04.01.2015 Views

Kwenye Viatu Vyake - Raising Voices

Kwenye Viatu Vyake - Raising Voices

Kwenye Viatu Vyake - Raising Voices

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kwenye Viatu

Vyake

Kiongozi

cha kukuza welekevu na kuwezesha

kifuko cha nyenzo

Kwenye Viatu Vyake, Toleo la bara la Afrika kusini mwa Jangwa la Sahara

for Appropriate Technology in Health (PATH). Haki zote zimehifadhiwa.

Kwenye Viatu Vyake, Toleo la bara la Afrika kusini mwa Jangwa la Sahara,

Kwenye Viatu Vyake linaloandaliwa na kumilikiwa

la Afrika kusini mwa Jangwa la Sahara liliandaliwa kwa kibali kutoka

Muungano huo.

Mitazamo ya masuala yaliyowasilishwa kwenye kiongozi hiki

hayawakilishi mtazamo wa Muungano. Kwenye Viatu Vyake © na

zimehifadhiwa.

Msaada kwenye mradi huu ulitolewa na shirika la PATH. Mawazo

yaliyotolewa na watunzi yanaweza yasifanane na ya PATH.

Yaliyomo

Kwenye Viatu Vyake ni nini .......................................................1

Dondoo la Ukatili Dhidi ya Wanawake ...........................................4

Jinsi ya kutumia Kwenye Viatu Vyake ..........................................8

Kujiandalia Kwenye Viatu Vyake ......................................9

Kuwezesha Kwenye Viatu Vyake ......................................13

Kutembea Kwenye Viatu Vyake .............................13

Kujadili Kwenye Viatu Vyake .................................16

Kuigiza juu ya Kwenye Viatu Vyake .......................20

Dondoo la Kuitikia Ukatili Dhidi ya Wanawake ...............................21

Dondoo la Kuzuia Ukatili Dhidi ya Wanawake ................................22

Mchakato wa Kutohoa na Shukrani .............................................25

Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake

GBV Prevention Network

i

Kwenye Viatu Vyake ni

nini

MUHTASARI

Kwenye Viatu Vyake ni zoezi la kimaingiliano ambalo lilipangwa kuwapa

wanawake na wanaume fursa ya kutembea kwa kuvaa viatu vya wanawake

Madhumuni ya Kwenye Viatu Vyake ni:

• Kukuza ufahamu na utambuzi wa shida ambazo wanawake

usaidizi.

• Kuonesha kwamba wanawake wote wanaweza kuwa wahanga

wanachoweza kufanya kwenye maisha yao ya kibinafsi na /au

Kwenye Viatu Vyake hutumiwa vipi

Kwenye Viatu Vyake ina hadithi 10 za wanawake halisi wanaokumbana na

kimaingiliano linawapa fursa washiriki kukutana uso kwa uso na baadhi ya

changamoto na vikwazo wanavyokumbana navyo wanawake. Baada ya zoezi,

mwezeshaji atakielekeza kikundi kujadili zaidi maudhui muhimu, masuala na

wanavyoweza kuzuia unyanyasaji dhidi ya wanawake.

1 Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake GBV Prevention Network

Nani anaweza kushiriki katika Kwenye Viatu Vyake

Kwenye Viatu Vyake

wengi zaidi, asasi na mashirika. Inaweza kuendeshwa na wanajamii,

vyuo na watoaji wa huduma za afya na watoaji wa huduma nyinginezo ili

kuwasaidia kuelewa vyema tajiriba za wanawake kuhusu. Kila mtu anaweza

kujifunza kitu fulani kutokana na kutembea “kwenye viatu vya” wanawake

Kwenye Viatu Vyake halishauriwi

zoezi hili linaweza kuamsha hisia kali.

MUHTASARI

Nani anaweza kuwezesha Kwenye Viatu Vyake

Watu wanaofaa zaidi kuwezesha zoezi hili ni wanawake na wanaume

wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye masuala hayo na kuwezesha mijadala

maelekezo ya kina pamoja na Vidokezo vya Uwezeshaji)

Unazitumiaje hadithi za kimaingiliano

Kwenye Viatu Vyake

utambulisho ambayo inatoa maelezo mafupi ya mwanamke ambaye hadithi

yake inaanza kusimulia punde tu. Washiriki wanakaa wawili wawili ili

kusoma kuhusu mwanamke ambaye watavaa viatu vyake, na chini ya kadi

wanatolewa ama maelekezo au kuchagua ni wapi waende baada ya hapo.

Washiriki wanakwenda kwenye mojawapo ya vituo 16 ambavyo vinahusiana

na maeneo ambako matukio ya hadithi huweza kumwelekeza, kwa mfano,

itamtolea maelekezo au uchaguzi wa njia gani aendelee kutembea.

Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake

GBV Prevention Network

2

Je, Kwenye Viatu Vyake ina mambo gani

Kifuko cha nyenzo kina:

Kiongozi hiki

MUHTASARI

Kwenye Viatu

Vyake

Kiongozi

cha kukuza welekevu na kuwezesha

kifuko cha nyenzo

Utambulisho

Hadithi ya Betty

Utambulisho

mrembo kuliko wote darasani mwetu. Ninapenda kusoma, hasa somo la sayansi, ambalo napenda

na nyumbani kwetu na kila siku tunaenda shuleni na kurudi tukiwa pamoja na wanafunzi wengine,

kimojawapo kikubwa huko mjini. Ni ndoto yetu kuwa siku moja tutaenda jijini.

au miji, na kila nyumba ina jiko la kupikia kwa nje, pamoja na maliwato ya pamoja. Familia nyingi zina

bustani ya pamoja yenye vyakula vingi sana. Ninaishi na wazazi wangu, kaka zangu wakubwa wawili

na dada yetu mdogo mmoja. Shangazi zangu, wajomba na binamu zangu wanaishi kwenye kundi

kwetu wanakaa nyumbani wakifanya kazi za bustani na kulea watoto wadogo. Binamu zangu huwa

wananiambia nifute ndoto za kufanya kazi kiwandani kwa sababu wasichana wa kijijini husubiriwa

wakue ili waolewe na kuwa kina mama wa nyumbani. Huwa nawacheka na kuwaambia maisha yangu

kamwe hayatakuwa hivyo. Sijali wanachokisema binamu zangu lakini…

A1

Hadithi ya Betty B1

Kadi za vituo 16

Shirika Lisilola

la Kiserikali

Kurudi Nyumbani

3 Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake GBV Prevention Network

Nakilisha kwa ajili

ya washiriki

Ukatili dhidi ya wanawake

ni nini *

kwa mwanamke au msichana na kumsababishia kudhurika kisaikolojia au

kimwili, udhalilishaji wa utu, au kunyimwa uhuru kiholela na ambacho

huendeleza udunishaji wa wanawake 1 .”

Aina za ukatili dhidi ya Wanawake

Ukatili wa kimwili:

mwili wa msichana au mwanamke. Ukatili wa kimwili ni pamoja na: kupiga,

kukanyaga, kuzabwa, kupigwa mateke, kushambuliwa kwa silaha, kusukumwa,

makonde, kukaba roho, au kuuawa.

DONDOO

Ukatili wa kingono:

Kulazimishwa ngono

usiyemjua; pia huitwa “ubakaji”

– kushinikizwa kufanya ngono – kihisia, kijamii au

kiuchumi, kwa mfano, kushinikizwa kufanya ngono bila kinga au kwa kujua au

kwa hofu ya kuambukizwa UKIMWI

Kushambuliwa kingono – kuhusishwa kingono au kuletewa hisia za ngono bila

kupenda kwako

Ngono ya kimalipo - kushinikizwa kufanya ngono nje ya uhusiano wa karibu kwa

vitendo vyao kama ukatili wa kijinsia.

kwa kibali kutoka S

(2009), Raising Voices, Kampala

Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake

GBV Prevention Network

4

Ukatili Kihisia:

Nakilisha kwa ajili

ya washiriki

Ukatili wa kihisia unaweza kuwa na madhara mabaya kama aina nyingine

Ukatili Kiuchumi:

ustawi wa kifedha wa msichana au mwanamke au tendo la kutumia fedha

adhabu, kumzuia mwanamke kujiingizia kipato, kuchukua fedha au bidhaa

ambayo ni mali ya mwanamke au iliyochumwa na mwanamke, kumkataza

DONDOO

ndugu zao kwa mahitaji yao ya msingi. Utegemezi huu mara nyingi huwaingiza

majirani, na kwa jamii ya jumla.

Kwa nini ukatli dhidi ya wanawake hutokea

tukifundishwa kwamba wanaume ni muhimu zaidi na wana nguvu zaidi

kuwaadabisha wanawake.

kama mtu mmoja au kikundi kuliko wanawake. Wanaume kutumia nguvu/uwezo

wao dhidi ya wanawake pamoja na jamii kukaa kimya kwenye jambo hili ndicho

5 Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake GBV Prevention Network

Nakilisha kwa ajili

ya washiriki

Je, ukatili dhidi ya wanawake ni tatizo

maisha yao 2 .

World Health Organization

kufanyiwa ukatili

3

ya umri wa miaka 15 4 .

