28.02.2013 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Prof: Idha Salim: Asante sana mzee. Kitu kimoja tu umesema elimu iwe bure, matibaba ni bure.

Andrea Ogutu: Shamba ni bure.

Prof: Idha Salim: Tusifikirie shamba, masomo na matibabu ni sawa , vipi tutapata shamba bure unajua hivi sasa yanamilikiwa

na watu, tupate vipi mashamba ya kuwapa wanainchi, njia gani tufauate.

Andrea Ogutu: Utapata majibu haraka sana. Iko watu fulani hapa Jamhuri ya Kenya, wengine wako na acre karibu milioni.

(clapping) Hapa Jamhuri ya Kenya, iko tumbo imenona inataka kupasuka, wamenyanganya wanainchi shamba yao.

Prof: Idha Salim: Tufanye nini sasa?

Andrea Ogutu: Sasa huyu Kiongozi wa sasa ako na crown kwa kichwa anyan’ganye hao watu, arudishie wanainchi shamba

yao ile walin’ganywa, hiyo ndio inafanya wananchi wanakonda. Na mambo ya pili wale wanakula misaada ya wanainchi at

wanatumikiwa wanainchi ni wauongo. Je, akiwa anatumia wanainchi kwa nini hapana tafuta njia ya kutoa chokora masikini,

ujinga na kadhalika. Kwa nini amenyamaza kimya na mshahara ana bomoa kila mwezi. Kwa hivyo mimi ninastaki watu kama

nyinyi, ninataka munijibu maswahi, mshahara hiyo mnakula, munasaidia wanainchi ya nini na nyinyi mko chini ya sheria ya

wanainchi. Ya pili na ninataka nyinyi wote kama amri yangu afutwe kazi wote wawekwe wale wapya wale wanaweza

kutumikia wanainchi. Maoni yangu ndio hayo. Tena siku hizi uskiku iko na hali ya hatari, akikutana na mkora na aone hauna

pesa, unakatwa katwa na panga, ukikutana na polisi akute hauna pesa, anapeleka wewe kotini na jaji pia ako na polisi, wako

pamoja.

Prof: Idha Salim: Hapo tufanye nini, umesema jambo muhimu, tufanye kitu gani habari hiyo ya amani?

Andrea Ogutu: Ya amani, ni kuitii sheria ya Mungu. Kwa sababu ya sheria ya Mungu katika bibilia kutoka ishirini na moja

iko sheria nyingi sana hapo na hiyo sheria imeandikwa hapo kanisa saa zingine inaongeza yao ya uongo ya kunyonya wanainchi.

Kuitii sheria ya Mungu ndio inaweza kusaidia sisi kwa kila njia. Kwa masikini, masomo iwe bure, matibabu iwe bure,

wamasikini wapate nafasi ya kujisaidie wenyewe. Maoni yangu ninaomba warudishe sheria ya Jaramogi Oginga Odinga ndio

inaleta sheria ya kutosha.

Prof: Idha Salim: Asante sana mzee Adrea kwa maoni yako, twakushukuru sana. Tukiendelea mbele tutulie kidogo. Joshua

Opondo, karibu.

Joshua Opondo. I will give my views on Education. I want in our new Constitution that the people of Kenya will declare that

50

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!