11.07.2015 Views

Hadithi ya Nama Utambulisho - Raising Voices

Hadithi ya Nama Utambulisho - Raising Voices

Hadithi ya Nama Utambulisho - Raising Voices

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Hadithi ya NamaUtambulishoA1

UtambulishoNimekukimbilia wewe Bwana, nisiaibike milele. Zaburi 71:1Jina langu naitwa Nama, huwa narudia sala hii kila siku ili kwamba Mungu anisaidie. Mimi nimapacha wangu – msichana na mvulana ambao wote wawili wanasoma shule ya msingi. Baba yaonyumba ya vyumba viwili, sio mbali kutoka jiji kuu. Mvua inaponyesha, mifereji huziba na inakuwawangu hawakosi kwenda shule wala kulala na njaa hata siku moja. Najua kwamba hali yangu ni yamuda tu kwa sababu Mungu atanisaidia.kwenye uzi kwa ubunifu. Saloni ninaposukia nywele, huweza kuuza vipande vichache kwa watejawangu. Nataka nikusanye pesa nyingi za kutosha kufungua duka dogo ili niuze aina zote za vitozilizopendeza.Kila asubuhi baada ya kuwapeleka watoto wangu shuleni, naenda kufanya kazi saloni. Kazi hailipiwangu wa kila siku alinishirikisha habari inayogusa sikio kuhusu kutengeneza pesa nyingi. Aliniambiakazi hiyo aliweza kuwasomesha watoto wake hadi chuo kikuu. Nikadadisi zaidi kuhusu kazi hiyolakini nilipigwa butwaa mteja wangu aliponinong’oneza kwamba anafanya biashara ya ngono.kwa ajili ya watoto wangu, Bwana hangenihukumu. Niliamua kuijaribu kazi hiyo. Ilikuwa ngumu sanamwanzoni lakini niliiweza. Mpaka…1.Hadithi ya Nama B1

Hadithi ya NamaUkatili Watokea 1A2

Hadithi ya NamaKurudi Nyumbani 1A3

Hadithi ya NamaHuduma ya Matibabu 1A4

Huduma ya Matibabu 1shaka tukio lako. Una mikwaruzo midogo midogo mikononi na miguuni na uke wako unauma. Harufuya hospitali inakupa kichefuchefu, na hata wagonjwa wengine wanaosubiri huduma wanaonekanakuchoka na kukosa tumaini kama unavyojihisi wewe. Hakuna mtu anayewajali. Masaa mengina umekuwa ukisubiri huduma kwa muda mrefu sasa. Anapodai malipo, unamkumbusha kwambakasubiri kwa sababu kuna wagonjwa wengi wanaohitaji kuhudumiwa na kwamba atakuhudumiabaadaye kama atapata muda.wanaedelea kupewa huduma. Baada ya muda unaoneka kama milele, muuguzi anakupungia isharakuacha kuwaza kile ambacho yule mtu alikufanyia na kisha kukutupa mtaroni. Unamuomba Mungukwamba haitatokea tena. Lakini inaonekana maombi yako hayajasikika…Hadithi ya Nama B4

Hadithi ya NamaDini 1A5

Dini 1Hujisikii vizuri lakini hujaumia sana. Unamichubuko midogo kwenye mikono na mapaja yako, ingawaunahisi maumivu unapotembea. Jua linapochomoza unaamua kwenda kanisani kwenu, ambalo lipoMara hiyo anagundua huka sawa na anakuchukua kwenye ukimya kwenye kona sehemu ya nyuma yakanisa. Unakaa pembeni yake na mnaomba pamoja kabla hajakuuliza umwambie nini kimekutokea.Hujisikii vizuri kumwambia Veronika kwamba unafanya biashara ya ngono, hivyo unamwambiakwamba baada ya kazi saloni, mtu alikuvamia, akakukaba na kukuwekea madawa ya kulevya, nabaadaye ulizinduka ukiwa kwenye karibu shimo la matope. Veronika anashtushwa na kufadhaikakwa kutokubaliana na wewe na anakukumbusha uendelee kuomba na kuhakikisha Mungu anajuakujitoa kwako. Unamuahidi utafanya hivyo na unakubali kuzungumza naye tena baada ya ibada sikuya Jumapili. Lakini kabla hujaweza….Hadithi ya Nama B5

