizo wa hatua za ugavi na

upatikanaji wa dawa muhimu kwa ajili ya watoto

wachanga unatekelezwa kwa ufanisi;

7. Kuimarisha na kuwekeza katika mfumo wa rasilimali

watu katika sekta ya afya kuhakikisha wahudumu wa

afya wana utaalamu unaohitajika zaidi kwa watoto

wachanga tena uwepo kwa uwiano sawa kwenye

vituo vyote vya afya;

8. Kuweka dhamira na uhamasishaji wa sekta zote

kujenga mazingira yatakayowawezesha watoto

wachanga waishi ikiwa ni pamoja na upatikanaji

wa maji safi na salama, vyoo bora na mfumo wa maji

taka, umeme na miundombinu, n.k.;

9. Kuhakikisha kuwa kila kila mtoto mchanga

anayezaliwa hai, au kuzaliwa mfu, au kufariki baada

tu ya kuzaliwa kumbukumbu zake zinawekwa na

kusajiliwa ili ufuatiliaji wa suluhu ya tatizo uwe rahisi

utakaosaidia wengine nao waishi;

10. Kudhamiria kwa dhati kusambaza ujumbe kwenye

jamii zetu, ikiwemo namna ya kutafuta na kupata

huduma sahihi na kubadili mila ili zisaidie kuokoa

watoto wachanga;

11. Kuhakikisha suala zima la uhai wa watoto wachanga

unabaki kuwa kipaumbele katika mipango na

mikakati ya kitaifa inayoandaliwa sasa, kama wa

One Plan II, HSSP IV na NSGRP/MKUKUTA III.

11
web:

twitter:

facebook:

For references and notes on calculations, visit:

mamaye.org.tz

@MamaYeTZ

MamaYeTZ

www.mamaye.org/references