DONDOO

Nchini Afrika Kusini, karibu kila baada ya masaa sita mwanamke mmoja huuliwa

Je, nini matokeo ya ukatili dhidi ya

wanawake

Wanawake na wasichana w

Kukosa kujiamini

5

6

Kuwa na majeraha ya kimwili yanayoonekana

Kujawa na huzuni na kutojithamini

magonjwa ya zinaa

Kuhisi wasiwasi na hofu

Kushindwa au kuogopa kufanya maamuzi kuhusu afya zao

Kukosa furaha nyumbani

Kuwa na hofu ya wapenzi wao

Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake

GBV Prevention Network

6

Je, nini matokeo ya ukatili dhidi ya

wanawake (inaendelea)

Nakilisha kwa ajili

ya washiriki

DONDOO

wanaweza:

Kuwa na wasiwasi nyumbani kwao

Kuwa na watoto wenye hofu na wasio waamini wazazi wao

Kukosa mapenzi ya karibu na kutofurahia mambo ya ngono wakiwa

na wenzi wao

Huwa na wapenzi wasioonesha upendo na uaminifu kwao

Kukataliwa na familia zao na jamii

Kuhisi kutoheshimika mbele ya watu wengine

Kuhisi shinikizo kuendeleza mabavu yao nyumbani

Kuwa na hofu na kutowaamini baba zao

Kuhisi huruma kwa mama zao

Kujisikia wenye huzuni na kukata tamaa

Kufanya vibaya kimasomo shuleni

Kutoweka nyumbani

Kuweweseka usiku

Kukosa ushiriki wa wanawake

Kuwa na ongezeko la uhalifu

Kuwa na mzigo mzito wa huduma za jamii (afya, polisi, ustawi wa jamii)

Kuwa na viwango vya maendeleo vilivyo vidogo au vya polepole sana

Kuwa na viwango vya juu ya VVU / UKIMWI

Kukosa mshikamano na maelewano

7 Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake GBV Prevention Network

Jinsi ya Kutumia Kwenye Viatu

Vyake

Kwenye Viatu Vyake inaweza kufanywa kwenye warsha, darasani, semina,

kwenye mafunzo au kama zoezi linalojitegemea. Inaweza kutumiwa na watu

10-30 na inachukua takriban masaa 3. Sehemu hii itaelezea namna ya kuandaa

na kuwezesha zoezi lenyewe.

Kujiandalia Kwenye Viatu Vyake

Huelezea nani wa kuhusishwa, muda gani unaohitajika, na jinsi chumba

kinafaa kiandaliwe kwa ajili ya zoezi hili.

Kuwezesha Kwenye Viatu Vyake

1. Kutembea Kwenye Viatu Vyake

Inaelezea jinsi ya kutambulisha Kwenye Viatu Vyake pamoja na kuwezesha

zoezi lenyewe

2. Kujadili Kwenye Viatu Vyake

Inaelezea jinsi ya kuongoza mjadala kihisia ili washiriki wapate uzoefu.

MAANDALIZI

3. Kuigiza juu ya Kwenye Viatu Vyake

Inaelezea jinsi ya kuelekeza bunguabongo kuhusu nini washiriki

Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake

GBV Prevention Network

8

Kujiandalia Kwenye Viatu Vyake

Hatua ya 1: Soma kwa makini kiongozi hiki mpaka mwisho

Kiongozi hiki kitakusaidia kuelewa vipengele vya Kwenye Viatu Vyake na namna ya

kuendesha zoezi kimaadili na kikamilifu

Hatua ya 2: Zifahamu vizuri na kuzizoea hadithi

Soma hadithi kikamilifu ili ufahamu vizuri maudhui yake kabla ya kuendesha zoezi

Hatua ya 3: Kagua vizuri muda uliopangwa

Mchakato mzima wa zoezi la Kwenye Viatu Vyake utachukua takribani masaa 3:

Sehemu ya 1 – Kutembea Kwenye Viatu Vyake (saa 1, dakika 30)

Sehemu ya 2 – Kujadili Kwenye Viatu Vyake (saa 1)

Kiongozi

ya 2 na Sehemu ya 3.

MAANDALIZI

Sehemu ya 3 – Kuigiza juu ya Kwenye Viatu Vyake (dakika 30)

Hatua ya 4: Kuchagua washiriki

Kwenye Viatu Vyake imeundwa kwa ajili ya wanaume na wanawake. Hata hivyo,

kama mwezeshaji, ni muhimu kwamba ufuate mchakato ambao ni sahihi zaidi

kwa mazingira yako ili kukuza ushiriki makini kwa jinsia zote na kuweka mazingira

salama.

wa jinsia sawa na washiriki.

• Kwenye miktadha mingine, inaweza kukubarika au hata kupendelewa zaidi

kwa wanaume na wanawake kushiriki pamoja. Tumia uelewaji wako wa wa

muktadha mahususi ulio nao.

