30.01.2015 Views

Dondoo za mkutano wa Umma wa Wapanda Baisikeli ... - Uwaba.or.tz

Dondoo za mkutano wa Umma wa Wapanda Baisikeli ... - Uwaba.or.tz

Dondoo za mkutano wa Umma wa Wapanda Baisikeli ... - Uwaba.or.tz

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Traffic police

Reachel alisoma tangazo la redio traffic police walitoa kuhusu parking. Tuliona ina sehemu nzuri (usiegesha

kwenye maeneo ya watembea kwa miguu, usiegeshe gari jinsi inaziba barabara wala kusababisha hatari kwa

watumiaji wengine wa barabara, agalia watembea kwa miguu na wapanda baisikeli kabla kufungua mlango,

usiegeshe sehemu hakuna mstari njano moja au alama ya kuegesha) lakini haijasema rasmi kwamba

hairuhusiwi kuegesha kwenye service roads. Raechel alifanya masahihisho ya uchapishaji na Victoria

ataziweka. Tutaandika barua kuwapa feedback traffic police.

Traffic police waliandika proposal na Paulo alienda kuchukua. Jumla ni Tsh 191.5 million. Ina mapungufu

mengi – hakuna taarifa kuhusu nani watafundishwa, wapi watafundishwa, mafundisho yatakuwa na ratiba gani

na urefu gani. Hakunu breakdown ya badjeti ya mafunzo. Inasema itafundisha wanachama wa UWABA 1,400

wakati hatuna wanachama kiasi hichi. Ina badjeti ya “cap” na tshirt wakati ni afadhali kuwa na badjeti ya

helmets na reflective jackets. Haisemi kuhusu assessment ya trainers ya Amend. Tutaandika maoni haya.

Wiki ya usalama barabarani, Tanga

Helmets na reflective jackets zimeshanunuliwa na Hamadi. Mejah aliongea na wauzaji wa helmets watatoa

kumi zaidi bure ili tuuze pale na tukiuza tunawalipa au tunarudisha helmets. Victoria alitoa Tsh 130,000 kwa

Hamadi na Husein Hamza kwa ajili ya usafiri na gharama. Atawapa WABATAN Tsh 30,000. Watasafiri na

bendera na speaker na kitabu cha wageni. Elaine ataprint nakala moja za mwongozo, kanuni, cheti, ratiba na

vipeperushi na Victoria atapiga photocopy huko Tanga. Elaine ataprint nakala nyingine ya barua kwenda kwa

RTO Tanga.

Victoria alikutana na Amend jana (ijumaa) – Josiah na Rose ambao wataenda Tanga. Tutakaa hema moja na

Amend lakini tutajitegemea meza na viti.

Tuliongea na Jumanne Tanga kwa simu. WABATAN watatafuta shule na wanafunzi 18 na wanachama wawili

wa WABATAN watafundishwa. Pia watatafuta meza na viti.

WABATAN

Wanaoenda Tanga kwa wiki wa usalama barabarani watafuatalia.

Postcards za ABN

Ally Athman atafanya utafiti jinsi ya kuuza postcards za ABN kwa ajili ya UWABA.

Fasta

Hamadi na Hussein Hamza walipata barua kutoka kwa serikali ya mtaa ya Mabibo kwenda TRA, walilipa Tsh

8,000 lakini serikali ya mtaa walikataa kuwapa risiti.

Victoria, Filbert na Raechel walienda TRA. TRA wanasema lazima kulipa stamp duty kwenye mkataba.

Wataenda tena jumatatu kulipa.

Victoria ameshaomba ruzuku kutoka kwa mashirika mbali mbali. Victoria na Mejah watakaa pamoja kupanga

nani mwingine ataweza kusaidia. Elaine aliwasiliana na OneStreet.org. Amar alirekebisha video ya UWABA

na Victoria alitengeza mada kwenda kwa shirika moja wa merekani ambao wako interested.

Uchaguzi wa 2010

TLP wameweka ahadi kwenye Ilani yao kwamba barabara zitakuwa na njia za watembea kwa miguu na

wapanda baisikeli. Tulitoa kudos kwa wanachama wote walifuatalia – ni mafanyiko mazuri.

Tutawasiliana na Azzan Zungu kuhusu Ilani ya CCM.

Tutatembelea tena CHADEMA kuwakumbusha.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!