15.11.2012 Views

5TH JUNE, 2002 - ConstitutionNet

5TH JUNE, 2002 - ConstitutionNet

5TH JUNE, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Ya pili napendekeza sisi Waislamu wa Kenya tunataka tuongozwe na sheria ya Kiislamu. Lakini kimaendeleo tuwe na

Wakenya wengine.

Pendekezo langu lingine napendekeza Waislamu Wakenya washirikishwe serikali kulingana na population yao. Mfano, kama

Rais ni Mkristo ni pendekezo langu Makamu wa Rais awe Mwislamu. Na kama Makamu wa Rais ni Mkristo, Rais awe

Mwislamu.

Yangu ingine, napendekeza wafugaji wapewe haki ya kiuchumi kama wakulima wa vyakula.

Pendekezo langu lingine mahakama ya Kiislamu iwe na hali ya juu hadi high court ikiongozwa na maKadhi ambao wamekuwa

na masomo ya hali ya juu na wachaguliwe na Waislamu wenyewe.

Kiuchumi napendekeza vile wakulima wa mashamba wanapata ma-factory sehemu zao, tunataka wafugaji kwa sababu ya

kurekebisha uchumi viwanda vya kuendesha mbele vijengwe sehemu ya mifugo wengi. Viwanda vya kufuga nyama,

kutengeneza ngozi yaani uchumi iwe pamoja (inaudible).

Napendekeza kuna wanyama wawili wamepatia shida na hasara nyingi ya kiuchumi na kibinadamu hapa na haitufaidi sisi zaidi

ya yote, napenda iingizwe kwa Katiba hii mpya hao wanyama wawili wafagiliwe kutoka sehemu ya ufugaji wa mifugo.

Com. Mohammed Swazuri: Wanyama gani?

Kanyar Yusuf: Simba na Fisi.

Com. Mohammed Swazuri: Wafanywe namna gani?

Kanyar Yusuf: Wauliwe ama wawekwe sehemu fulani ya kuhifadhiwa na wakitokea wauwe mtu ama mfugo mmoja ilipe

kulingana na masoko ya siku hiyo hiyo. Maana yake hakuna faida na hilo wametuletea hasara ya mali na binadamu zaidi.

Com. Mohammed Swazuri: Wako wengi hapa?

Kanyar Yusuf: Zaidi hata zaidi ya population yetu hapa mara kumi.

Com. Mohammed Swazuri: Na mmeshindwa kabisa ku-deal na (inaudible)

6

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!