• Zoezi hili halifai kwa watoto wadogo. Inaweza kuwa sahihi kwa vijana

wanaopevuka, ingawa kiwango cha umri hutegemea muktadha wako

mahususi. Kumbuka kwamba mazingira yanapaswa kuwa salama na yenye

wakiwa na wanawake na wanaume wa makamu, au wasichana kushiriki

maalum kwa ajili ya vijana wa kiume na wa kike.

9

Uzingatiaji wa Maadili

• Fahamu ni hud

wa ziada au rufaa. Kabla ya kuwezesha zoezi hili hakikisha kwamba

pamoja na jinsi ya kukata rufaa.

• Tumia mwezeshaji mwenye ujuzi

Kwenye Viatu Vyake

washiriki wawe na uwezo wa kushiriki kwenye hadithi hizi na kuzijadili

zoezi hili lazima awe mwenye uzoefu wa kuendesha kazi za vikundi

cha nyenzo.

• Jipange kuendana na muktadha mahususi unamojikuta

MAANDALIZI

yako, kama vile zile zinazowahusisha wanawake wasagaji au malaya

wanaojiuza. Kama unaamini hadithi fulani italeta chuki, kuumiza watu,

kuibua hasira au kusababisha mijadala isiyohusiana na mada, basi iondoe

hadithi hiyo kutoka zoezi na endelea na zile zilizobaki.

Hatua ya 5: Kuandaa mandhari

Kwenye Viatu Vyake huendeshwa vizuri kwa kutumia chumba kimoja kikubwa

au eneo moja.

cha kuwekewa kadi za hadithi za kituo hicho.

Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake

GBV Prevention Network

10

• Weka kadi za hadithi kwenye vituo husika. (Tazama mfano hapa chini)

MAANDALIZI

na

kwa umbali mkubwa ili kuhakikisha washiriki wanapata nafasi ya kutosha.

• Ondoa vitu vyote au samani visivyo vya lazima kwenye chumba. Uwepo

wa nafasi wazi zaidi kwa washiriki kutembeatembea kwa uhuru ni bora

zaidi.

11 Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake GBV Prevention Network

Igizo dhima na Viigizi

Igizo dhima

vyema wahusika wale waliomo kwenye hadithi. Mwezeshaji mkuu

anapaswa kubakia huru ili kuangalia maendeleo ya washiriki na

kushughulikia jambo lolote linaloweza kuibuliwa na hisia kali.

Viigizi: Matumizi ya viigizi yanaweza kutoa uzoefu mkubwa

mbalimbali. Ifuatayo chini ni orodha ya baadhi ya vituo na viigizi

vinavyopendekezwa.

: bandeji

Dini: mishumaa na ubani, Korani, Bibilia

kikombe cha chai au kahawa

Elimu

MAANDALIZI

* Tafadhali kumbuka kuwa maigizo dhima na viigizi ni ya hiari na si muhimu sana

kwa ajili ya kujenga uzoefu mzuri zaidi wa zoezi.

Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake

GBV Prevention Network

12

Kuwezesha Kwenye Viatu Vyake

Sehemu ya 1 Kutembea Kwenye Viatu Vyake

Hatua ya 1: Tambulisha Kwenye Viatu Vyake

Toa maelezo kwa kikundi: “Kwenye

Viatu Vyake ni zoezi la kujifunza Vidokezo vya Uwezeshaji

linalotokana na tajiriba za

Kuwezesha Kwenye Viatu Vyake

kimaisha za wanawake mbalimbali kunaweza kuwa changamoto. Hapa chini

UWEZESHAJI

zoezi hili, utapata fursa ya kutumia

muda wako kutembea “ukiwa

kwenye viatu” vya wanawake hawa

na kufanya maamuzi mbalimbali

ambayo wanakabiliana nayo.”

Hatua ya 2: Wagawe kila mtu na

mwenza

wapange kila mtu na mwenzie kwa

kuwahesabu na kuwatenga kinamba.

mshiriki ambaye amekosa mwenza

anaweza kujiunga kwa jozi mojawapo.

Waelezee washiriki, “Tutaendesha

kwa kila jozi atacheza nafasi ya

mwanamke anayekumbana na

kuendesha zoezi.

Itakuwaje kama…. washiriki watapatwa

wanasoma

• Kwa kutegemea idadi ya washiriki

wanaopatwa na hali hiyo, unaweza

kusimamisha zoezi kwa muda ili

kutoa wasaa wa kila mtu kutafakari.

• Pata mshiriki au mshauri mwenye

uzoefu wa kuwasadia washiriki

waliothiriwa kwenye eneo la

faragha kisha waite tena waseme

wanajisikiaje au wape muda

wa kutafakari kibinafsi kabla ya

kuendelea na zoezi tena. Ikiwa

hawako tayari kuendelea na zoezi

tena, heshimu maoni na misimamo

yao.

