10.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

22OTH APRIL 2002CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGSGICHUGU CONSTITUENCY HELD AT KIBURIA SECONDARY SCHOOLON SATURDAY,20 TH APRIL 2002.Present:Com. Nancy BarazaCom. Dr. Charles MarangaSecretariat In Attendance:Maimuna Mwidao - Programme OfficerVivian Muli - Verbatim recorderEunice Kavisi - Sign language InterpreterThe meeting was called to order at 9.30 a.m.MAOMBIRev. Joyce: Tuombe. Baba Mwenyezi na mwenye rehema nyingi twakushukuru kwa vile umetuwezesha kuona siku ya leo nakwa vile umetuleta pamoja jinsi tulivyo katika kikao hiki. Tunakushukuru hata kwa nafasi ya kuwa tunafikiria na tunaendeleakuangalia jinsi tunaweza kurekebisha Katiba yetu ya nchi hii. Twaomba sasa ili uwe pamoja nasi. Twakumbuka hata walewatakuja baadaye. Ili wakija wakitoa maoni yao na wale ambao umewapa jukumu kwa sasa ili waweze kuyasikiza ili wawezekuyaandikisha. Twaomba ili Baba mwenye rehema nyingi uweze kuwapa hekima yako, uweze kuwaongoza katika jambo hili.Ningependa kukushukuru kwa vile wale ambao wanatuongoza kwa sasa. Pia wamechukua jukumu hii kuona ya kwamba kilakitu kinaendelea vizuri ili mwishowe tuweze kupata Katiba ambayo itakuwa ni ya kufurahiwa na kila mtu na ambayo inawezakuwa inajali mambo mengi ambayo yamekuwa ni shida. Na pia iwe jawabu kwa mambo yale yote yamekuwa yakiendeleakatika nchi yetu. Tunakushukuru kwa wale wote ambao wako mahali mbalimbali wanaendelea na hii kazi. Twawaombea nguvuzako. Twawaombea hekima itokako kwako ili haya maoni ambayo yalionekana kama kwamba yanaweza kuwa msaada kwawale wote tunaishi katika nchi hii yetu ya Kenya yaweze kutimika. Na sasa twajikabili mikononi mwako Baba Mwenyezi.Tukiomba ili uwezo wako uwe pamoja nasi tukianza hii mkutano na tukimaliza. Na ni katika jina la Yesu Kristu tumeomba na

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!