11.07.2015 Views

Fema_31_Magazine_mail-low

Fema_31_Magazine_mail-low

Fema_31_Magazine_mail-low

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Nafasi za Ujasiriamali!Je! Ungependa kumiliki biashara yako binafsi? Ungependa kuisaidia jamii yako kwakuisogezea karibu huduma ya taa za sola? Tuma maombi yako sasa uweze kuwamjasiriamali wa SunnyMoney LEO!SunnyMoney ni nini?Sunnymoney ni biashara yenye lengo la kuisadia jamii, iliyopo chini ya shirika lisilo la kiserikali, SolarAid. Lengokuu la mradi huu, ni kupunguza matumizi ya mafuta ya taa kwa kuangazia barani Afrika ifi kapo mwaka 2020.SunnyMoney imekuwa ikisambaza taa zitumiazo nishati ya jua kwa jamii zilizopo maeneo ya vijijini hasa maeneoyasiyokuwa na umeme. Mpaka sasa tumeweza kusambaza taa zaidi ya 350,000 moja kwa moja kwa wanafunziwaliopo vijijini.SunnyMoney ‘’ Biashara katika boksi’’ ni nini?SunnyMoney inaandaa mawakala wa mauzo watakaojulikana kama wajasiriamali wa SunnyMoney. Biasharakatika boksi, ni boksi ambalo litakuwezesha wewe kama kijana mjasiriamali kuanzisha biashara yako binafsi.Ndani ya boksi kuna aina tatu tofauti za taa za sola. Pia kuna vipeperushi, shati na kofi a za SunnyMoney, begi lamgongoni, kadi ya mawasiliano pamoja na kitambulisho cha Sunnymoney. (Tazama picha chini kuona mfano wavitu ndani ya boksi.)“Biashara katika boksi’’ inagharimu kiasi gani?Kama umepata nafasi ya kuchaguliwa kuwa mjasiriamali wa SunnyMoney, boksi lako la kwanza litagharimu kiasicha TSH200,000/- ambayo utaweza kutengeneza TSH75,000/- zaidi kama faida.Je! SunnyMoney itawasaidia vipi Wajasiriamali wa SunnyMoney?Wajasiriamali 400 wa SunnyMoney watapatiwa mafunzo ya biashara kwa siku mbili mfululizo Dar es Salaam.Gharama zote za mafunzo na malazi zitagharamiwa na SunnyMoney. Pia watapata mafunzo ya ziada ya sikumoja kila baada ya miezi mitatu na watakuwa na mtu kutoka SunnyMoney atakaye kuwa anawaongoza katikabiashara yao wawapo mkoani.Tunaanza kupokea wajasiriamali wa SunnyMoney sasa. TUMA MAOMBI YAKO MAPEMA!

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!