Hadithi ya NamaUkatili Watokea 2A6

Ukatili Watokea 2wako hawajui unachofanya, lakini kwa kuwa unakuwa hupo nyumbani hadi muda wao wa kulala,kwa bidii ili kuwalipia ada zao za shule, na wanafurahia kwa kuwa unamudu hata kuwanunulia nguompya. Unaomba Mungu kwamba lengo lako la kuwasaidia watoto wako kwa kiasi fulani likupunguzewingi wa dhambi zako.Tangu uliposhambuliwa, mara zote unahakikisha unatembea na simu iliyojaa chaji. Pia unaanzakutumia muda kuongea na wateja kabla ya kwenda nao ili kutambua baadhi ya habari zao binafsiendapo watafanya uovu dhidi yako.atakuwa mteja wako, mara unaona vurumai. Inaonekana ni kundi la polisi wakiwasaka ninyi. Polisiwengine kisha gari linaondoka kwa kasi.Kuna wanawake wengi kama ninyi pale kituoni cha polisi. Baadhi yao tayari wameshaanza kulia. Hukuwengine bado ni wasichana wadogo kabisa. Wachache unawatambua. Polisi wanawatupa korokoroni,chumba chenyewe kikiwa chenye giza na kimejaa wafanyabiashara ya ngono wengine. ChumbaUnawazia kuhusu afya yako na nini kitakachotokea kuhusu watoto wako ikiwa utabaki gerezani. Kwamaudhiko na hofu, unasogea kwenye kona. Na polisi watatu wanaume wanakubaka kwa zamu kablawakichukua simu yako na pesa.uchukue kadi namba 1.Ikiwa unaamua kukaa kimya kuhusu mkasa wako na kujaribu kusahau, nenda kwenye SongaMbele na uchukue kadi namba 1.Hadithi ya Nama B6

Hadithi ya NamaMarafiki na Majirani 1A7

Marafiki na Majirani 1Kadri siku zinavyozidi kwenda, unahisi kama vile ulimwengu wako unazidi kuwa mdogo zaidi na zaidi.unaowaamini ni wenzio. Wanawake hao wanakuonea huruma na wanakiri kwamba mikasa hii yapolisi ni kawaida na ni sehemu ya kazi.biashara ya vito, wanafurahia kukushirikisha. Baada ya muda, pesa unayopata inaongezeka na hatakutosha kuweka akiba, na unapata ndoto ya siku utakayopata pesa za kutosha kufungua duka lakokuhakiki kama hujaambukizwa ugonjwa wowote unao ambukizwa kwa njia ya zinaa na kupima VVU.Unajibu kuwa unashughuli nyingi sana huwezi kuahidi kuwa utakwenda, lakini kihakika, ungewezakukiri kuwa una woga kidogo kwenda kupima.zako wanakusaidia sana na licha ya misukosuko, kila kitu kinakwenda vizuri ambapo huwazii sanakuhusu unachofanya. Hadi…Hadithi ya Nama B7

Hadithi ya NamaSonga Mbele 1A8

Songa Mbele 1Unaamua kuchukua siku chache za kupumzika na watoto wako. Wanafurahia kuwa na wewenyumbani na unajisikia furaha kuona jinsi wanavyokua vijana wazuri. Bila shaka unaona kwambauna cha kujivunia.Unakwenda kanisani siku ya Jumapili, lakini mahubiri yanahusu jinsi Mungu anavyowapenda watendadhambi ingawa anaichukia dhambi, na unajihisi aibu unapokaa chini na kusikiliza. Baada ya ibadaunachoropoka haraka kutoka kanisani, ukiwaza kutafuta kanisa jingine la kuabudu au kumtafutaMungu wewe binafsi.Unapokuwa mwaminifu, unaona wazi kuwa unapoteza nafsi halisi ya hapo awali, lakini unaendeleaunajua watakuuliza kuhusu kazi yako na jinsi unavyotunza familia yako na huwezi kuwaambia ukweli.sekondari, hivyo unajua ni lazima upate pesa za kutosha kulipia masomo yao. Baada ya likizo fupiunarudi tena kazini. Lakini haiwi shwari kwa muda mrefu….Hadithi ya Nama B8

