11.07.2015 Views

Fema_31_Magazine_mail-low

Fema_31_Magazine_mail-low

Fema_31_Magazine_mail-low

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

JINSI yaKUSHIRIKI:Yeyote anaweza kushirikiAndika maswali na majibu yakokatika karatasi nyingine na siyokwenye ukurasa huu.Unaweza kutuma majibu yako kwabarua pepe au kwa njia ya posta.Hakikisha umeweka nambayako ya simu kwamawasiliano.KULIA3. mnaweza mkashirikia mkafanya zaidi ya kusoma jarida lafema.6. Upatikanaji wa nishati hii utainua fursa za kiuchumikwavijana wa mkoa huo.7. Kunatoa fursa kwako kujifunza mambo mapya na kupataujuzi wa kazi pamoja na kujenga hali ya kujiamini.9. Shirika hili linashirikiana na wadau kuandaa tamasha kibaoya kuwakutanisha vijana katika maeneo yao ili kuzungumzayale yanayowagusa sehemu waliopo.11. Ni miongoni mwa miji mikongwe sana Tanzania.12. Ni mji wa kwanza katika nchi huru ya Kiafrika ambayomandela alikanyaga ardhi yake.13. alikua rais wa kwanza mweusi wa afrika Kusini.14. Unapokaa katika kibofu kwa muda mrefu bakteriawanapata nafasi ya kukua na kuzaliana.CHINI1. Kikundi hiki kilianzishwa na vijana waliokuwa na nia yakurudisha kwenye jamii mambo mazuri waliyoyapitia.2. Ni moja ya vyuo wanavyotoka walimu wanaojitolea.4. Ni namna ya kupeleka au/na kupokea ujumbe kati ya mtuna mtu.5. ameungana na wenzake kujitolea na kuwa sehemu yaufumbuzi wa tatizo hili la uhaba wa walimu nchini, hasa wamasomo ya sayansi.8. Hutokea wakati bakteria wanapoingia kwenye njia yakusafirisha mkojo kupitia kwenye mrija na kupiga kambikwenye kibofu cha mkojo kisha kuanza kuzaliana.10. Wamejikita katika lengo lao kuu la kuleta ustawi, afya namaisha bora yenye uendelevu kwa watu wa Lindi.12. Ni klab iliyoshinda club challenge kwenye toleo hili.WASHINDI WA TOLEOJULY – SEPTEMBA 2013Warles K JosephIlambasa Primary SchoolPO Box 170, maswa, SimiyuDerrick Masalikamatombo Sec SchoolPO Box 749, morogoroChristina ChristopherNangwa Girls High SchoolPO Box 34, manyaraChristoms Ngomomkumbi Sec SchoolPO Box 251, mbinga.NB: Washindi tumeni ujumbemfupi mtuambie jinsi yakuwapatia zawadi zenu.andika neno <strong>Fema</strong>, achanafasi, kasha andika maelezoyako kwa ufupi na utumekwenda namba 15665.VUNJA MBAVU!ama kweli ualimu kazi ya wito! mwanafunzi mmojahajui hesabu za kujumlisha. mwalimu katumia njiazote kumwelimisha lakini wapi. Ikabidi amtoleemfano ambao alidhani atauelewa kwa urahisi.mwalimu: kwenu mnafuga nini?mwanafunzi: kuku na mbuzimwalimu: mbuzi mnao wangapi?mwanafunzi: 25mwalimu: mbuzi 25 ukitoa mbuzi watano watabakiwangapi?mwanafunzi: hivi unawajua mbuzi wetu auunawasikia? Ukimtoa mmoja tu wote wanatoka nahuwezi kuwazuia maana mapembe yao ni makaliajabu!mWaLImU HOI! Na KaZI aKaaCHa!JANUARY - MARCH 2014 : fema maGaZINe59

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!