08.03.2015 Views

Our Education - Tanzania Education Network/Mtandao wa Elimu ...

Our Education - Tanzania Education Network/Mtandao wa Elimu ...

Our Education - Tanzania Education Network/Mtandao wa Elimu ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Juzuu 4: Toleo 16

Ripoti ya Warsha ya Upatikanaji wa Fedha Iliyoandaliwa na TEN/MET ikishirikiana na Amka,

Oktoba 27-30, Shinyanga | Novemba 17-20, Arusha | Desemba 7-11, Dodoma | 2009.

Utangulizi

Warsha juu ya Mpango kazi wa

upatikanaji wa fedha iliandaliwa

TENMET.

Shinyanga wawrsha ilifanyika

katika ukumbi ulitwao Vijana

Roman Cathoric Centre Ngokolo

kuanzia tarehe 27 mpaka 30 mwezi

wa kumi mwaka 2009. Warsha

hii ilihudhuliwa na washiriki 20

wanachama wa TEN/MET TEN/

MET kutoka mikoa ya Shinyanga,

Mwanza na Tabora, pia ilishirikisha

maafisa elimu wa Manispaa ya

Shinyanga.

Katika mkoa wa Arusha warsha

ilifanyika katika ukumbi wa Rose

Garden Hotel, 17 mpaka tarehe 20

novemba, 2009. Ilihudhuliwa na

washiriki 22 waliowakilisha wanachama

wa TEN/MET kutoka

Arusha, Kilimanjaro na Mkoa wa

Manyara. Afisa Elimu wa wilaya

ya Arusha na waandaa taarifa wawili

pia walihudhulia.

Katika mkoa wa Dodoma warsha

ilifanyika katika ukumbi wai Baraza

la Wakristo Tanzania (CCT),

Dodoma kuanziatarehe 7 mpaka

11 Decemba 2009. Warsha hii ilihudhuliwa

na washiriki kumi na

moja waliowakilisha wanachama

wa TEN/MET kutoka Mikoa ya

Dar es Salaam, Dodoma, Pwani,

Morogoro na Ruvuma.

Warsha zote zilifuata mfumo

mmoja, mada na malengo pia yalifanana.

Yaliyojiri siku ya kwanza

Kwenye kipindi cha asubuhi,

Kurasa 2

Mama Beatrice Malya na Bw.

Anthony Mwakibinga ambao

wote waliiwakilisha TEN/MET

kwenye mkutano huo, walitoa

ukaribisho na maelekezo mafupi

kuhusu Muundo, na malengo ya

TEN/MET, walielezea pia nia,

dhamira na kiini cha warsha hiyo

ilitokana na uchanganuzi wa mahitaji

ya asasi hizo yaliyoendeshwa

na TEN/MET.

Washiriki walijitambulisha

wenye-we kwa majina, eneo

la kazi, cheo, majukumu na

malengo binafsi wakiwa wawili

wawili na kuchagua viongozi

wa warsha.

Kundi la washiriki watano walichaguliwa

kukusanya fedha

kwa ajili ya kwa ajili ya kuagana

siku ya mwisho.

Baada ya hapo wahamasishaji

wa mkutano walielezea yaliyomo

ndani ya kozi na agenda kwa washiriki

ambao baadae waliorodhesha

mategemeo yao makuu

kutoka kwenye warsha hio.

Katika majadiliano na kutokana

na uzoefu wao washiriki

walichambua wadau wakuu wa

sekta ya elimu wakijumuisha

na watoto,wanafunzi na wazazi,

walimu na watoa maamuzi, serikali,

asasi, mashirika ya dini, wafadhili

na jamii kwa ujumla.

Mara nyingi wanaona sera pale

tu wakati wa utendaji kazi/implementation

stage. Kila mshiriki

alipewa kipeperushi juu ya

uchanganuzi wa sera na mzunguko

wa ushauri.

Yaliyojiri Siku ya Pili

Wahamasishaji walielezea taswira

ya kozi ya utafutaji wa

pesa na kuwaongoza washiriki

kuchora picha ya muonekano

wa hali elimu ya Tanzania katika

kadi. Hizi kadi zenye picha

ziliwasilishwa na kujadiliwa

kwenye mawasilisho ya vikundi.

Wahamasishaji walifanya wasilisho

tatu juu ya kwanini asasi

zisizo za kiserikali zinahitaji

kukusanya fedha. Maandalizi ya

muhimu juu ya ukusanyaji fedha

ni kufanya uchambuzi yakinifu

ya hali jalisi katika shirika ambao

huusisha zoezi la PEST (Political,

economic, social and technological)

na SWOT (strength,

weaknesses, opportunities and

threats) na jinsi ya kupata pesa

kutoka katika jamii.

Washiriki walitaja vyanzo vikuu

vya pesa katika mashirika yao

kuwa ni ada za wanachama.

Washiriki pia walitambua viashiria

ambavyo zinaelezea

utekelezaji wa PEST and SWOT

katika maeneo yao ya kazi. Pia

waliainisha wafadhili 88 wa kitaifa

na kimataifa. Mchana wahamasishaji

waliwasilisha juu ya

mambo muhimu yanayohitajika

katika utafutaji wa pesa.

Yaliyojiri Siku ya Tatu

Siku ya tatu wahamasishaji walianza

na mada ya Utafutaji wa

Pesa toka katika Jamii, nchi mbili

zenye makubaliano, nchi nyingi

mchanganyiko zenye maku-

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!