12.07.2015 Views

Hadithi ya Hadija Utambulisho - Raising Voices

Hadithi ya Hadija Utambulisho - Raising Voices

Hadithi ya Hadija Utambulisho - Raising Voices

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Hadithi ya HadijaUtambulishoA1

UtambulishoJina langu naitwa Hadija, ni mwanamke mwenye furaha na mafanikio na nina watoto wakubwakuheshimiana.Sisi ni familia ya Kiislamu na tumewafundisha watoto wetu kuwa waaminifu kwa Allah na kuaminiwao, wanaendelea kusoma Kurani na kwenda kusali. Imani yao na kujitoa kwao ni hamasa kwangu.Pia ninajitoa sana kazini kwangu. Kazi yangu inahitaji muda mwingi sana, kukiwa na mikutanoMsaidizi wetu wa kazi za nyumbani mara nyingi ndiye hutuandalia chakula na kuangalia mambo yoteya nyumbani. Sasa kwa sababu watoto wetu wamekwisha kuwa wakubwa, Ali na mimi hatutumiiMimi na mume wangu daima tumekuwa na mahusiano yenye furaha na uaminifu. Hata tunapokuwaidara yangu ambapo mambo yalianza kubadilika…Hadithi ya Hadija B1

Hadithi ya HadijaUkatili Watokea 1A2

Ukatili Watokea 1Ali anaanza kunung’unikatunapokuwa tunakula chakula cha usiku na asubuhi kabla ya sala. Anasemapunde utakapoisha msimu wa shughuli nyingi, lakini hufanikiwi kubadilisha hisia zake.Siku chache baadaye, unagundua kwamba kuna mtu anayevuruga simu yako, na mtu pekee unayehisikuwa anafanya hivyo ni Ali. Unapomuuliza kuhusu hilo, anakujibu kwamba amekuwa na wasiwasikwamba unatembea na mwanamume mwingine, na hivyo anakagua simu ulizopigiwa na ujumbeChako ni changu na changu ni chako. Sisi ni kitu kimoja. Kwa nini hutaki nijue umekuwa unapigiwasimu na nani?”huwezi kuvunja uaminifu wako.uchukue kadi namba 1.Ikiwa unaamua kusahau habari hizo, nenda kwenye Songa Mbele na uchukue kadi namba 1.Hadithi ya Hadija B2

Hadithi ya HadijaMarafiki na Majirani 1A3

Marafiki na Majirani 1kupeana ushauri. Mmekuwa mkishirikishana siri zenu siku zote, lakini unahofu kuhusu kumwambiakwa Ali na jinsi alivyo na wasiwasi kuhusu mizunguuko yako na anavyochunguza simu yako.na mafanikio yako. Wanaume wengi wako namna hiyo na haimaanishi kwamba hakupendi. Jaribumaalumu kwa ajili yenu wawili tu. Ninyi ni miongoni mwa wanandoa bora zaidi ninao wafahamu.Mtalitatua hili.”kwa sababu mafanikio yako yamekufanya usitulie nyumbani. Ili kurejesha kuwepo kwako nyumbani,unapanga kupumzika na kutoenda kazini siku inayofuata na kumshangaza kwa kumwandalia kifunguakinywa akipendacho. Hukujua kama mambo yangeenda vibaya…Hadithi ya Hadija B3

Hadithi ya HadijaSonga Mbele 1A4

Songa Mbele 1ghorofa yako kila asubuhi. Unaongeza juhudi zaidi za kuandaa na kuwasilisha mada kwa mikutano,unasoma zaidi kuhusu soko na ndani ya kipindi kifupi bosi wako anakupendekeza upandishwemigongano, angalau kazini unang’ara.Kupandishwa cheo kunakusababishia safari nyingi zaidi za kwenda nje ya jiji. Huna tena muda wakuhudumia watu wanaokuja kukutembelea siku za kazi na mara nyingi unafanya kazi hata kwenyekukagua simu yako.Hata hivyo, kadri siku zinavyozidi kupita, inazidi kuwa vigumu zaidi na zaidi kutenganisha kazi namigogoro yako ya ndoa. Kadri Ali anavyopunguza ukarimu kwako, ndivyo unazidi kuhisi mashaka.yanajaa machozi. Hutaki mtu yeyote ajue kinachoendelea, lakini unajua watu wameshagundua unachangamoto fulani.Usiku mmoja ukiwa njiani kutoka kazini kurudi nyumbani, unaamua kufanya mazungumzouliyonayo inakulemea unapowazia jinsi gani umemkumbuka mumeo na umepita muda mrefu tangumfanye mapenzi.Unaamua kutokwenda kazini siku inayofuata na badala yake unaifanya kuwa siku nzuri ya ninyimambo hayaendi kama ulivyotazamia…Hadithi ya Hadija B4

