11.07.2015 Views

Fema_31_Magazine_mail-low

Fema_31_Magazine_mail-low

Fema_31_Magazine_mail-low

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

CHEZA SALAMAInaweza kuzuilikaUnaweza kujiepusha na UTIkwa kubadili baadhi ya tabia namitindo ya maisha:Ikiwautajamiiana…Kojoa mara tu baada ya kujamiiana iliuwa-flush bakteria ambao inawezekanawakawa wameingia kwenye mrija wakowa mkojo wakati wa kujamiiana.Tumia kondomu wakati wa kujamiiana.Kuhusu kwenda hajaKojoa mara tu unapojisikia kukojoa, kwani mkojounapokaa katika kibofu kwa muda mrefu bakteriawanapata nafasi ya kukua na kuzaliana.Kunywa maji mengi kutakusaidia kusafisha kibofuna kuwaondoa bakteria.Unapokwenda haja kubwa, jifute vizuri kwakaratasi, majani au nawa kwa maji (jifute kutokeambele kwenda nyuma ili kuzuia bakteria kutokakwenye njia ya haja kubwa kuingia katika njia yamkojo).Hakikisha unaweka choo katika hali ya usafiwakati wote.MavaziPendelea kuvaa chupi zilizotengenezwa kwa pamba(cotton) na zisiwe zenye kubana ili hewa ipitena kuepuka joto na unyevunyevu, kwani hayo nimazingira yanayoruhusu bakteria kukua na kuzaliana.Usafi kwa ujumlaJisafishe sehemu zako za siri kila siku. Jisafishe kablana baada ya kujamiiana. Kojoa baada ya kujamiiana.Jifute maji sehemu za siri mara baada ya kuoga.Kunywa glasi 7 hadi 10 za maji kila siku ili usafishekibofu cha mkojo. Hii ni muhimu zaidi ikiwaunatumia dawa za UTINi vizuri kwa wanaume kutahiriwa ili kupunguzahatari ya kupata UTIMsosi pia unahusikaKula vyakula au vinywaji vyenye asili ya asidi mfanomachungwa, pensheni au nanasi, bakteria hawawezikuishi katika mazingira ya asidi.20 fema maGaZINe: CHEZA SALAMAMakala hii imepitiwa na Dk Katanta Simwanza,Senior Consultant Advisor and Program Manager,TUNAJALI PROJECT

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!