Hadithi ya NamaUkatili Watokea 3A9

Ukatili Watokea 3tajiri sana anakuchukua na kukupeleka kwenye hoteli nzuri iliyoko nje kidogo ya mji. Mnaendeshakwa muda mrefu kwa gari lake, mkizungumza kuhusu maisha na mambo ya utotoni. Anakwambiacha hoteli unaona ni kizuri sana. Kuna hata kitanda cha maji, ambacho hujawahi kukiona awali.Mteja wako, ambaye jina lake anaitwa Obi, anakuomba mfanye ngono bila kutumia kondomu kwasababu anataka apate hisia zote za kuwa na wewe bila kizuizi chochote.Unapata mtetemo juu ya wazo hilo kwa sababu hupendi kujamiana bila kutumia kondomu, natayari umeshahatarisha maisha yako mara kadhaa ili kuwaridhisha wateja wanaokulipa vizuri.unashindwa kukataa ombi lake. Unamuomba uende maliwatoni kwanza, na ukiwa kule, unapigaBaada ya ngono, Obi anakwambia amefurahia sana na kwamba anatarajia kuendelea kuwa naunahatarisha maisha yako kila unapolala naye bila kinga.uchukue kadi namba 2.Ikiwa unaamua kwenda kwenye Shirika Lisilo la Kiserikali linalosaidia wanawake, nenda kwenyeShirika Lisilo la Kiserikali na uchukue kadi namba 1.Hadithi ya Nama B9

Hadithi ya NamaHuduma za Matibabu 2A10

Huduma za Matibabu 2Inakuchukua majuma kadhaa kabla hujapata ujasiri wa kutosha kwenda hospitali. Unajua ni uamuziUmepimwa VVU na magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiana. Inachukua muda kidogoMajibu yanapotoka, nesi anakwambia umeambukizwa ugonjwa wa zinaa. Anakwambia ugonjwakulala na wanaume hovyo hovyo ni hatari, ukiachia mbali habari ya dhambi. Mashavu yako yanawakamoto kwa hasira na aibu – anawezaje kuthubutu kukuhukumu. Unachukua majibu yako na kasha ladawa na unaondoka haraka na kwa uadilifu kadri inavyowezekana.Unagundua kwamba hakuna kiasi chochote kikubwa cha pesa kinachostahili kuhatarisha maishakondomu.Unayatazama majibu yako kwa karibu zaidi na yanaonekana wazi zaidi kwamba wala huna mimba.barafu kama kusherehekea.Nenda kwenye Kazi na uchukue kadi namba 1.Hadithi ya Nama B10

Hadithi ya NamaShirika Lisilo la Kiserikali 1A11

Shirika Lisilo la Kiserikali 1Kwanza!” Unajua kwamba wanasaidia wanawake, na mara zote umekuwa ukitamani kujua kuhusuwako na kuomba msaada.kwake. Anajitambulisha na kukuelezea kwa ufupi kazi zinazofanywa na shirika. Kisha anakuomba nawewe ujieleze na useme nini kimekufanya uende kutafuta msaada. Unapata mashaka, lakini unakuwanayo. Unapomaliza kujieleza unaweza kuona hali ya kutoridhika kwenye uso wake. Anakwambia,hujatoka nje kabisa, mwanamke mwingine anakugusa mgongoni. “Hujambo?” anauliza, “ninafanyana ambacho yeye anakiongoza. Unaondoka ukiwa umefadhaishwa wala huna uhakika na lolote.Ikiwa unataka kuwatembelea wazazi wako, nenda kwenye Familia na uchukue kadi namba 1.Ikiwa unataka kuitumia fursa kubadili maisha yako, nenda kwenye Fursa na uchukue kadi namba 1.Hadithi ya Nama B11