Hadithi ya HadijaUkatili Watokea 2A5

Ukatili Watokea 2kitandani, ukiwa umeshikilia trei ya chakula. Unainama kumnong’oneza Ali sikioni, ndipo anapoinukakutoka kitandani.“Nilikuwa nakuletea kifungua kinywa. Ni kile ukipendacho…”kushindwa kujua mke wangu anakutana na mwanaume mwingine?”mwanamume mwingine. Kwa nini unanionea wivu kiasi hiki?” Huwezi kujizuia lakini unatamani swali hiloasingelisikia, na unatambua kwamba umefanya kosa kwa kumwangalia Ali usoni. “Mwanamke, wewe ni“Ali, umepatwa na nini?”kiasi kwamba unahisi kuishiwa pumzi.Unashikilia tumbo lako kwa maumivu kuku akiendelea kufoka, “Nitakuonyesha nani ni bosi,” na anabamizamlango wa chumbani cha kulalia.Ikiwa unaamua kwenda kwa imamu wenu ili kuomba ushauri, nenda kwenye Dini na uchukue kadinamba 1.Ikiwa unaamua kwenda tena kazini na kujifanya kama vile hakuna chochote kibaya kilichotokea,nenda kwenye Kazi na uchukue kadi namba 1.Hadithi ya Hadija B5

Hadithi ya HadijaKazi 1A6

Kazi 1Sasa imekuwa vigumu sana kuimaliza siku bila kutokwa machozi. Inakulazimu kujiangalia kwenyekupigwa. Kiwango cha utendaji kazi kinashuka, na inakugharimu muda mrefu sana kukamilisha kilakazi unayofanya. Unasikia kwa juu juu baadhi ya wafanyakazi wenzako wakinong’onezana kuhusuwewe na unatumai kuwa bosi wako bado hajagundua chochote.mmeanza hata kutazama tamthilia kwenye televisheni pamoja baada ya chakula cha jioni, kamana anakuomba radhi kwa yote ambayo amekutendea. Unaanza kupata amani unapoona Ali amerudiyako na kumsubiri arudi kwenye hali yake ya kawaida.Hata hivyo, fungate halidumu kwa muda mrefu. Majuma machache baadaye, Ali hajarudi nyumbanina tayari ni usiku sana. Umejawa na hofu na umekaa macho jikoni ukinywa chai mpaka anapogongaanakukoromea huku akikusukumizia ukutani. “Ondoka karibu yangu. Unadhani ni wewe peke yakondiye unayeweza kula raha?”si chochote zaidi ya kuwaka wivu. Hujui ni aina gani ya mume uliyempenda ambaye atarudi kilausiku, na unateseka na kuchoka kwa hofu…Hadithi ya Hadija B6

Hadithi ya HadijaUkatili Watokea 3A7

Ukatili Watokea 3Huku ukiendelea kukonda, wasiwasi wako kuhusu ndoa yako na hofu juu ya usalama wako vinaanzakutawala ufahamu wako. Huwezi kuwa makini kwenye kazi, na bosi wako wa kazini amegunduahiyo. Anakwambia kwamba ubora wa kazi yako unapungua. Unamwambia umekuwa ukiwekezahutajipanga vizuri kuhakikisha mambo yanafanikishwa utalazimika kuchukua likizo.kuwa hutachukua likizo la lazima. Anakwambia uondoke akikutolea tahadhari kwamba ataendeleaanakwambia ikiwa hutaki kupoteza kazi yako moja kwa moja, nenda likizoni hadi utakapojipangavizuri tayari kuendelea na kazi.Ikiwa unaamua kuutumia muda huu kujua haki zako kisheria, nenda kwenye Huduma za Kisheriana uchukue kadi namba 1.Ikiwa umekasirishwa na mambo ambayo umekuwa ukifanyiwa na unaamua kutafutanyinginezo, nenda kwenye Elimu na uchukue kadi namba 1.fursaHadithi ya Hadija B7

Hadithi ya HadijaDini 1A8

Dini 1Imamu wenu amekuwa akikupigia simu akishangaa kwa nini siku hizi mmekuwa hamhudhuriialiyonayo kwa kumtembelea.ni jambo gani limekuwa likikutenga nasi na kwa nini leo umekuja hapa.”“Nimekuja kuomba msaada. Ni kuhusu Ali.”Anatulia kukusikiliza ukiwa unamwaga machungu yako ya miezi kadhaa iliyopita. Unaelezea jinsi wivuangekuwa na tabia aliyonayo siku hizi. Unamwambia kuishi kwako kwa hofu kumeanza kuathiri hataunavyozidi kutumia muda mrefu kukaa mbali na Allah, ndivyo utakavyozikosa baraka zake. Nendanyumbani katulie na mumeo na tafadhali, utakapokuja siku nyingine njoo na mumeo ili tuzungumzepamoja.”Ikiwa unaamua kujaribu kumshawishi Ali mwende tena kupata ushauri wa kidini, nenda kwenyeKurudi Nyumbani na uchukue kadi namba 1.Ikiwa unaamua kwamba kujikita zaidi kwenye kazi ndiyo njia bora zaidi, nenda kwenye Kazi nauchukue kadi namba 1.Hadithi ya Hadija B8

