11.07.2015 Views

Fema_31_Magazine_mail-low

Fema_31_Magazine_mail-low

Fema_31_Magazine_mail-low

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

omg!Nilikuwanawekaakiba!NA AMABILIS BATAMULAPICHA MWANZO MILINGA & FEMA TEAMWaswahili wanasema ushikwapo shikamana.Wahenga hao, waliyaona wakayaandika, lakini piakatika miaka ya sasa maneno hayo bado yana maanasana. maneno aliyonambia Rebeca Gyumi siku sinyingi zilizopita yanakubaliana sana na usemi huu.Yanakubaliana pia na usemi mwingine wa Kiingereza,charity begins at home. mwisho wa siku inalipa kamaanavyosema mwenyewe, “Baada ya kufanya kazi zakujitolea kwa muda fulani nikashtuka, Oh my God(OmG), kumbe nilikuwa naweka akiba!”anazungumzia safari iliyojaa hamasa ya kujifunza nautashi mkubwa wa kujitoa. Ndiyo, Rebeca huyuhuyumtangazaji wa kipindi cha fema TV Show. Huyuhuyumhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kitivocha Sheria. Rebeca huyu huyu ambaye kwa umbo nimdogomdogo lakini mwenye umbo kubwa sana katikaroho na akili yake.JANUARY - MARCH 2014 : fema maGaZINe5

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!