• Hakikisha unajua ni huduma gani

inavyoelekezwa. Mwingine atacheza

kama shuhuda, akilenga kuangalia

pamoja na jinsi ya kupata rufaa.

sau

ma kwa pamoja kimya kimya. Washirika hao wako

jambo la kuchukua maamuzi yoyote linapaswa kuachiwa mshiriki mtendaji.”

13 Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake GBV Prevention Network

Hatua ya 3: Kutumia Kadi za Hadithi

Waelezee washiriki, “Tutakuwa

tukitembea kwenye viatu vya

nitagawa kadi ya utambulisho kwa kila

jozi. Kadi hizi zinaonesha mwanzo wa

hadithi ya kila mwanamke. Kutokana

na kadi hii, utapewa machaguo au

maelekezo ambayo yanaendana na

alama za vituo unavyoviona ukutani

na wapi utakwenda kuchukua kadi

kwenye vituo na machaguo mengine

Kuigiza mfano

Inaweza kusaidia kufanya igizo

dhima fupi kabla ya kuanza zoezi ili

kuhakikisha kwamba washiriki wote

wanaelewa jinsi ambavyo vituo na

kadi za hadithi vinavyotumika. Fanya

jozi wewe na mtu mwingine miongoni

mwa wawezeshaji au mshiriki

za mwanzo wa hadithi kama mfano.

Wape muda wa kuuliza maswali ili

kuhakikisha kwamba washiriki wote

wameelewa maelekezo.

mengine zaidi. Huku ukitembea kwa kuvaa viatu vya wanawake hawa, tafadhali

jisikie huru kujitandaza, kusoma kwa raha zako, na kupumzika au kutafuta eneo

kukaa peke yako ikiwa utapenda kufanya hivyo. Tafadhali kumbuka kuacha kila

Wape

kila jozi kadi moja ya utambulisho na watangazie kwamba wanaweza kuanza.

watatakiwa kuanza. Mara baada ya jozi 10 za kwanza kurudisha kadi zao

za utambulisho kwa mwezeshaji na kwenda kwenye kituo cha kwanza, jozi

zilizobaki wanaweza kuanza.

Hatua ya 4: Kagua maendeleo

wanavyoendelea. Kadri kila jozi inapomaliza hadithi yao, watakuja kwako

UWEZESHAJI

mshiriki mtendaji na mshiriki shahidi.

Hatua ya 5: Kukamilisha

Zimebaki dakika 5

kwenye kikundi.”

Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake

GBV Prevention Network

14

Kuzingatia maadili

• Uwe makini juu ya tajiriba binafsi za washiriki

Kumbuka kwamba washiriki wote chumbani wamekuja na

hupaswi kuwauliza. Hivyo, uwe makini sana mnapojadili masuala

hayo na ujue kwamba yanaweza kuamsha hisia fulani miongoni

mwa washiriki. Waambie washiriki iwapo mtu yeyote kwa namna

moja ama nyingine hatajisikia vizuri, wanaruhusiwa kutoka nje ya

chumba kwa kitambo au kupumzika kidogo.

• Epuka kumhukumu au kumshutumu mtu yeyote

Zoezi hili linalenga kuibua mjadala kinzani juu ya masuala magumu.

kila hadithi ni kumhukumu au kumlaumu mhanga au kuwachukulia

wanaume wote kuwa wenye makosa. Kumbuka wajibu wako

kama mwezeshaji ni kuongoza mjadala wa kina miongoni mwa

washiriki. Ikiwa mshiriki yeyote atasema sentensi ya kumshutumu

au kumhukumu mtu, usiache hoja hiyo ipite bure. Wahoji kwa

upole na kwa usahihi. Wape muda wengine kuonyesha hisia

UWEZESHAJI

unaojenga.

mhusika au mshiriki yeyote kwa sababu ya rangi yake, umri, daraja,

matakwa ya ngono, n.k.

15 Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake GBV Prevention Network

Sehemu ya 2 Kujadili Kwenye Viatu Vyake

Hatua ya 1: Majadiliano ya Hadithi

Sehemu ya

Kabla hatujaanza majadiliano ya kikundi, tutatumia muda kujadili kwanza

hadithi binafsi. Tafadhali tafakari kuhusu hadithi ulizosoma na uchague moja

ambayo ungependa kuizungumzia. Tafuta watu ambao walisoma hadithi

Hatua ya 2: Mjadala wa Kikundi

Elezea: “ kuwezesha

kuakisi tulichosoma. Ninakushauri utafakari kwa kina kuhusu vile ulivyohisi

Maswali ya Kutafakari

mjadala zaidi au kuleta mjadala wa kina.

