28.02.2013 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Prof: Idha Salim: Vipi wanawake watasaidiwa mama?

Beatrice: Kusomesha watoto, kuchugua hiyo mzigo na funga hiyo pombe. Huyo mwanaume akienda kwa kazi akalete hiyo

unga, na kama anakwenda kwa pombe iko faida gani, watoto hapana kula, mama hapana kula. Hiyo ifungwe kabisa, tena hii

dawa ya siptali ilienda wapi na zamani tulikuwa tunaenda kama mtu ni mgonjwa anakwenda siptali akatibiwa akarudi, sasa mimi

ninasema nikomgonjwa na hakuna pesa ya kwenda siptali. Mtoto akigonjeka hakuna pesa ya kwenda siptali.

Prof: Idha Salim: Asante sana mama. Sijui kama wenzangu wana kitu cha kukuuliza? Asante, tumekufahamu sana. Joseph

Karangu.

Joseph Karangu: My name is Joseph Karangu, DP organizing secretary kutoka Kahawa Ward. I have a few points to

make. Siku ya uchaguzi inatakikana itangazwe miaka miwili kabla ya uchaguzi ndio kila mtu ambaye anataka kuchaguliwa awe

amejipanga. The chairman wa elections anatakikana kuwa mtu ambaye amechaguliwa na act of parliament lakini sio mtu mmoja

achague ule mtu anasimamia uchaguzi. We must have free education from std. one to std. Eight, mostly in secondary schools,

those people who cannot afford to pay their fee they should be paid for by the government. The leaders of labour movement

should be people who are not interested in elective posts but people who are not in any way connected in any political parties.

We must have a free health clinic for all Kenyans. With regars to NSSF, those people who contribute to NSSF should be

refunded their money after leaving their place of work after two years instead of waiting for someone to turn fifty. The NSSF

contributions should be refunded two years after leaving work. Ninataka kueleza hivi, mtu ambaye anatoa hizi pesa za NSSF,

inatakikina, ukisha wacha kazi uwe unarudushiwa pesa zako baada ya miaka miwili badala ya ile miaka hamsini kwa vile hii

miaka hamsini wengine hawaendi kuchua ile pesa, kwa hivyo hiyo pesa zinajisaidia na watu wale ambao hawajatoa jasho yao

pale. Si mtu lazima umri wako ufikishe fifty years ndio uende kuchukua contribution yako? Lakini sasa watu kama sisi,

waliacha kazi ten years ago, sasa situtangojea mpaka tufikishe miaka hamsini ndio tuchukue ile contribution?

Interjection: Inaudible

Joseph: Ukiangalia, tuseme, na ni vibaya sana kutaja jina la mtu, ukiangalia kama huyu Mugalla ule alikuwa chairman wa

COTU, alikuwa anachaguliwa na Kanu, kwa hivyo wakati ule anapeleka masilahi ya wanainchi, yeye mwenyewe hawezi tetea

wanainchi kwa sababu yeye ni official wa political party. Lakini akiwa hana chama yeyote, yeye hatakuwa na uwezo wa

kutetea wanainchi, wafanyi kazi.

Prof: Idha Salim: Asante sana bwana Joseph Karangu. Timothy Igondi, start with your name please.

Timothy Igondi: I am presenting my views as an individual. Number one is the appointment of chiefs and sub-chiefs. These

34

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!