Hadithi ya HadijaElimu 1A9

Elimu 1Unajua kwamba kwa sababu hufanyi kazi, muda si mrefu utachoka kukaa bila kazi. Kwa kuwa maranyingi Ali hayupo nyumbani, wala huwezi kujitoa zaidi kwake kama mke bora. Unafuta fursa nyinginekwa njia ya mtandao, lakini unagundua kwamba mwanamke wa umri wako hawezi kushindana naUnafurahi kwa kuona kuna uwezekano wa kupata nafasi za kujiendeleza zaidi kielimu na unatumawanaokufahamu, jambo linalokufanya upate wazo la kuanzisha kampuni yako ya ushauri wa kifedha.Lakini kabla hujaanza unapata majibu kutoka miongoni mwa maombi mengi uliyotuma kuombanafasi za masomo. Umepata nafasi ya kusoma kozi ya mwaka mmoja nje ya nchi. Unajawa na furahana unahisi utapumzika kwa muda wote wa kuwa nje, lakini bado miezi michache ya kusubiri kablaya masomo kuanza.Hujui uanzie wapi kumwambia Ali kuhusu habari hiyo. Kwa jinsi alivyo siku hizi, haiwezekani hatakuhisi atalipokeaje suala lako na hata hujui atarudi nyumbani lini. Una uhakika hatafurahia kusikiakwamba unaondoka kwa kipindi cha mwaka mzima.uchukue kadi namba 2.Ikiwa unaamua kuchukua fursa na kumwambia Ali bila kusita, nenda kwenye Fursa na uchukuekadi namba 1.Hadithi ya Hadija B9

Hadithi ya HadijaHuduma za Kisheria 1A10

Huduma za Kisheria 1Ali ambaye amesababisha migogoro yote hiyo. Unaamua kutafuta ukweli kuhusu haki zako kisheria.ambayo umekuwa ukikumbana nayo nyumbani na kazini. Japokuwa anaanza kwa kumtetea babayake, anakubali kuja nyumbani kwenye wikendi, na anapoona majeraha, anakubaliana na wewe.kiumri kuliko wewe na anaonekana anaitambua taaluma yake vizuri. Baada ya kumwelezea mkasawako, anakushangaza kwa kusema kwamba mchakato wa kufungua faili ya talaka sio mgumuna kwamba ataanza kuandaa makaratasi husika moja kwa moja. Unaogopeshwa na kasi mamboyanavyokwenda na unashangaa anawezaje kulifanya jambo hili liwe rahisi kiasi hicho. Pia anatajakuhusu kufungua mashitaka dhidi ya bosi wako kwa manyanyaso aliyokufanyia, lakini unaamuaUnaondoka huku nyaraka zikiwa mikononi mwako, ukihuzunika lakini unapata utulivu kwa kuonahadithi ya mapenzi ya wazazi wake ingeweza kugeuka jinsi hii.Ikiwa unaamua kwamba bado huko tayari kwa talaka, lakinimabadiliko, nenda kwenye Elimu na uchukue kadi namba 1.unajihisikamabadounahitajiIkiwa unaamua kwamba unataka kabisa kuendelea na hatua za kutaka talaka, nenda kwenyeHuduma za Kisheria na uchukue kadi namba 2.Hadithi ya Hadija B10

Hadithi ya HadijaKurudi Nyumbani 1A11

Kurudi Nyumbani 1Unapata tumaini kwamba kwa ushauri uliopata kwa imamu wenu, ndoa yako na Ali itaendeleakuimarika. Lakini inabidi kwanza, umshawishi Ali mwende pamoja kwa imamu. Siku moja unaamuakumwambia kuhusu jambo hilo, baada ya chakula cha jioni.unamwambia kuhusu ushauri na jinsi, kama Waislamu, mnavyopaswa kutafuta msaada kwa imamuwenu na kutoka kwa Allah. Unamkumbusha mambo mengi ambayo Allah amewahi kuwafanikishana kwamba ushauri unaweza kurejesha mahusiano yenu mazuri.kipeperushi kinachohusu faida za kuomba ushauri, lakini anakushika mkono na kuupinda hadimeza, kisha anatoka nje. Unakaa kimya kwa bumbuwazi, huku umeshika kwa mkono jeraha kwenyekichwa chako.Unahisi kukosa tumaini na kuvunjika moyo. Hata kazini, ambako ulikuwa unafanya vizuri, inakuwaNenda kwenye Kazi na uchukue kadi namba 1.Hadithi ya Hadija B11