1.

kwenye

kwenye

• Ikiwa ulihisi ugumu kuso iria utajisikiaje kuishi uhalisia

wa hadithi hii. Ili kuwasaidia wasaliaji, lazima tuonyeshe huruma na

uwezo wa kuguswa na hisia za watu wengine.

UWEZESHAJI

2.

kutokuridhishwa na machaguo yaliyokuwepo kwa wanawake waliokuwa

wanatafuta msaada

Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake

GBV Prevention Network

16

UWEZESHAJI

a. Je, unahisi kwamba njia

mbadala zilizotolewa ni sawa

jamii yako Na ikoje barani

Afrika kusini mwa Jangwa la

Sahara kwa jumla

b. Je, ulihisi kwamba wanawake

walikuwa na maeneo mengi ya

kukimbilia kuomba msaada

c. Ni vikwazo gani ambavyo

wanawake walikabiliana navyo

msaada

kwenye

• Mara nyingi wanawake

wanakuwa na fursa chache,

kama zipo, za kupata msaada au

• Sababu nyingi zinazoweza

kumzuia mwanamke kupata

msaada ni pamoja na vikwazo

vya kiuchumi, shutuma za

kijamii, vikwazo vya kisheria,

kimwili.

3. Ni nini kilichowafanya wanawake

washindwe kuepuka au kuondoka

kwenye

Vidokezo vya Uwezeshaji

Kuwezesha Kwenye Viatu Vyake

kunaweza kuwa changamoto. Hapa kuna

baadhi ya vidokezo kwa hali mbalimbali

Itakuwaje kama… washiriki

• Wakumbushe washiriki kwamba

yoyote.

• Tumia maswali ya kiupelelezi

kawaida.

Itakuwaje kama… mjadala wa kikundi

umeelekezwa nje ya mada au

yasiyo na maana

• Rejea nyuma kwenye madhumuni ya

• Waulize maswali ya kiupelelzi ili

kuelekeza mjadala kwenye masuala

• Ruhusu maoni ya mwisho kuhusu

majadala kabla ya kuendelea na swali

4.

na hivyo kuwawia vigumu wanawake kutafuta msaada.

wasaliaji huhisi kwamba wao kama wanawake, inabidi wayakubali na

kuyavumilia.

nini tunaposhindwa kuwaamini wanawake wanaohitaji msaada huku

17 Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake GBV Prevention Network

kwenye

• Silo jambo geni kwamba ndugu, wapendwa, au watu wengine

kutokumwamini mwanamke anayetoa habari kwamba anakumbana na

majirani, jamii au asasi iwapo wataondoka.

kumwamini ili awasaidie – iwe nyumbani, mahali pa kazi, kambini, au

5.

kwenye :

• Wangesikiliza masimulizi ya wahanga, kuwaheshimu na kuwahurumia

kutokana na hisia zao.

waliofanyiwa.

• Wangeheshimu mawazo ya wasaliaji.

• Wangewatembelea wasaliaji baada ya kujua kwamba walikuwa

6.

yalisababishwa na mwanamke mwenyewe

a. Nini kilichokufanya

b. Kwa nini tunawashutumu baadhi ya wanawake na sio wote

c. Je, yafaa pengine kuwalaumu wanawak

yao

kwenye :

huyo awe ameolewa, amevaa nini, ni wa dini gani, wala kwa sababu

yoyote nyingine.

UWEZESHAJI

Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake

GBV Prevention Network

18

kutohudumiwa, kunyimwa haki za msingi, na kunyonywa kiuchumi.

• Sio jukumu la waume kuwaadabisha wake zao.

7.

kwenye :

moja tu bali ni mfululizo wa tabia mbaya.

dhidi ya wanawake na ana wajibu wa kuwasaidia wasaliaji pamoja na

tajiri, wa mjini au kijijini, msomi au sio msomi, Mkristo au Muislamu, n.k.

Hatua ya 3: Kufungwa kwa Hisia

kuendesha zoezi la Kwenye Viatu Vyake. Njia bora ya kufanya hivyo inatengemea

Unaweza kutumia mapendekezo yafuatayo au kuchagua kusababisha kufungwa

kwa hisia kwa namna unavyoweza mwenyewe.

UWEZESHAJI

• Ongoza taswira fupi kuhusu mahusiano na familia salama na yenye

furaha.

• Waelekeze wafanye zoezi la kuvuta pumzi kwa wingi huku washiriki

wakiwa wamefumba macho na polepole waendelee kuvuta pumzi kwa

watumie dakika 2.

• Waambie kila mshiriki amgeukie mwenzake na wajadili funzo zuri ambalo

wamejifunza kutokana na zoezi hili.

