28.02.2013 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Prof: Idha Salim: Thank you very much Dr. Saja, we have collected your views. We haven’t had a lady at giving her views,

so I would like to call Julia Wanjiru. Ninamwita mama Julia Wanjiru na ninafikiri atakuja na mwenzake Beatrice Wambui, sawa

kutoa maoni yao, karibu mama. Wewe ni wa kwanza leo kutapa maoni ya kina mama. Kwa hivyo twakukaribisha kwa njia

maalumu.

Julia Wanjiru: (In vanacular)

Translator: Habari zenyu. Nimekuja hapa kwa sababu ya yale shida tumepata tukiwa wamama. Mimi ninauza mboga hapa

nje, nimekosa mahali ninaweza kuuzia mboga ninaweka hapa nje halafu City Council ikikuja inambeba na mboga yangu.

Nikiangalie ninaona shida inazidi kuendelea kwetu. Pendekezo langu ni City Council ituonyeshe mahali tunaweza kuwa tunauzia

mboga zao ndio ikitukuta isiweze kutushika au kutufukuza. Ya pili ni vijana wale tuko nao, wameletewa pombe inakaa kamba

maji na wanakunywa hovyo hovyo. Ninapendekeza hiyo pombe imekuja kuharibu vijana ifungwe kabisa, akiwa na bibi ama

watoto hawawezi enda shule, Ninapendekeza hiyo pombe imalizwe kabisa.

Interjection: Anaseme ni pombe gani?

Julia Wanjiru (translator): Hiyo pombe inaitwa kali kali ama kumi kumi, inaharibu kila mtoto kabisa kabisa hata wale wa

miaka kumi hata wa miaka miwili. Bunge nayo iweze kuongeza vitu vya akina mama ndio waweze kuwa wengi bungeni ndio

waweze kutusaidia. Hata tukichaguana, hawaoni watu wa kutusaidia wale wamewachagua. Wale tumewachagua wakipewa

kitu waweze kuja chini kuwaletea wale wamama wazee wako kwa nyumba zikitoka nje. Sina mengi ni hayo tu.

Prof: Idha Salim: Thank you very much, asante kwa kututafsiria maoni ya mama Julia Wanjiru. Joseph Karangu. Beatrice

Wambui, karibu.

Beatrice Wambui: Sasa mimi nikona shida. Ile taabu mimi niko nayo ni kwa shauri mimi ninaitisha uhuru, lakini kutoka 1963

bado kuona uhuru na macho yangu, bado kuona hata leo kwa maana mimi ninafanya kazi, ninapanda kahawa, na hapana ona

pesa na kwa majani hapana ona pesa, nikawacha hiyo kazi. Sasa nikaenda kwa soko, nikanunua mandizi niende Githurai,

nikifika hapa stage, council inataka pesa na hii mandizi ni ndizi bado iva. Haya nikikuja kwa kuuzia, hapana iko pahali ya

kuuzia, nikauliza hii uhuru ilikuwa ya namna gani na mimi nilikuwa ninafikiri hii uhuru ni kitu muhimu, kitu ya kukaa chini, kitu ya

kukula kila kitu. Iko shida ingine.

Interjection: Inaudible

Beatrice: Uhuru nilikuwa ninafikiri hiyo kahawa ndio uhuru kwa maana ninavuna hiyo mavuno napeleka huko halafu pesa

inakuja. Hata kama mimi sina kahawa wewe uko nayo, sindio.

32

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!