08.03.2015 Views

Our Education - Tanzania Education Network/Mtandao wa Elimu ...

Our Education - Tanzania Education Network/Mtandao wa Elimu ...

Our Education - Tanzania Education Network/Mtandao wa Elimu ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Juzuu 4: Toleo 16

Teachers’ Professional Board nascent

i.

ii.

iii.

iv.

v.

vi.

vii.

viii.

ix.

x.

xi.

xii.

xiii.

xiv.

SABABU

Familia zilizovunjiaka

Ukosefu wa madarasa na majengo mengine muhimu kwa shule

Upungufu wa walimu wa elimu ya awali

Umaskini na kushindwa kulipa ada

Kuwashirikisha watoto kwenye uchungaji

Ukosefu wa ardhi ya kujenga shule za awali ikiwa ni pamoja na

madarasa,

Kukosekana kwa sera safi ya elimu ya awali

Ushiriki mdogo wa jamii na kamati za shule kwenye maamuzi

Kuwashirikisha watoto kwenye kazi za nyumbani

Umbali toka nyumbani hadi shuleni

Mazingira hatarishi ya shuleni

Mazingira ya kujifunzia yasiyovutia

Kukosekana kwa chakula cha shule

Migogoro ya kimaendeleo, kielimu, kiafya na kisera katika

jamii

i.

ii.

iii.

iv.

v.

vi.

vii.

viii.

ix.

MADHARA

Wanafunzi wanaoandikishwa kujiunga

na shule ya msingi wanakuwa

hawajaandaliwa

kiasi kikubwa cha uvivu na

mahudhurio duni

Ongezeko la idadi ya watoto wa mitaani

kiwango cha chini cha kufaulu

kwenye mitihani kwa shule za msingi

kuharibika na kuvunjika kwa maadili

ya jamii

kuongezeka kwa matukio uovu, vita,

mapigano na vitisho kwa amani, ulinzi

na usalama

Ongezeko la ajira kwa watoto

Kumomonyoka kwa ubora wa elimu

Kuongezeka kwa mimba za utotoni.

Ripoti ya Tujenge Pamoja 2008 - 2009

Unity in Diversity Foundation

(UDF) iliundwa

katika warsha iliyofanyika

Bagamoyo. Warsha hiyo

uliendeshwa na asasi ijulikanayo

kwa jina la ARK FOUNDATION

OF AFRICA. UDF imekuwa ikiwafundisha

watu jinsi ya kuwajali

wanawake wajawazito.

Utamaduni wa kabila la SAFWA

ni kwamba mwanamke anawajibika

kufanya kazi zote ikiwa

ni pamoja na kuwanyonyesha

na kuwalisha watoto, kununua

nguo, kuwajibika katika mahitaji

mbalimbali ya watoto na kilimo

cha mkono. Hii haimaanishi kuwa

akiwa mjamzito ataacha kufanya

kazi, anaendelea kufanya kazi

muda wote.

Kazi ya wanaume ni kutafuata

kazi ambayo itamwingizia fedha

Kurasa 4

za kwenda kunywa pombe za

kienyeji, kujenga nyumba ya kawaida,

na hela kidogo ya kununua

nguo zake. Kama ana furaha siku

hiyo anaweza kununua nguo kwa

ajili ya familia yake lakini sio

siku zote.

Tokea tuanze kufundisha kwenye

vikao vya umma watu wamekuwa

wakibadilika. Tumeona kwamba

wanaume wanarudi kutoka kazini

saa 12 jioni kitu ambacho

haikuwa kawaida kwa kipindi

hicho. Mara nyingi wamekuwa

wakirudi nyumbani saa 5 usiku

mpaka usiku wa manane au asubuhi

kabisa.

Sasa hivi wananunua nguo kwa

ajili ya watoto wao wanaosoma

shuleni na wale wa shule za awali.

Pia wameacha tabia ya kuwapa

pombe za kienyeji watoto wao.

Tuliwahamasisha wananchi wafyatue

tofali na kujenga shule ya

kudumu.Shule imemaliziwa na

Mei 2009 wanafunzi walianza

kutumia jingo la shule hiyo.

UDP imefanya vikao 5 vya na

wenyeji ili kuimarisha na kuboresha

huduma zetu kwa watoto walio

katika mazingira magumu na hatarishi.

Mabadiliko yanaonekana.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!