Sasa

tunafunga mjadala huu na kupata pumziko fupi kabla ya kubungua bongo juu ya

namna ya kuendelea mbele.”

19 Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake GBV Prevention Network

Sehemu ya 3 Kuigiza juu ya Kwenye Viatu Vyake

Kwenye Viatu Vyake, utasaidia kuwaongoza washiriki

kuwezesha zoezi la bunguabongo. Unaweza kuning’iniza karatasi kubwa

ukutani na kuandika mawazo yote au kujadili kwa mazungumzo bila kuandika.

Ni muhimu kupanga na kuendesha mjadala huu kuendana na kikundi cha

(Tazama kurasa 22-24 kupata mawazo zaidi)

Hatua ya 1: Bunguabongo

Sasa

tunakwenda kubungua bongo kuhusu njia tunazoweza kuzitumia kuwasaidia

usitokee zaidi.”

Maswali ya Bunguabongo

1.

tunaweza kuwasaidia na

Tazama

vyema wanawake wanaokabiliana na

2.

na kwamba kila mwanajamii ameathiriwa nao na kwamba kila mmoja

kuzuia

zaidi)

Hatua ya 2:

Baada ya dakika 30 hivi, au pale kundi linapokamilisha kujadili mawazo ya

UWEZESHAJI

kushiriki kwao na rejea kwa ufupi masuala ya msingi: “Ninaamini kwamba

Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake

GBV Prevention Network

20

Nakilisha kwa ajili

ya washiriki

Kuitikia Ukatili Dhidi ya

Wanawake

• ukubaliki.

Usalama wa msaliaji siku zote ushughulikiwe kabla ya chochote kingine.

• Kipaumbele ni kuhakikisha kuna usalama wa mwanamke na watoto

• Msaada wowote wa kitabibu, kisaikolojia, au kisheria lazima ishughulikie

DONDOO

21 Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake GBV Prevention Network

Nakilisha kwa ajili

ya washiriki

Kuzuia Ukatili Dhidi ya

Wanawake

wanawake, unyanyasaji utaendelea. Ni jukumu letu sote kuvunja ukimya

Hapa kuna baadhi ya mapendekezo halisi ya jinsi unavyoweza kuchukua

Mapendekezo kwa kila mtu

1.

• Tunga kanuni ya familia au jamii kwamba:

• Kabiliana na wanaume wanaotumia mabavu dhidi ya wasichana na

wanawake. Zungumza nao; usiruhusu yapite kimya kimya.

2. Shirikiana na wanajam

wanawake pamoja na jinsi ya kuuzuia.

wanawake na wanaume wana thamani sawa.

• Shirikiana na viongozi wako wa mtaa na wakuu wa shule kuendeleza

• Andaa shughuli ukiwa na majirani, washiriki wa kanisa lenu au

DONDOO

mahusiano.

Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake

GBV Prevention Network

22

Mapendekezo kwa walimu na wazazi

• Uwe mfano wa kuigwa,mwenye heshima, utu, na uwajibikaji kwa watoto

na wanafunzi wako.

• Kuza utamaduni miongoni mwa wavulana na vijana wadogo wa kiume

Nakilisha kwa ajili

ya washiriki

• Wafundishe kwamba wasichana wana akili na thamani sawa na wavulana.

ngono. Zungumza nao waziwazi kuhusu mahusiano ya kimapenzi.

• Wahimize wasichana na wavulana kuheshimu haki zao wote na

ridhaa ya wote wawili.

kutaka pesa ya kulipa ada na kununua mahitaji mengine muhimu. Jadiliana

jinsi mnavyoweza kufanya kupata njia mbadala.

Mapendekezo kwa ajili ya polisi

• Fanya kikao kinachowaleta pamoja polisi, watoa huduma za afya, na

viongozi wa mitaa ili kuwezesha michakato ya rufaa.

• Tafuta ushirikiano na mashirika ya wanawake pamoja na asasi za afya ili

kuimarisha na kukuza ubora wa huduma.

DONDOO

Mapendekezo kwa viongozi wa dini na wa jamii

zenye amani.

daima haukubaliki.

• Jiimarishe mwenyewe kwa kuwa mtu anayeaminika kwa kuwaamini

wanawake na kuwasaidia wapate msaada wanaouhitaji.

23 Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake GBV Prevention Network

Nakilisha kwa ajili

ya washiriki

Mapendekezo kwa watoaji wa huduma za afya

wapendanao

umuhimu wa kuwepo mawasiliano wazi kuhusu ngono salama na afya ya

uzazi na kutoa maamuzi ya pamoja kuhusu uzazi.

watoaji wa

• Anzisha na ushiriki kwenye mitandao ya watoaji huduma za rufaa

• Unapoendesha mikutano ya kijamii, wahimize watu watambue, watoe

Mapendekezo kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali

• Andaa upya au uimarishe mipango ya kushughulikia vyema chanzo cha

wanawake kwa mtazamo wa haki za binadamu.

