10.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

46Com. Nancy Baraza: Ni wega muno Wangechi. Thengiu muno. Sign your name there. Sign. Na tutasoma hiyo memorandumyako. Yote tutasoma. Mary Kagendo. Is she there? Patrick Gichubi. Do you have a memorandum? Umeandika. Five minutes.Zitatosha. Unataka Translator au utaongea Kimombo au Kiswahili au Kiluhya.? Okey sawa.Patrick Gichobi: Kwa vile yangu imeshasemwa sana, majina yangu ni Patrick Gichobi presenting Kirima location. Kwa vilewale wamekua hapa mbele yangu wamesema maoni yangu, kwa Katiba ijao ningetaka isiwe na death setence, katika rules <strong>of</strong>Kenya. Death Sentence ni kwenda kinyume ya sheria ya Mungu, kwa hivyo kwa Katiba ijayo, ningetaka kusiwe na deathsetence.Ya pili, tungetaka kwa Katiba ijayo serikali isiwe double dealer. Inakuwa double dealer kwa watu wanaokunywa pombe yakienyenji, wanachukua koti kwa wale watu wanatengeneza hizo vitu. Raw materials, wanachukua kwa wale wanausa wakiwawholesalers, alafu hizo vitu zikifika kwa consumer, wanafwata wanakula huyo consumer na wamekula wale wanaotengenezavile vitu, kwa hivyo hiyo inaonyesha serikali siku hizi imekuwa double dealer.Ya tatatu, tungetaka Katiba ijao, ipatie wazazi wa primary schools uwezo wa kutosha, wakijakua wanakamati, wawe ni walewatu wanaheshima, lakina wale watu wanaojiita DC, wanachakua mtu, akikataliwa, wazazi wakimkata, wanaambiwa kunaabove laws, so hiyo <strong>of</strong>fice ya administration inaaribu mashule ya primary. Kusema kuna above laws, hata wazazi wakikata yulemtu hawezi kuondolewa, hiyo ni kunyima wazazi rights zao. Asante sina mengi.Com. Nancy Baraza: Thank you very much Patrick, please sign your name there. You sign there, you are making history don’t go without signing there. Paul Kimani, James Mbundi, uka na uongeee kwa Kikikuyu ukitaka, James, don’t shy way,tutaelewa. Francis Kashibi, Frank Mureithi. You want an Translator, which language? l will give you five minutes.Francis Mureithi: Majina yangu ni Francis Mureithi, kutoka Kimunye, Kirima Location. Nigependa Katiba hii ikipitishwatuwe na Rais na asiwe na uwezo hata kidogo wa kusema yeye ndiye anaweza kutoa amri zozote kwa wananchi, no powers tothe President, akifanya makosa anaweza kushitakiwa.Tunataka kama ni MP, anachaguliwa na watu kama hapa Gichugu, akikosa hata huko Bunge, tunatoa yeye, tunamtoa natunachakua mwingine, kuwa na uwezo kama huo. Tungependa masoma ya primary iwe ya bure. Watu wa Gichuguwangependa hata hospitali tupewe dawa bure kama zamani. Mabarabara yetu itengeneswe na serikali. Misitu yetu ya hapamlima Kenya ndiyo inabeba maji nyingi kwenda mpaka Indian Ocean, mti ile iko hapa isikatwe, kwa mlima ile imekatwa mititurudishe mti ya kinyenji ile ilikuwako zamani.Watu kama viwete waangaliwe, wasiojiweza, wangaliwe sana kwa sababu hawawatu wana watoto na watoto wao hawajiwezi na tena nao hawana masomo, ndivyo tunasema masomo iwe ya bure. Natunasema ikiwa mtu amechakuliwa kama MP ama achaguliwe bunge na President awe minister, akiwa ni mwizi huko watuwanasikia mwizi huko wapi, ashitakiwe.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!