10.07.2015 Views

chuo cha mtakatifu agustino (saut) - Saint Augustine University of ...

chuo cha mtakatifu agustino (saut) - Saint Augustine University of ...

chuo cha mtakatifu agustino (saut) - Saint Augustine University of ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

CHUO CHA MTAKATIFU AGUSTINO(SAUT)S.LP. 307 MWANZA, TANZANIAMAHAFALI YA KUMI NA NNE (14)Mkuu wa Chuo cha Mtakatifu Agustino Tanzania (SAUT) Mhashamu Baba AskofuTarcisius Ngalalekumtwa wa jimbo la Iringa anayo furaha kuwatangazia wanafunzi wotewanaohitimu masomo chuoni hapo kwa mwaka wa masomo 2011/2012 kwamba,mahafali ya kumi na nne yatafanyika Jumamosi tarehe 24 Novemba 2012 katika ChuoKikuu cha Mtakatifu Agustino kwenye Uwanja wa Raila Odinga kuanzia saa 3.00asubuhi.Wahitimu wanaotarajia kushiriki mahafali hayo wanatakiwa kufanya yafuatayo:1. Kuthibitisha ushiriki wao kwa Wakuu wa Idara kabla ya tarehe 15 Novemba2012.2. Wahitimu wanatakiwa kufika Chuoni tarehe 23 Novemba 2012 saa 9 mchana kwaajili ya taratibu zinazotakiwa ikiwa ni pamoja na kufanya mazoezi kwa ajili yamahafali.3. Wahitimu wote wanatakiwa kulipa shilingi 50,000 (elfu hamsini tu) kupitiaakaunti ya chuo namba 015101001461 NBC Mwanza. Shilingi 40,000 kwa ajiliya kuazima joho na shilingi 10,000 kwa ajili ya Cheti cha Taaluma ( AcademicTranscript). Wahitimu wanatakiwa kuchukua majoho tarehe 19 mpaka 22Novemba 2013 kwenye Maktaba ya Chuo cha SAUT.4. Majoho lazima yarudishwe ndani ya siku mbili baada ya mahafali.Vinginevyokutakua na faini ya shilingi 10,000 kwa kila siku itakayozidi.5. Hosteli za chuo hazina nafasi kwa ajili ya wahitimu hivyo watatakiwa kufanyamipango ya malazi na usafiri wenyewe.WOTE MNAKARIBISHWANaibu Makamu Mkuu wa Chuo TaalumaChuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino TanzaniaP .O. Box 307, MwanzaTel No: +25528 2552725, Fax +255 28 2550167 Email: dvcaa@yahoo.com

ST. AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIAP.O. Box 307 MWANZA, TANZANIA14 th GRADUATION CEREMONYThe Right Reverend Bishop Tarcisius Ngalalekumtwa, The Bishop of Iringa Diocese andChancellor of St. Augustine University of Tanzania (SAUT) has a pleasure to announceto all graduands that the 14 th graduation ceremony will be held on Saturday 24thNovember 2012 at St. Augustine University of Tanzania - Raila Odinga Grounds from9:00 a.m.Those wishing to participate in this event are asked to observe the following:1. Participation at the graduation ceremony requires a graduand to confirm one’sintention to attend to the Head of Department by 15 th November 2012. The onefailing to confirm his/her participation in the ceremony by the mentioned date willgraudate in absentia.2. All graduands wishing to hire a graduation gown will sign an agreement and payTshs. 50,000/- (fifty thousand only) to SAUT account number 015101001461 ofNBC Mwanza, Tshs. 40,000 for hiring academic gowns and 10,000/- forAcademic Transcript. Gowns will be issued at Archbishop Mario MgulundeLearning Resource Centre, SAUT from 19 th to 22 nd November, 2012.3. A penalty fee of Tshs. 10,000/= will be levied each day on a graduand who willfail to return the gown two days after the graduation ceremony.4. Rehearsals will be held at Raila Odinga Grounds in the afternoon of Friday 23 rdNovember, 2012 at 3:00 p.m.5. All graduands are expected to make their own travel and accommodationarrangements.YOU ARE MOST WELCOMEDeputy Vice Chancellor for Academic AffairsSt. Augustine University of TanzaniaP .O. Box 307, MwanzaTel No: +25528 2552725, Fax +255 28 2550167 Email: dvcaa@yahoo.com

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!