Hadithi ya NamaFamilia 1A12

Familia 1Wazazi wako wanastaajabu kukuona. Umepita muda mrefu tangu ulipowatembelea, wanakuadabishaaipendayo. Baada ya kuwaambia habari mpya za mapacha wako kuwa wamemaliza shule, unaanzakuhisi wasiwasi, ukijua mara tu wataanza kukuuliza umewezaje kupata pesa za kutosha kuwalipiaada za shule watoto wako na kuwaletea wao zawadi nzuri kiasi hicho.kwa karibu.mtoto wangu? Najua umetuacha na kwenda kuishi mjini, lakini mimi ni mama yako, naweza kujuaikiwa una jambo shida yoyote.”Unamweleza kwamba kwa miaka michache iliyopita umekuwa ukifanya ngono na wanaume ili upatepesa na kwamba kwa kufanya hivyo mambo yako yanaenda vizuri. Unaangua kilio unapotafakarikuhusu dhambi zako, afya yako, na watoto wako na hatari unazokabiliana nazo. Unapoinua usokuiletea aibu kama hiyo familia yako?”anawaka, na kugeukia pembeni. “Itakuwaje watoto wasio naKwa ghadhabu kutokana na maneno makali ya mama yako, unaamua kumjibu wazi, “Kila kituninachofanya, nafanya kwa ajili ya watoto wangu! Hamtawaona tena,” na unatoka ndani ya nyumbauchungu na huzuni vinazama na kutulia moyoni.uchukue kadi namba 1.Ikiwa unaamua kutumia fursa kufungua duka lako la vito, nenda kwenye Fursa na uchukue kadinamba 1.Hadithi ya Nama B12

Hadithi ya NamaKazi 1A13

Kazi 1Watoto wako wameanza shule ya sekondari na umekung’uta mifuko yako yote kulipia ada zao.Bado wanahitaji pesa kwa ajili ya vitabu na sare za shule, na bado unajaribu kuweka akiba ya kutoshalakini unaendelea kufanya kazi usiku na mchana.ya kutofanya tena ngono isiyo salama. Wanaume wengi wanapenda kufanya bila kuvaa kondomuunahisi kuchoka na kukata tamaa, lakini unajua lazima uendelee kwenda kwa ajili ya watoto wako.Ukiwa umechelewa sana usiku mmoja baada ya kufanya kazi tangu asubuhi, na uko tayari kurudinyumbani huku unahesabu mapato yako ya siku, unasikia king’ora kile kile kilichozoeleka cha polisikikilia kuelekea kona ya mtaa wenu. Wanakuja kuwakamata tena. Kwa kukata tamaa, unawazaMWISHOHuu ndio mwisho wa hadithi ya Nama. Tumia dakika chache kukaa kimya na utafakari tajiriba yakeNama. Unapokuwa tayari, muombe mwezeshaji akupe hadithi ya mwanamke mwingine.Hadithi ya Nama B13

Hadithi ya NamaFursa 1A14

Fursa 1Ukiwa nyumbani, unaangalia mbinu mpya mbalimbali za kuongeza kipato chako na kuweka akibausiku ikihitajika kufanya hivyo.Unajitosa kichwa kichwa na kupanga chumba kidogo mjini, na muda si mrefu unakijaza aina zote zavito. Wateja wanakuja kutoka maeneo yote ya karibu na polepole biashara inaongezeka. UnaanzaBiashara inaendelea kuimarika, lakini unaanza kujihisi mgonjwa. Unatapika karibu kila siku, naBaada ya mwezi mzima wa kuugua mfululizo, unajilazimisha kwenda hosipitali kupima afya yako.kuwaambia nini watoto wako? Utamtunzaje mtoto mwingine? Maisha yako yamekumbwa na nini?MWISHOHuu ndio mwisho wa hadithi ya Nama. Tumia dakika chache kukaa kimya na utafakari tajiriba yakeNama. Unapokuwa tayari, muombe mwezeshaji akupe hadithi ya mwanamke mwingine.Hadithi ya Nama B14

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!