08.06.2013 Views

Maajabu ya Mimba - The Tarlings in Tanzania

Maajabu ya Mimba - The Tarlings in Tanzania

Maajabu ya Mimba - The Tarlings in Tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Wiki Mendeleo ya Mtoto na Mama Wakati wa Ujauzito

Wiki ya

Kumi

Wiki ya

Kumi na

Moja

Wiki ya

Kumi na

Mbili

Wiki ya

Kumi na

Tatu

Wiki ya

Kumi na

Nne

Kumi na

Tano

• Tumbo la uzazi lina vipimo kama chungwa,

lakini bado huwezi kusikia kwa kupima

tumboni.

• Kondo inatengeneza kichocheo cha

progesterone kuwezesha mimba kuendelea.

Mtoto ana vifundo vya miguu na mikono.

Ana sm 4.5.

• Utaanza kupona kwa hali ya kutapika. Kiasi

cha damu yako inaongezeka kutoka sasa

mpaka wiki ya 30.

• Mtoto ana ovary au pumbu zake, na

inaonekana kama ni wa kike au wa kiume.

Sasa, mwili wa mtoto karibu umekwisha

tengenezwa -- Sasa unahitaji kukua tu.

• Unaanza kusikia tumbo la uzazi tumboni.

• Mtoto ana nyukope. Ana cheza zaidi

tumboni, na anajinyosha, kupiga miayo,

jinyonganyonga vidole vyake. Ana sm 6.5

na ana uzito wa 18g.

• Hutatapika tena kwa sababu ya mimba.

• Mtoto anaendelea kuongezeka vipimo

vyake. Ana sm 8.5 na uzito wa 28g.

• Kuchoka kumepungua kidogo. Unaanza

kujisikia na afya nzuri. Chuchu za matiti

zinaweza kuwa nyeusi zaidi.

• Mtoto ana nyushi na nywele kidogo.

Anakunywa maji ndani ya chupa ya uzazi

na kukojoa.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!