Notes to the Financial Statements (cont'd) - Kenya Airways
Notes to the Financial Statements (cont'd) - Kenya Airways
Notes to the Financial Statements (cont'd) - Kenya Airways
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
KENYA AIRWAYS LIMITED | ANNUAL REPORT & FINANCIAL STATEMENTS 2011 KENYA AIRWAYS LIMITED | ANNUAL REPORT & FINANCIAL STATEMENTS 2011

Taarifa ya Afisa Mkuu Mtendaji

Taarifa ya Afisa Mkuu Mtendaji (unaendelea)

300,000

280,000

260,000

240,000

220,000

200,000

Kipindi cha matumizi ya fedha cha 2010/2011kilikuwa

na changamoto nyingi kwa Kenya Airways. Kumekua na

ushindani mkubwa katika sekta ya usafiri wa ndege katika

soko letu, huku washindani kadha wakianzisha huduma zao

katika ngome yetu ya Kenya. Sisi katika Kenya Airways

hata hivyo, tunaamini kuwa, mradi tu kuna mazingira sawa

ya kuhudumu, tuko radhi kushindana. Mashindano ni bora

na ni muhimu kwa Mteja.

Gharama ya juu ya mafuta ya ndege inaendelea kuwa tisho

kubwa kwa faida katika sekta ya ndege na, kwa bahati

mbaya, kupanda kwa bei ya mafuta kufuatia msukosuko

wa kisiasa katika baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati na

mashambulizi ya kijeshi nchini Libya zimekuwa na athari

kubwa na ya moja kwa moja kwa sekta hii.

Miezi mitatu ya mwisho ya mwaka ilimalizika huku pipa

moja ya mafuta ikiuzwa kwa Dola 106, ambayo ni nyongeza

ya asilimia 33, ikilinganishwa na kiwango cha wastani cha

awali cha Dola79.4 katika miezi minne iliyotangulia. Mafuta

tayari yanachukua theluthi moja ya gharama za shirika hili

na kulingana na IATA, kila nyongeza ya dola katika bei ya

mafuta inatoa changamoto kwa mashirika ya ndege kupata

Dola 1.6bilioni kama gharama za ziada.

Kufuatia hali hii, ni jambo la kujivunia kwamba, Kenya

Airways imeendelea kupata faida. Wahudumu wa Kenya

Airways hata hivyo wanakiri kuwa, licha ya matokeo hayo

mema, hatuna budi kukabiliana na changamoto zilizopo na

zile zitakazoibuka siku sijazo.

Tunafahamu kuwa, kushughulikia tu changamoto hizo

hakutoshi-tunapasa kuzitarajia. Ili tuweze kufaulu katika

sekta hii, tunapasa kukumbatia dhana ya mabadiliko ya

10/11

mara kwa mara kuhusu namna tunavyoendesha shughuli

zetu. Hii inapasa kuhusisha mabadiliko kwenye taratibu

zetu za biashara ili kuwa rahisi kubadilika na kulenga

09/10

kutosheleza mteja.

MAELEZO YA KIBIASHARA

APR APR JUN JUL AUG SEP OCT NOV DEC JAN FEB MAR

Katika kipindi cha matumizi ya fedha cha 2010/11,

Kenya Airways ilisafirisha jumla ya abiria 3.136 milioni

ikilinganishwa na abiria 2.890 milioni mwaka uliotangulia,

na hivyo kuimarika kwa asilimia 8.5. Mapato kutoka kwa

abiria yaliongezeka kwa asilimia 20 ikilinganishwa na

mwaka uliotangulia na hii imetokana na wateja waaminifu,

upanuzi wa mtandao wa maeneo tunakohudumu na

nyongeza ya idadi ya safari kwa maeneo fulani pamoja na

kuimarika kwa utendakazi.

Kiwango cha mizigo pia kiligonga tani 56,401 ikilinganishwa

na tani 55,201 mwaka uliotangulia. Mapato kutokana na

mizigo yalipanda kwa asilimia 19.6 kutoka mwaka uliopita.

Mchoro wa idadi ya abiria kutoka Aprili 10 hadi Machi 11

ikilinganishwa na kipindi sawa na hicho mwaka uliotangulia.

300,000

280,000

260,000

240,000

220,000

200,000

Pax Revenue Kshs mil

Idadi ya wasafiri

Mapato kutoka kwa wasafiri

Mchoro wa tani za mizigo/vifurushi kutoka Aprili 10 hadi

Machi11 ikilinganishwa na kipindi sawa na hicho mwaka

uliotangulia.

Uzani wa mizigo na barua

Cargo Revenue Kshs mil

80,000

60,000

40,000

5,500

5,000

4,500

4,000

3,500

3,000

6,000

5,000

4,000

APR APR JUN JUL AUG SEP OCT NOV DEC JAN FEB MAR

62838

6,421

12,517

Mapato kutoka kwa mizigo na barua

10/11

09/10

4,543 1,553 75,355

Actual 2010 RPK’s Yield Exch Rate Others Actual

2011

APR APR JUN JUL AUG SEP OCT NOV DEC JAN FEB MAR

5,434 118

706

1,088

10/11

09/10

264 6,522

Actual 2010 Tonnage Yield Exch Rate Actual

2011

5,500

5,000

4,500

4,000

3,500

3,000

Mapato kutokana na huduma za biashara kupitia mtandao

ziliimarika kwa asilimia 108, zaidi ya mwaka uliotangulia

na mapato kutokana na mauzo kwenye mtandao

yameendelea kukua.