• Onesha kwa vitendo thamani za haki, usawa, na heshima.

jamii.

Mapendekezo kwa washauri

yao ya kupunguza hatari ya kupatwa na madhara kwa kufanya ngono

• Anzisha na ushiriki kwenye mitandao ya rufaa ya washauri na pamoja na

DONDOO

Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake

GBV Prevention Network

24

Mchakato wa Kutohoa na

Shukrani

Kwenye Viatu Vyake

Violence (USA) mnamo mwaka 2001 ili kukuza ufahamu miongoni mwa watoa huduma na

A

zilizochukua toleo la Kihispania, Caminando en sus Zapatos, kwa sasa zinatumiwa sana

kusini mwa Jangwa la Sahara.

kutohoa Kwenye Viatu Vyake kwa bara la Afrika

Kwenye Viatu Vyake

za wanawake wa Afrika.

hadithi. Wahakiki makini walitoa mchango mkubwa kwenye ubora wa hadithi. Kwenye

Viatu Vyake ilifanyiwa majaribio ya awali na kisha kuboreshwa zaidi na wanachama zaidi

Imeandikwa na: Kirsten Zook na Beverly Nambozo Nsegiyunva

Mtafsiri: Mtemi Zombwe na Yassin Ally Sunuku

Mhariri: Boaz Mutungi

Msanifu Michoro: Rachel Kanyana na Samson Mwaka

Mchoro Katuni: Marco Tibasima

Washiriki Waliotunga Hadithi: Kirsten Zook, Jean Kemitare, Robyn Yaker, Lori Michau

Timu ya Wataalam:

Munanula, Care, Zambia; Colleta Zinyama, Rozaria Memorial Trust, Zimbabwe; Comfort

25 Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake GBV Prevention Network

Mali; Joanitah Abang, Freedom and Roam, Uganda; Khumbo Gondwe, YONECO, Malawi;

Lusajo Kajula-Magona, Muhimbili University of Health & Allied Sciences, Tanzania;

Nduna, University of the Witwatersrand, South Africa; Natsnet Ghebrebrhan Zerezghi,

Eritrea

for Human Rights Advocacy, Uganda; Peninah Abatoni, Rwanda Women’s Network,

Rwanda; Sarah Nduku Tombizodwa, Kagisano Society Women’s Shelter Project, Botswana;

Shamsa Hassan Ibrahim, Bay Women Development Network, Somalia; Tina Musuya,

Wahakiki: Women’s and Human Rights, Mali; Joanitah Abang, Freedom and Roam,

Uganda; Mzikazi Nduna, University of the Witwatersrand, South Africa; Natsnet

Sisters Beyond Borders, Kenya.

Washiriki kwa Jaribio la Awali: Washiriki wote waliohudhuria warsha kwenye African

Gender Institute iliyofanyika Julai 20 mwaka 2011 mjini Cape Town Afrika Kusini; pamoja

na, Athenkosi Sopitshi; Ndeshi Namupala; Prudence Mdletshe; Dr. Sethunya Tshepho

Rachiu; Gloria Namusoke; Happy Aineomugisha; Helen Mirembe; Josephine Kamyisa; Joyce

Olive Nabisubi; Paul Bbuuzibwa; Prossy Nakanjako; Sammy Jingo; Sandra Nassali; Susan

Besigah; Rachel Nakyejjwe; Rachel Mpirirwe; Richard Makumbi; Tabitha Suubi; Tina

Musuya; Willington Ssekadde; Winnie Amono.

Shukuran

Ellsberg, Monique Widyono.

Dipak Naker, Jennifer Arney, Margarita Quintanilla, Mary

Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake

GBV Prevention Network

26

Marejeo

1

Heise L.L., Pitanguy J. and Germain A. (1994). Violence against women: The Hidden

Development/The World Bank, 47.

2

3

on prevalence, health outcomes and women’s responses. Geneva: World Health

4

on prevalence, health outcomes and women”s responses. Geneva: World Health

5

Reza A., Breiding M., Blanton C., Mercy J.A., Dahlberg L.L., Anderson M. and Bamrah S.

6

homicide in South Africa, Medical Research Council Policy Brief. Tygerberg: University of

Capetown, 5: 1-4.

27 Kiongozi cha Kwenye Viatu Vyake GBV Prevention Network

mwafaka za uzuiaji, kujumuisha shughuli na kuimarisha stadi za uzuiaji wa

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!