Hadithi ya HadijaFursa 1A12

Fursa 1Unajiandaa kwa lolote litakalotokea ukielekea kumuingilia Ali. Ni dhahiri kwamba hana muda wakuongea na wewe, unakwenda moja kwa moja kwenye mada husika.“Ali, nadhani itasaidia kila mmoja akikaa mbali kwa muda. Nimepewa fursa ya kwenda kusomanyuma kidogo na unajihami usije ukapigwa konde. Lakini Unapofungua macho yako unamwonabado anatazama televisheni.kukutazama kwa hasira, “Sina haja na chochote unachofanya. Lakini kama utaondoka kwenyeunashukuru Mungu kwa kuwa hakukushambulia.yako Felista anakuja jioni moja kukuambia. Akitaraji utaangua kilio, ameshajiandaa kukusaidia, lakiniwewe hushangazwi na habari hiyo. Habari hiyo inakusaidia kujua amekuwa akilala wapi siku kadhawa kadha. Tena unapata furaha zaidi kwamba umefanya uamuzi sahihi kwenda kusoma.Unapoondoka nyumbani kwa mara ya mwisho, unamwambia Ali amrudie Allah na kumuombani kwa nia njema, unaombolezea mwisho wa miaka ishirini ya mahusiano yenu na unalo tumainikwamba Mungu na watoto wako kama hawatakusamehe, angalau wataelewa uamuzi wako.MWISHOHuu ndio mwisho wa hadithi ya Hadija. Tumia dakika chache kukaa kimya na utafakari tajiriba yakeHadija.Hadithi ya Hadija B12

Hadithi ya HadijaHuduma za Kisheria 2A13

Huduma za Kisheria 2Unaendelea kuwaza kuhusu mwanasheria uliyekutana naye na akazungumza na wewe juu ya talakana kuwa huru. Pia unatumia muda mwingi na Felista akikuelezea kuhusu talaka yake. Unaanzasana kuliko namna unavyopenda. Bado unahuzunika na hujui ufanye nini unapowazia kuvunja ndoayanakuponyoka, unaamua kuomba ushauri kwa wazazi wako.Nenda kwenye Familia na uchukue kadi namba 1.Hadithi ya Hadija B13

Hadithi ya HadijaFamilia 1A14

Familia 1Wazazi wako kama kawaida, wanafurahi sana kukuona. Wanakwambia kwamba imekuwa mudamrefu sana tangu wawaone wajukuu wao na wanakushutumu kwa kuwa na shughuli nyingisana kiasi cha kushindwa kuwapeleka. Unapowakumbusha kwamba watoto wanasoma kwenyechuo kikuu, wanacheka na kuacha kuongelea hilo. Mama yako ndiye anagundua una michubukousoni. Anamuomba baba yako awaache peke yenu na anakusogelea kukuchunguza kwa makini.yako amekuwa akimpiga mara kadha wa kadha. Akipapasa nywele zako, anakwambia kwambaunatumia muda mwingi sana bila kuwa nyumbani. Anakukumbusha kwamba alikulea vizuri ili uwemwanamke bora na kwamba lazima kipaumbele kiwe ni familia yako kwanza.Unamwelezea kwamba unataka kudai talaka. Anaonekana kuhuzunika na anakukumbusha kwambamlifanya viapo vyenu vya ndoa mbele ya Allah, kwa shida na raha. Anakwambia kwamba kupewatalaka ni kosa kubwa na litaleta aibu kwa familia yako.Unakubali kwamba mama yako anasema ukweli . Hivyo, unarudi nyumbani kwa mumeo na unaahidinzuri lakini siku nyingine ni ngumu sana. Jambo pekee unaloweza kuendelea kufanya ni kumuombaAllah alete mabadiliko.MWISHOHuu ndio mwisho wa hadithi ya Hadija. Tumia dakika chache kukaa kimya na utafakari tajiriba yakeHadija.Hadithi ya Hadija B14

Hadithi ya HadijaDini 2A15

Dini 2usalimiane nao na anakwambia kuhusu harambee ya kuchangisha pesa ambayo wanatarajia kuifanyapembeni ili kuongea na wewe kwa faragha.“Nimekuwa nikiwaombea,” anaanza na unamwacha aongee bila kumkata kauli.Akirejelea Korani, anasoma kuhusu mke anavyopaswa kuwa mnyenyekevu kwa mume wake pamoja“Ninakushauri uache kazi yako. Acha kukimbiakimbia huku na huko, kutafuta mambo ya duniayakuridhishe, Hadija. Kaa nyumbani na uwe mke mwema.”nenda kwenye Familia na uchukue kadi namba 1.Hadithi ya Hadija B15

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!