3,000

2,500

2,000

1,500

1,000

500

0

Mauzo kwenye mtandao

APR APR JUN JUL AUG SEP OCT NOV DEC JAN FEB MAR

APR APR JUN JUL AUG SEP OCT NOV DEC JAN FEB MAR

2010-2011

2009-2010

Kituo cha mawasiliano

Katika kipindi tunachotathmini, Kenya Airways ilianzisha

kituo cha mawasiliano kinachohudumu kwa masaa 24

eneo la Embakasi kwa wateja wake. Huduma kwa wateja

zinazotolewa katika kituo hicho ni pamoja na:

• Kutuma maombi ya kuweka nafasi ya kusafiri

• Kukata tikiti, kwa wateja wanaoweza kununua tikiti

wakitumia kadi zao, mfumo wa kutuma pesa kwa njia

ya elektroniki kwa kutimia Mpesa/Airtel

• Wasafiri wa mara kwa mara,

• Maswali yoyote kuhusu mizigo

• Msaada kwa mauzo kupitia intaneti na,

• Maswali ya jumla, shukrani, malalamishi na madai.

Shughuli zote zinazohusiana na huduma zilizotajwa juu

zinatekelezwa kupitia kwa simu. Nafasi za kibiashara

zinapatikana kupitia simu za kutoka na kuenda nje ya

kampuni na mawasiliano kupitia barua pepe, na hivyo

kuimarisha utendaji kazi na huduma kwa wateja.

Njia hizo zilizoangaziwa za kuwasiliana na wateja wetu

zimeongeza mapato kutokana na mauzo ya tikiti mwezi

baada ya mwingine, na nafasi zaidi za mauzo zinaendelea

kutambuliwa na kupatikana na kundi la mauzo la KQ.

Wateja wetu sasa wamefahamu kuhusu huduma

zipatikanazo katika kituo chetu cha mawasiliano, na imani

yao kwetu inaendelea kuimarika.

120,000

100,000

80,000

60,000

40,000

20,000

0

Apr - 10 110,116

Simu zinazopigwa kwa mwezi- kutengewa nafasi

34,080

May - 10

37,256

Jun - 10

43,230

Jul - 10

42,411

Aug - 10

10/11

09/10

41,225

Sep - 10

36,515

Oct - 10

44,293

Nov - 10

57,023

Dec - 10

36,060

Jan - 11

38,863

Feb - 11

46,597

Mar - 11

12,000

10,000

8,000

6,000

4,000

2,000

0

Apr - 10 6,078

5,171

May - 10

Simu zinazoingia kwa mwezi – Flying Blue

7,894

Jun - 10

10,605

Jul - 10

8,864

Aug - 10

6,884

Sep - 10

Ufadhili

Ufadhili wa kampuni katika kipindi kinachoangaziwa

ulikuwa kwa Golf Safaris na timu ya raga ya Kenya.

KQ Golf Safari

KQ Golf Safari ya 2010-2011 iliyoanzishwa Kampala -

Uganda mnamo Agosti 2010. Shindano la fainali liliandaliwa

Johannesburg, Afrika Kusini mnamo Machi 5, 2011, ikifuatiwa

na fainali zilizoandaliwa Nairobi mnamo Machi 26, 2011

katika Muthaiga Golf Club. Fainali hizo zilihusisha washindi

katika mataifa yote 12 (mataifa ambapo mashindano hayo

yaliandaliwa kama vile Uganda, Tanzania, Ethiopia, Afrika

Kusini, Cameroon, Botswana, Zambia - katika Lusaka na

Ndola, Senegal, Zimbabwe, Nairobi na Malawi) na klabu

kumi (vilabu vya gofu vilivyoshiriki) nchini Kenya. Hii ni

mojawapo ya mashindano maarufu kwenye ratiba yetu na

yalifanikiwa.

Timu ya raga ya Kenya

Timu ya Kenya ya raga ilishiriki kwenye msururu wa

mashindano ya IRB. Mkondo wa kwanza wa msururu

huo uliandaliwa Dubai na Afrika Kusini, mkondo wa pili

ukaandaliwa New Zealand na Vegas, USA, ilhali mikondo

mingine iliandaliwa Hong Kong (Machi 25- 27, 2011) na

Australia (Aprili 2 -3 2011). Kabla ya kuondoka kwa timu ya

raga ya Kenya kwa mkondo wa pili, Afisa Mkuu Mtendaji,

Titus Naikuni, maafisa wa ngazi za juu na waandishi

waliandaa kikao cha mafunzo, kuitia shime timu hiyo

kufuatia matokeo duni kwenye mkondo wa kwanza.

Timu hiyo ilifanya vyema kwenye mkondo wa pili na hivyo

kujizolea alama 12. Na kufuatia hali hiyo, kupanda hadi

nafasi ya tisa kwenye msururu huo kutoka nafasi ya 12.

Haswa, Collins Injera alikuwa Mkenya wa kwanza kujiunga

na kundi maarufu duniani la wachezaji wa raga ambao

wamefunga mabao 100 katika bodi ya kimataifa ya mabao

ya raga, msururu wa dunia baada ya kufunga mabao

matatu dhidi ya Guyana wakati wa pambano lililoandaliwa

Las Vegas. Matokeo hayo yaliimarisha matokeo ya kikosi

7,076

Oct - 10

10,330

Nov - 10

11,000

Dec - 10

6,867

Jan - 11

6,224

Feb - 11

7,288

Mar - 11

40 41